FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

pale kwenye zero panawekwa moja leo
pale kwenye msimamo wa ligi
 
village champions mpira sio vita Madrid anafanya mazoezi tu Hakuna ulazima wa kupaniki, namuona king wenu nae kapaniki bila sababu na kurukia Ramos. Ngoja nivute nile taratibu.....
 
Kama ni mm kocha kwa sasa na mtoa Inesta na Cotinho nawaingiza Polinho na Dembele
 
village champions mpira sio vita Madrid anafanya mazoezi tu Hakuna ulazima wa kupaniki, namuona king wenu nae kapaniki bila sababu na kurukia Ramos. Ngoja nivute nile taratibu.....
Me pia wamenishangaza sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom