HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,879
Kuna kupindua matokeo na kupindukiwa na matokeo, sasa Wazee wa muungano wamepindukiwa na matokeo kule kwa Papa
Nenden mkatafute kazi ingine ya kufanya, mpira umewashinda!! Madrid anabeba tena uefa... Nyie Tukutane msimu ujao...Tunapita next stage wazee msikate tamaa
Hayo ndio makombe yenu ili kombe la UCL ni la real madrid
Tulia dawa iwaingie mkuu... This is uefa!!Roma hawawezi kufanya Remontada...
Kwanza Remontada maana yake nini?
Unantafuta sio? Blalifuli!Tulia dawa iwaingie mkuu... This is uefa!!
I had bad feelings about this match aisee
Relax mkuu, cool down...Unantafuta sio? Blalifuli!
Hii ni aibu mwalimu ametuabisha sana nafsi inaniuma sana moja ya fedheha kubwa sana
Na kwelj mkuu wenda messi hakuwepo!!Poleni, naona hamuamini kilichotokea.. Messi asingekua majeruhi angewasaidia.. 3-0 mamaeeee..
hivi ndivyo huwa ukiamua kucheza game ya kujilinda. Napenda huyu kocha awe sacked. Huwezi wachezesha game ya kujilinda watu waliozoea kuattack miaka na miaka.