FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bora umemtaja Neymar, maswali:-

1.Ameshakuwa mchezaji bora mara ngapi hadi sasa baada ya kuhama?

2.Ana goli ngapi hadi sasa?

Hata Cavani tu kashindwa kumfikia!!! eti anakimbia kivuli cha Fundi (hahahaaaa).

Anashindwa kujua kwamba kivuli cha fundi hakikimbiwi unless ubadili football carrier ukacheze tennis/basketball.

Ukweli ni kwamba siyo lazima uhame hame vilabu ndiyo uwe bora, wangapi wamehahama? Kama kuhamahama kingekuwa kigezo cha kuwa mchezaji bora basi wote waliowahi kuhama klabu 1 kwenda nyingine wangekuwa wachezaji bora wa dunia.

Achana na hisia na mawazo yako potofu kijana!!!!

Fact
 
Kwa wachezaji wenye viwango hawawezi kwenda Epl. Angalia saizi eti Man u wanamtaka Bale wakt La Liga bale amaanza kua useless. Akina Ronaldo. Pique , Modric, Bale nk walitoka kwenye ligi mbovu wakaenda kwenye Ligi bora. Saizi wanafikria walirudi EPL ili wakamalizie mpira
Afu kingne dabi kubwa ipo kwenye Ligi kubwa El Classico dunia inasimama lakn vidabi vya uingereza mnakua mnajua wenyewe wenye EPL yenu.

😀😀😀😀
 
Haya matokeo ya kina Iceman 3D yamekuwa mazuri sana. tuko point 11 kileleni na wao leo wanaingia nafasi ya nne Rasmi. Hivi mtu wa nne si UEFA anapita mlango wa nyuma? Kuna mtu atakosa next UCL🙂🙂🙂
Sheria imebadilika wakwanza hadi wanne wanapita moja kwa moja, ila nakukumbusha kila team inaruhusiwa kuchua UEFA pale mabingwa wa kihistoria wanapotolewa wakifika fainali visingizio vitakuwa wanabebwa, magoli ya offside wakati Ramos akinyanyua trophy back to back to forward
 
Sijakataa nimekubali kawafungwa Chelsea, ila hebu linganisha kiwango cha Chelsea ya sasa na Chelsea zote alizo kutana nazo Messi, hii ni dhaifu kuliko hizo zotee.
Buffon wa mwaka huu amabaye hata mechi za ndani hadaki zote naye kaisha, Messi hajamfunga Buffon on his prime.

Kwa hiyo its nothing special kaotea mida mibovu tu
Hivi ku hate mnalipwa??
 
Sasa Uingereza ni ligi? Ukitaka kujua uingereza ni ligi mbove Review vikosi vya FIFA vya miaka mitatu iliyopita unakuta wachezaji waliopo asilimia tisini wanatoka La Liga. Afu jiulize nani anaweza kumkaribia Messi anaecheza EPL ili labda amzuie asichukua mchezaji bora Epl . Unasema Ronaldo kachukua mchezaji Mara mbili mfululizo EPL. Jibu simple alikutana na wabovu mana hata vipofu wana viongozi wao. Jiulize kwa nini ajachukua Mara zote Laliga? Kwa sababu kuna wanaojua kuliko yeye.
Ukweli Ronaldo ni mzuri kwenye kufunga lakn utofauti na messi ni pale Madrid wakiwa wabovu Ronaldo nae anakua mbovu ukitaka kuthibitisha ilo angalia mwanzo wa msimu huu Ronaldo alikua hafungi kwa sababu timu nzima ilipotea. Lakn Messi timu ikipotea yeye anakua bora. Review mechi zdi ya Sevila na mechi ya mwisho akiwa na Argentina kwenye kufuzu WC.
Tatizo ni kuwa wenzetu wana chukulia vigezo kwa kuangalia mashindano ya UEFA jambo ambalo ni kweli kuwa Madrid Barca na Atletico wamefanya vzuri zaidi.
Ila hiyo kitu haipimi ligi moja kwa moja kitu kizuri ni kuangalia ushindani wa ndani wa ligi.
Barca na Real wana uwezo wa kuchukua hata ligi ya uingereza na ujerumani, they are too good.
Mfano EPL kwa miaka 8 mfulilzo hakuna timu iliyo chuka kombe mara mbili mfululizo. Ila huko la kuga kwa miaja 8 barca kachukua mara 6. Kwangu EPL ni bora kwa maana ushindani n mkubwa.

☆ Ronaldo alichukua EPL player the year na La liga amechukua so hajashindwa. Na mchallenge na Mess afanye hivo kote.

Ronaldo now ana miaka 33, kama unajua mpira utaelewa kwa nini hawezi kuwa na kasi ile kama unayo ifikiria. na kumbuka Ronaldo alikuwa mbovu na Real ikawa ndio mbovu na si kana ulivo sema wewe.
 
wewe ndo ulitoka nje ya mada! Nani alikuwa anazungumzia goli la baiskel hapa? wewe ndio unaleta hisia ambazo hazikuhitajika kwenye mada. Hoja ilikuwa ubovu wa Chelsea/Buffon kufungwa na fundi.

Tumekuuliza maswali umeshindwa kuyajibu! Mfano, Je! wakati Messi10 anapowafunga (madridiots) huwa niwabovu kama Chelsea/Buffon???

Acha ushabiki wako usiokuwa na hoja za msingi!!!!
We jamaa una shida sana, unarukia rukia post bila kuzielewa halaf una panic sana kama huwez fanya debate na mim kaa kushoto.

Angalia vizuri mada ya BK kaanzisha nani, siyo una ongea tuu. Nilikuwa najibu kitu ambacho nimeulizwa sku anzisha mimi.
Narudi kwenye mada
Messi kawafunga Madrid wakiwa wabovu ndio si ni disemba, Ronaldo alikuwa off -form na Madrid walikuwa off- . Mwezi august madrid walikuwa form na wakiwapiga barca nje ndani na Messi alikuwemo na hukufanya llte la maana.

Ni ukweli usio pingika kuwa Messi kawafunga Chelsea wakiwa wabovu na Buffoni aliye choka sasa hilo si kosa langu mi naongea uhalisia
 
Kwa wachezaji wenye viwango hawawezi kwenda Epl. Angalia saizi eti Man u wanamtaka Bale wakt La Liga bale amaanza kua useless. Akina Ronaldo. Pique , Modric, Bale nk walitoka kwenye ligi mbovu wakaenda kwenye Ligi bora. Saizi wanafikria walirudi EPL ili wakamalizie mpira
Afu kingne dabi kubwa ipo kwenye Ligi kubwa El Classico dunia inasimama lakn vidabi vya uingereza mnakua mnajua wenyewe wenye EPL yenu.
Uanashau fact moja
Bale alikuwa bora England ndio akaenda Madrid tena alikuwa bora akiwa ba Tot ndio uzuri wa ligi ya EPL.

Umeongelea dabi, lakini Elc Classico si dabi, nakuhakikishia watu wengi wanaangaliaga dabi ya Liva na Everton kuliko dabi ya Barca na Espanyol. Kwa kuwa nje ya Barca na Madrid La liga haina vuto na haina ushindani.
 
wewe hujui mpira ? Yaani fundi ana vikombe vinalingana na umri wake alafu wewe unasema aende sijui wapi akachukue uchezaji bora? wakati ana mipira 5 ya dhahabu kabatini. Anaviatu vinne (4) vya dhahabu kabatini.

Unataka akachukue uchazaji bora wa aina gani tena???? Acha mawazo mgando Wewe.
Nitajie tuzo ambayo Messi anayo halaf Cr 7 hana. Lakini bado Cr 7 kaongeza na kucheza ligi mbili it matters usije uka puuzia hili
 
Haya matokeo ya kina Iceman 3D yamekuwa mazuri sana. tuko point 11 kileleni na wao leo wanaingia nafasi ya nne Rasmi. Hivi mtu wa nne si UEFA anapita mlango wa nyuma? Kuna mtu atakosa next UCL🙂🙂🙂

La liga mwaka huu imetushinda ki ufupi ngoja tu deal na huku kwingine
 
Bora umemtaja Neymar, maswali:-

1.Ameshakuwa mchezaji bora mara ngapi hadi sasa baada ya kuhama?

2.Ana goli ngapi hadi sasa?

Hata Cavani tu kashindwa kumfikia!!! eti anakimbia kivuli cha Fundi (hahahaaaa).

Anashindwa kujua kwamba kivuli cha fundi hakikimbiwi unless ubadili football carrier ukacheze tennis/basketball.

Ukweli ni kwamba siyo lazima uhame hame vilabu ndiyo uwe bora, wangapi wamehahama? Kama kuhamahama kingekuwa kigezo cha kuwa mchezaji bora basi wote waliowahi kuhama klabu 1 kwenda nyingine wangekuwa wachezaji bora wa dunia.

Achana na hisia na mawazo yako potofu kijana!!!!
Staki tuweke data za Neymar kwani si kengo langu. Nakumbika Barca walikuwa wana sema Neymar hauzwii ooh hauziki sjui lakini jamaa aliondoka. Ishu ni kuwa ali determine kuondoka. Kumbuka kuwa Neymar kajinunua mwenyewe. Jinsi alivo kuwa ana tafuta ku epa. Wachana na anacho kifanya huko, hiyo kwangu haikuwa point
Hii ina imply hata Messi akiamua anaweza kuondoka ni swala la yeye kuamua tuu.
 
Wewe ndio zako hizo,, unapenda sana mabishano mkuu..ndio maana nimeamua nikae kimya tu..
Hamna BP hata na mimi kwa mtazamo wangu una penda sana mabishano. Ni kwakuwa mimi na wewe hatujawahi shabikia upande mmoja kwa lolote. Ila utashi wako wa mpira huwa naukubali kila sku
Na nina enjoy kubadilishana mawazo na wewe kila time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom