kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
At least ndyo atakuwa amemkaribia kiwango MESSIAHIli iweje sasa?
At least ndyo atakuwa amemkaribia kiwango MESSIAHIli iweje sasa?
Hiyo ni lame reasoningAt least ndyo atakuwa amemkaribia kiwango MESSIAH
Na za messi kumfunga buffon na Chelsea hazikuwa lame reasoning?Hiyo ni lame reasoning
Yes zilikuwa ni factsNa za messi kumfunga buffon na Chelsea hazikuwa lame reasoning?
Basi hizo nazo nimekupa facts HATRICK + FREECKICK ELCLASICOYes zilikuwa ni facts
Labda kama hujasoma fresh
Haya mwambie na Messi akacheze EPL achukue makombe yote ya huko.Basi hizo nazo nimekupa facts HATRICK + FREECKICK ELCLASICO
Sio aishie kuwapiga kina girona
Mwambie cr7 awe mchezaji bora WCHaya mwambie na Messi akacheze EPL achukue makombe yote ya huko.
Mwambie Messi amfikie Cr 7 kwenye hattrick za jumla.
Mwambie Messi achukue UCL back to back
Mwambie Messi amkute Cr 7 kwenye magoli ya UCL
Tukienda hivo hatuta fanya reasoning mjomba
Amefikisha mangapi mkuu? maana mlisema atampita Messi, sasa sijui unashindana vipi na alien!Eeeh
Lakini haindoi goli ka mnyama
![]()
Mwambie Messi aende uingereza akachukue uchezaji bora kule mara mbili mfululizoMwambie cr7 awe mchezaji bora WC
mbona nyie mlikuwa mnamlazimisha messi amfunge Buffon kama sio ujinga ni nini?
Nimwambie aende wakati hamna team ina full fill his demand mnunue wewe basi uone kama hachukui EPLMwambie Messi aende uingereza akachukue uchezaji bora kule mara mbili mfululizo
Mi sijawahi kumlazimisha Messi amfunge Buffon ninacho jua alikuwa anashindwa kumfunga yeye mwenyewe alikiwa anajua hilo. Sasa ujinga uko wap hapo?
Mbona mnapenda kunisingizia mi sjawahi sema Ronaldo ata mpita Messi.Amefikisha mangapi mkuu? maana mlisema atampita Messi, sasa sijui unashindana vipi na alien!
Kwenda si lazima Demand ni kuamua tuuNimwambie aende wakati hamna team ina full fill his demand mnunue wewe basi uone kama hachukui EPL
Neymar PSG walionyesha interest nae sasa messi aondoke akacheze peke yake?Kwenda si lazima Demand ni kuamua tuu
Mwenzie Neymar aliamua aka ondoka. Ni yeye mwenyewe tu mmwambie aende.
Hata EPL man city inaonesha interest kila mwaka. Ni yeye tu akiamua anatua paleNeymar PSG walionyesha interest nae sasa messi aondoke akacheze peke yake?
Messi ni priceless mkuu city hawawezi kumnunuaHata EPL man city inaonesha interest kila mwaka. Ni yeye tu akiamua anatua pale
He just kick ball, hawez kuwa priceless mkuuMessi ni priceless mkuu city hawawezi kumnunua
Kama sio priceless mwambie Perez amnunueHe just kick ball, hawez kuwa priceless mkuu
Aende EPL la liga tusha muonaKama sio priceless mwambie Perez amnunue
Nani amnunue sasa mtu pricelessAende EPL la liga tusha muona
Refer to 22538-39Nani amnunue sasa mtu priceless