Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,993
Ataendaje kwenye Ligi mbovu? we ungekuwa Messi ungekubali kwenda kwenye ligi mbovu?Aende EPL la liga tusha muona
Ataendaje kwenye Ligi mbovu? we ungekuwa Messi ungekubali kwenda kwenye ligi mbovu?Aende EPL la liga tusha muona
Sasa hapa tutaingia kwenye mabishano ya ligi.Ataendaje kwenye Ligi mbovu? we ungekuwa Messi ungekubali kwenda kwenye ligi mbovu?
Ligi gani inaongoza kwa ubora? nikuulize na swali, unajua Pele aliichezea Santos muda gani?Sasa hapa tutaingia kwenye mabishano ya ligi.
EPL si ligi mbovu
unapimaje ubora?Ligi gani inaongoza kwa ubora? nikuulize na swali, unajua Pele aliichezea Santos muda gani?
Kwa mujibu wa UEFA ni ligi gani bora ulaya? jibu swali Pele alicheza Santos kwa muda gani? hizi chenga za maneno hazitakusaidia.unapimaje ubora?
Nikuulize swali, unajua Santos ilikuwa inakiwango gani?
Unajua UEFA wanatumia vigezo gani?Kwa mujibu wa UEFA ni ligi gani bora ulaya? jibu swali Pele alicheza Santos kwa muda gani? hizi chenga za maneno hazitakusaidia.
Ngoja nikuache mkuu, naona lengo lako ni kubishana bila kushindwa.Unajua UEFA wanatumia vigezo gani?
Kuna aina za majibu moja wapo ni jibu kwa swali
Unajua Santos ilikuwa miwango gani kwa wakati huo?
Hapana mimi sishindaniNgoja nikuache mkuu, naona lengo lako ni kubishana bila kushindwa.
Bali ni?Sasa hapa tutaingia kwenye mabishano ya ligi.
EPL si ligi mbovu
Unajua Barcelona ina kiwango gani?unapimaje ubora?
Nikuulize swali, unajua Santos ilikuwa inakiwango gani?
Pole mkuu lakini naamini ule upande wa pili kikombe ni cha kwako hata wakikichelewesha vipi EPL imeshatua ndani ya viunga vya city ManchesterKubabake wiki mbaya sana hii kwangu ngoja nijipoze na Barcelona yangu.
Thank you Messi for made my day jana.
Sasa Uingereza ni ligi? Ukitaka kujua uingereza ni ligi mbove Review vikosi vya FIFA vya miaka mitatu iliyopita unakuta wachezaji waliopo asilimia tisini wanatoka La Liga. Afu jiulize nani anaweza kumkaribia Messi anaecheza EPL ili labda amzuie asichukua mchezaji bora Epl . Unasema Ronaldo kachukua mchezaji Mara mbili mfululizo EPL. Jibu simple alikutana na wabovu mana hata vipofu wana viongozi wao. Jiulize kwa nini ajachukua Mara zote Laliga? Kwa sababu kuna wanaojua kuliko yeye.Mwambie Messi aende uingereza akachukue uchezaji bora kule mara mbili mfululizo
Mi sijawahi kumlazimisha Messi amfunge Buffon ninacho jua alikuwa anashindwa kumfunga yeye mwenyewe alikiwa anajua hilo. Sasa ujinga uko wap hapo?
wewe ndo ulitoka nje ya mada! Nani alikuwa anazungumzia goli la baiskel hapa? wewe ndio unaleta hisia ambazo hazikuhitajika kwenye mada. Hoja ilikuwa ubovu wa Chelsea/Buffon kufungwa na fundi.Eeh yako mengi ila hayako Mengi kama magoli ya kichwa au ya stail zengine kwa kuwa ni special goals
Ndio maana umeona tunalifurahia
Uwanja mzima wa Turin uli appriciate kwa kumpigia makofi Cr 7 sasa wewe uko bongo hapa utaanzaje kuli diss goli kali kama lile bhana. Ndio hisia nnazo sema hizo.
Kwa wachezaji wenye viwango hawawezi kwenda Epl. Angalia saizi eti Man u wanamtaka Bale wakt La Liga bale amaanza kua useless. Akina Ronaldo. Pique , Modric, Bale nk walitoka kwenye ligi mbovu wakaenda kwenye Ligi bora. Saizi wanafikria walirudi EPL ili wakamalizie mpiraAende EPL la liga tusha muona
wewe hujui mpira ? Yaani fundi ana vikombe vinalingana na umri wake alafu wewe unasema aende sijui wapi akachukue uchezaji bora? wakati ana mipira 5 ya dhahabu kabatini. Anaviatu vinne (4) vya dhahabu kabatini.Mwambie Messi aende uingereza akachukue uchezaji bora kule mara mbili mfululizo
Mi sijawahi kumlazimisha Messi amfunge Buffon ninacho jua alikuwa anashindwa kumfunga yeye mwenyewe alikiwa anajua hilo. Sasa ujinga uko wap hapo?
Tatizo la Christina tantarira nyingi sanaMkuu acha tu kile kitoto cha madeira kinapenda media balaa na hii kameambukizwa na waingereza ni uswahili tu kama wabongo
Bora umemtaja Neymar, maswali:-Kwenda si lazima Demand ni kuamua tuu
Mwenzie Neymar aliamua aka ondoka. Ni yeye mwenyewe tu mmwambie aende.