Kwa niniNaona Pique hayupo sawa.
Niliona anainama kuugulia. Roberto ana sifa!! leo anapiga fullback ya kushoto?Kwa nini
Furaha imekamilika wakuu, 29. Safi sana!!!Mchawi wa mpira toka sayari ingine, 28 leo bado 1 nifurahi zaidi.
Kampelekea Tiago zawadi ya mpira leo...endeleeni kuruka vibaiskeli..mje mvunjike viuno na Uzee huo..hata Giroud anaweza hizo kazi...
mkuu huu sasa utani wa ngumiYani huyu anatakiwa match zingne anzishwe bench akili imkae vzr. Mana siku hizi hata hajitumihuyu suarez ananisikitisha sana pass anaharibu kutoa kama kasahau pili mzito ngoja griezmann aje sisi atutaki kumvumilia mtu hajitumi
FT Messi 3 leganes 0
Mchawi wa mpira toka sayari ingine, 28 leo bado 1 nifurahi zaidi.
Yani huyu anatakiwa match zingne anzishwe bench akili imkae vzr. Mana siku hizi hata hajitumi
Sorry wakuu naomba kuuliza kipindi cha kwanza Barca ilifunga ngapi...?Jamaa wamechomoa kimoja

Messi10Sorry wakuu naomba kuuliza kipindi cha kwanza Barca ilifunga ngapi...?
(27', 32' & 87').3-1MkuuFT Messi 3 leganes 0