Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
Kitu ambacho Messi hajafanya ni kuisaidia team yake ya taifa kuchukua copper America na World Cup bahati mbaya kwake anajificha kwenye uzuri wa Club yake.wanasahau kwamba Messi10 ni kawaida yake kufanya maajabu dhidi ya mpinzani yoyote uwanjani.
Wako wapi waliokuwa wanaimba kama wimbo wa taifa kwamba "eti Oooh Messi10 hajawahi kuwafunga Chelsea, pia hajawahi kumfunga Buffon ambae ni 1 ya golikipa bora duniani".
Kifupi hakuna kitu ambacho bado hajafanya ndani ya uwanja. Unaweza kumkataa Messi10 kwa mdomo na kulopoka tu lakini Moyo na roho yako inakusuta kwamba Messi10 ndiyo mchezaji bora kuwahi tokea ktk sayari hii.
Pia Ronaldo hajaisaidia Portugal kombe la dunia japokuwa yeye kavuka hatua moja ya kuvaa Euro medal .
Ukweli huu mchungu Kwa Messi funs ukizingatia Messi na Ronaldo ndio kombe lao la dunia la mwisho na team ya America inayoweza kuchukua kombe hili ni Brazil 10% team yenu Barcelona funs (Argentina) mnajua Hakuna team pale ni genge la superstars
90%kombe la dunia linaenda ulaya ,msichukie jamani kila mtu anayo haki ya kikatiba kutoa maoni bila kuvunja sheria
