Mr FCB
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 227
- 119
Kipindi cha kwanza ilikuwa 2-0Sorry wakuu naomba kuuliza kipindi cha kwanza Barca ilifunga ngapi...?
2-0Sorry wakuu naomba kuuliza kipindi cha kwanza Barca ilifunga ngapi...?
Tukiweza kushinda au draw dhidi ya Valencia, Celta na Real Madrdi. Then naami i itakuwa rahisi kuwa invincibles kwa La Liga 17/18Games zijazo ktk La Liga,
Barca vs Valencia
Celta Vigo Vs Barca
Barca vs Villarreal
Deportivo Vs Barca
Barca Vs Real Madrid
Levante Vs Barca
Barca Vs Sociedad
Sent from my SHV-E330K using JamiiForums mobile app
Kabla ya madrid nafikiri tuna fainali CDRGames zijazo ktk La Liga,
Barca vs Valencia
Celta Vigo Vs Barca
Barca vs Villarreal
Deportivo Vs Barca
Barca Vs Real Madrid
Levante Vs Barca
Barca Vs Sociedad
Sent from my SHV-E330K using JamiiForums mobile app
Ote hao tunapiga Mkuu.Tukiweza kushinda au draw dhidi ya Valencia, Celta na Real Madrdi. Then naami i itakuwa rahisi kuwa invincibles kwa La Liga 17/18
Sent from my SHV-E330K using JamiiForums mobile app
Mwenye ahueni kidogo labda deportivo wengine wote wachumba tu.Tukiweza kushinda au draw dhidi ya Valencia, Celta na Real Madrdi. Then naami i itakuwa rahisi kuwa invincibles kwa La Liga 17/18
Sent from my SHV-E330K using JamiiForums mobile app
Thats him upande wa pili bila media hamna kitu kabisa...Tick taka hata mimi mtaani huku napiganinavyompenda lionel messi ni kwamba hana muda wa kupigishana kelele na vyombo vya habari, sijawahi kumsikia akijisifu kama yeye ni mchezaji bora duniani na hakuna aliyewahi kutokezea kama yeye.
hahahahahahaa ukimaliza mpira anakwenda kwenye kijumba chake cha udongo anajifungia ndani na watoto wake.
goli hili alilofunga messi kama nafasi hii anaipata romelu lukaku basi atamgongesha kipa.
madrid wanasema leganese ni timu dhaifu lakini wanasahau ya kwamba ndio timu iliowatoa kwenye michuano ya kombe la mfalme.
![]()
Real Madrid News: Leganes make history by dumping Los Blancos from the Copa del Rey | Goal.com
wanasahau kwamba Messi10 ni kawaida yake kufanya maajabu dhidi ya mpinzani yoyote uwanjani.ninavyompenda lionel messi ni kwamba hana muda wa kupigishana kelele na vyombo vya habari, sijawahi kumsikia akijisifu kama yeye ni mchezaji bora duniani na hakuna aliyewahi kutokezea kama yeye.
hahahahahahaa ukimaliza mpira anakwenda kwenye kijumba chake cha udongo anajifungia ndani na watoto wake.
goli hili alilofunga messi kama nafasi hii anaipata romelu lukaku basi atamgongesha kipa.
madrid wanasema leganese ni timu dhaifu lakini wanasahau ya kwamba ndio timu iliowatoa kwenye michuano ya kombe la mfalme.
![]()
Real Madrid News: Leganes make history by dumping Los Blancos from the Copa del Rey | Goal.com
Siku hizi wameanza kusema hajawahi kuwafunga Everton wala Watford -Haters be like thatwanasahau kwamba Messi10 ni kawaida yake kufanya maajabu dhidi ya mpinzani yoyote uwanjani.
Wako wapi waliokuwa wanaimba kama wimbo wa taifa kwamba "eti Oooh Messi10 hajawahi kuwafunga Chelsea, pia hajawahi kumfunga Buffon ambae ni 1 ya golikipa bora duniani".
Kifupi hakuna kitu ambacho bado hajafanya ndani ya uwanja. Unaweza kumkataa Messi10 kwa mdomo na kulopoka tu lakini Moyo na roho yako inakusuta kwamba Messi10 ndiyo mchezaji bora kuwahi tokea ktk sayari hii.

Mkuu acha tu kile kitoto cha madeira kinapenda media balaa na hii kameambukizwa na waingereza ni uswahili tu kama wabongoThats him upande wa pili bila media hamna kitu kabisa...Tick taka hata mimi mtaani huku napiga
Hata Giroud anapiga hyoThats him upande wa pili bila media hamna kitu kabisa...Tick taka hata mimi mtaani huku napiga
Eeh alipiga scorpion kickHata Giroud anapiga hyo
HahahahahaaaSiku hizi wameanza kusema hajawahi kuwafunga Everton wala Watford -Haters be like that![]()