FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yani wewe jamaa ni mbishi sijapata kuona. Magoli ya Messi yaliyoenda shule yenye akili nyingi utalinganisha na magoli ya waotea nyavu na mapenalti kibao...kwanza huyo babu yako pele tumeshamjadili sana humu na magoli yake yanajulikana mengine ya vichochoroni..so hakuna sababu ya kwendelea kumjadili.
Hahahah
Messi kawahi kufunga magoli safi kavsa sijawahi kataa. Lakini haiondoi thamani ya magoli ya walio piga penalt ndio point yangu hiyo.

Pele angefunga goli hata 1 la vichochoroni FIFA isinge litambua, kama ambavyo ilifanya kwa Romario
 
Sasa hiyo ni wewe kazi yako ku review miaka ambayo chelsea alikuwa mzuri sana halaf madrid akawa mbovu. Nakupa mfano tuu. Chelsea ya 2012 kwa style yake ingeweza kuifunga timu yyte.

Mjadala wa madrid kuwa wateja wa Messi sidhani
Mwezi agost tu tuliwaunga mechi mbili mfululizo na Messi akiwemo.
Nakubali kuwa Messi akicheza Santiago huwa ana miliki uwanja napo si mara zote
Chelsea ya 2012 ambayo ilimaliza ya 3 kwenye ligi?

Sasa iliishiaje nafasi ya tatu kama walikua vizuri na wangeweza kuifunga team yoyote?

Messi ni top scorer wa el classico, sasa nikisema Madrid ni kibonde wake simsingizii.

Iwe amefungia bernabeu au camp nou, still Madrid ni kibonde wake!

I know it hurts!
 
Unaharibu mkuu, discussion za mchezo hazitak panicing. Nilikuwa nakusahihisha kitu ambacho ulikosea. Hisia zako zinakutuma yeye ndio mchezaji bora, ila si lazima wote tuseme hivo na si kweli ni hisia tuu.
Soka ilianza kuchezwa mwaka 270 BC, huwezi form no where ukasema Messi ndio bora kwa time yote.wakat umeazaliwa mwaka 1990 or 80 or 70 unatumia hisia tu hapo.

Huo mwaka 270 BC ulikuwepo? Unaweza kututajia wachezaji wa miaka hiyo?

Sisi tunazungumzia kwanzia kipindi cha akina pele mpaka 2018. Wa kabla yake hatuwajui na pengine soka lilikuwa halijaanza hata kuchezwa..so MESSI atabakia kuwa mchezaji bora kuwahi kutoa katika hii dunia,, na hilo unalitambua sana except humpendi tu.
 
Sasa una niunga mkono, kwa kuwa sote hatukuepo usiseme hajawahi tokea unlesa unawajua wote walio wahi tokea.
Wakati wa Pele wenyewe ulikuepo? Huna rekod za kutosha za kumchambua pele hata kdogo.
Ndio maana nasema nyie semeni mnampenda Messi na mnaona ni mchezaji bora kwa sasa.
Mimi pia namoenda Cr 7 na nadhani he is way better than Messi ila sjawahi weka blasphemy kama zenu.
 
Chelsea ya 2012 ambayo ilimaliza ya 3 kwenye ligi?

Sasa iliishiaje nafasi ya tatu kama walikua vizuri na wangeweza kuifunga team yoyote?

Messi ni top scorer wa el classico, sasa nikisema Madrid ni kibonde wake simsingizii.

Iwe amefungia bernabeu au camp nou, still Madrid ni kibonde wake!

I know it hurts!
Achana na Chelsea iliyo anza msimu naongelea chelsea ilyo watoa Barcelona nusu fainali ya UEFA. Walianza vibaya walimaliza msimu vzuri. Kwenye ligi nadhani walishika u sita kabsa ila walichukua UCL na FA na hata nyie waki wanyoa na Messi hakutia goli pale.

Sawa lets say Madrid ni kibonde wake, so what?

It doesnt hurt at all.
 
Come on man I feel your pain!

Naona atletico wanawakomalia hapa, mtapata point kweli?
 
Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga

Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.

Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu
Messi ndiye mfungaji aliyezifunga Mara nyingi timu zote kubwa kwenye La Liga kitu ambacho Ronaldo ataendelea kuota tu
 
Messi ndiye mfungaji aliyezifunga Mara nyingi timu zote kubwa kwenye La Liga kitu ambacho Ronaldo ataendelea kuota tu
Messi alikuwepi La liga toka ana zaliwa braza. Yaan hata hujafikiria hii kitu
 
Ameifunga chelsea ambayo hata Burnley wali ifunga

Amemfunga Biffoni katika mwaka wake wa mwisho kabsa wa kuondoka.

Ni kweli kawafunga lakini kawakuta wakiwa wadhaifu
Naye pia wamemkuta akiwa mdaifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom