FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huo ni mtazamo wako. Usitake kutulazimisha wote tuwe na mtazamo wa mlengo wa ki feki feki. Hayo kawalopokee kwenye Uzi wenu huko.
Unaharibu mkuu, discussion za mchezo hazitak panicing. Nilikuwa nakusahihisha kitu ambacho ulikosea. Hisia zako zinakutuma yeye ndio mchezaji bora, ila si lazima wote tuseme hivo na si kweli ni hisia tuu.
Soka ilianza kuchezwa mwaka 270 BC, huwezi form no where ukasema Messi ndio bora kwa time yote.wakat umeazaliwa mwaka 1990 or 80 or 70 unatumia hisia tu hapo.
 
Nani kakwambia washabiki wote wa Barcelona tupo Argentina. Ukiwa mgeni wa mambo uliza. Messi anaisaidia sana Argentina, Tena sana. hivi juI ilikuwa kidogo isiiende Russia lakini jamaa singlehandedly kaivusha. Kaifikisha timu yake fainali. Amechukua uchezaji bora wa world Cup, asingechukua kama angekuwa haisaidii timu yake. yaani wewe mtu kuisaidia timu mpaka achukue kombe la dunia au la bara?

Wanaumia sana kuona Messi anazisaidia timu zake,, kwa upande wa magoli pia wanaumia sana kuona akifunga magoli mazuri ambayo kwa mchezaji mwingine ni nadra sana. Siku ukisikia ronaldo kapiga hattrick ujue ndani yake kuna mipenalties. Wakati Messi Freekick kwake kama Penalties😀😀😀😀

Kumbe wakati mnashangilia bicycle kick mlikua mmesahau kwamba Buffon amechoka?
Ronaldo alikuwa anamfunga Buffon toka kitambo, ila Messi ndio alikuwa hajawahi mfunga mpaka kavizia mwaka wake wa mwisho ambao jamaa hayuko njema.

tulishangilia Bicycle Kick kwa kuwa ni special style wala hatuku comment llte kuhusu Buffon.

Zlatan alipiga BK wakati golini hakuna kipa yet ilikuwa goal of the year, yaan BK ni special no matter what bros
 
Unatoka nje mada hapo, nimeongelea ishu ya Chelsea na Buffon. Ambayo nimekubali kuwa finally kawafunga lakini wakiwa weak.
Unaongelea magoli jero
Mbona Cr 7 ana magoli 600 na ziad, Pele ana magoli 1000 whats so special about Messi mwenye jero?
Tatizo huna hoja za msingi. Umesema kawafunga Chelsea na Buffon aliyechoka. Mantiki iko wapi hapo ? 7bu zako hazina mashiko maana wingi wa magoli aliyonayo ni uthibitisho tosha kwamba si kweli kwamba ubovu wa Chelsea/Buffon ndo 7bu pekee ya kuwafunga.

Mambo ya feki wako na magoli 600 yanatoka wapi. Hata hivyo nani kaanza kucheza soka la kulipwa kati yao?

Usitoke nje ya mada hoja yako ilikuwa kuwafunga Buffon/Chelsea iliyochoka wakati hata Madridiot kawapiga zaidi ya goli 25 (kwa hiyo nanyie ni wabovu wake kila tukikutana el-clasico?)
 
Ronaldo alikuwa anamfunga Buffon toka kitambo, ila Messi ndio alikuwa hajawahi mfunga mpaka kavizia mwaka wake wa mwisho ambao jamaa hayuko njema.

tulishangilia Bicycle Kick kwa kuwa ni special style wala hatuku comment llte kuhusu Buffon.

Zlatan alipiga BK wakati golini hakuna kipa yet ilikuwa goal of the year, yaan BK ni special no matter what bros
Hata sisi tunaposema Messi kamfunga Buffon wala hatuongelei habari za mwaka wa mwisho wa Buffon. The records shall stand!

Hizi bicycle kick hata lukaku anapiga.

You guys will always find excuses!

Yani unamshangaa Messi aliepiga hatrick el classico kuifunga Chelsea, eti unasema Chelsea wamechoka?

Kwahiyo Chelsea hua wako vizuri kumshinda Madrid sio? Maana nyie hua anajipigia akijisikia!

Unaharibu mkuu, discussion za mchezo hazitak panicing. Nilikuwa nakusahihisha kitu ambacho ulikosea. Hisia zako zinakutuma yeye ndio mchezaji bora, ila si lazima wote tuseme hivo na si kweli ni hisia tuu.
Soka ilianza kuchezwa mwaka 270 BC, huwezi form no where ukasema Messi ndio bora kwa time yote.wakat umeazaliwa mwaka 1990 or 80 or 70 unatumia hisia tu hapo.
Huna jipya, hata kama uwe umezaliwa 270BC. Tuliza ball tu Mzee timu feki feki.
 
Ronaldo alikuwa anamfunga Buffon toka kitambo, ila Messi ndio alikuwa hajawahi mfunga mpaka kavizia mwaka wake wa mwisho ambao jamaa hayuko njema.

tulishangilia Bicycle Kick kwa kuwa ni special style wala hatuku comment llte kuhusu Buffon.

Zlatan alipiga BK wakati golini hakuna kipa yet ilikuwa goal of the year, yaan BK ni special no matter what bros
Special style kwako! Magoli ya bicycle kick yapo lukuki tu.
 
Hata sisi tunaposema Messi kamfunga Buffon wala hatuongelei habari za mwaka wa mwisho wa Buffon. The records shall stand!

Hizi bicycle kick hata lukaku anapiga.

You guys will always find excuses!

Yani unamshangaa Messi aliepiga hatrick el classico kuifunga Chelsea, eti unasema Chelsea wamechoka?

Kwahiyo Chelsea hua wako vizuri kumshinda Madrid sio? Maana nyie hua anajipigia akijisikia!

Wakuu mnahama hama mada sana jikuteni sehemu moja basi.
Ishu ya chelsea na Buffon mmeanzisha wenyewe, alikuwa hajawahi wafunga toka azaliwe, ndio kawafunga, kwani nani ambaye hamfungi chelsea sku hizi!? Chelsea ni mbovuu.
Buffon kazeeka so wala sio shda.

Lukaku hajawahi funga BK umedanganya umma.

Messi kaifunga Madrid amewahi kwa hiyo sipingi hilo
 
Hivi bado mapovu ya mlenda yanawatoka watu kuhusu BK ya Cr7 mbona goli la kawaida sana, haya mapovu ya mlenda yanasadifu ubora wa goli......
 
Kumbe wakati mnashangilia bicycle kick mlikua mmesahau kwamba Buffon amechoka?

Akikujibu nitag...Rooney alishafunga goli kama hilo likaonekana la kawaida tu, ibrahimovich pia...but kafunga jamaa yao juzi limekuwa la maajabu 😀😀😀

Wakuu mnahama hama mada sana jikuteni sehemu moja basi.
Ishu ya chelsea na Buffon mmeanzisha wenyewe, alikuwa hajawahi wafunga toka azaliwe, ndio kawafunga, kwani nani ambaye hamfungi chelsea sku hizi!? Chelsea ni mbovuu.
Buffon kazeeka so wala sio shda.

Lukaku hajawahi funga BK umedanganya umma.

Messi kaifunga Madrid amewahi kwa hiyo sipingi hilo
Swali langu ni je, hao Chelsea hua wako vizuri kuwashinda nyie Madrid?
 
Special style kwako! Magoli ya bicycle kick yapo lukuki tu.
Eeh yako mengi ila hayako Mengi kama magoli ya kichwa au ya stail zengine kwa kuwa ni special goals
Ndio maana umeona tunalifurahia

Uwanja mzima wa Turin uli appriciate kwa kumpigia makofi Cr 7 sasa wewe uko bongo hapa utaanzaje kuli diss goli kali kama lile bhana. Ndio hisia nnazo sema hizo.
 
Swali langu ni je, hao Chelsea hua wako vizuri kuwashinda nyie Madrid?
Chelsea hawako vizuri kuwashinda Burnley watakuwaje vizuri kuishinda Madrid bhanaa!
Hawako vzuro kuishinda Madrid ndio
 
Wanaumia sana kuona Messi anazisaidia timu zake,, kwa upande wa magoli pia wanaumia sana kuona akifunga magoli mazuri ambayo kwa mchezaji mwingine ni nadra sana. Siku ukisikia ronaldo kapiga hattrick ujue ndani yake kuna mipenalties. Wakati Messi Freekick kwake kama Penalties😀😀😀😀

Penalti ni goli vile vile braza, haimshushii mtu thamani ya goli
 
Akikujibu nitag...Rooney alishafunga goli kama hilo likaonekana la kawaida tu, ibrahimovich pia...but kafunga jamaa yao juzi limekuwa la maajabu 😀😀😀

Hatuja kataa hadi Benteke ashafunga
Ila ni goli special na si kila mchezaji atafunga tena kwenye mechi kali ya UEFA kama ile. Tena akiwa ugenini.
 
Chelsea hawako vizuri kuwashinda Burnley watakuwaje vizuri kuishinda Madrid bhanaa!
Hawako vzuro kuishinda Madrid ndio
Sasa hicho kisingizio cha kusema sasa hivi Chelsea hawako vizuri umekitoa wapi?

Ni lini walikua vizuri kuwashinda Madrid Wateja wa Messi?
 
Unatoka nje mada hapo, nimeongelea ishu ya Chelsea na Buffon. Ambayo nimekubali kuwa finally kawafunga lakini wakiwa weak.
Unaongelea magoli jero
Mbona Cr 7 ana magoli 600 na ziad, Pele ana magoli 1000 whats so special about Messi mwenye jero?

Yani wewe jamaa ni mbishi sijapata kuona. Magoli ya Messi yaliyoenda shule yenye akili nyingi utalinganisha na magoli ya waotea nyavu na mapenalti kibao...kwanza huyo babu yako pele tumeshamjadili sana humu na magoli yake yanajulikana mengine ya vichochoroni..so hakuna sababu ya kwendelea kumjadili.
 
Sasa hicho kisingizio cha kusema sasa hivi Chelsea hawako vizuri umekitoa wapi?

Ni lini walikua vizuri kuwashinda Madrid Wateja wa Messi?
Sasa hiyo ni wewe kazi yako ku review miaka ambayo chelsea alikuwa mzuri sana halaf madrid akawa mbovu. Nakupa mfano tuu. Chelsea ya 2012 kwa style yake ingeweza kuifunga timu yyte.

Mjadala wa madrid kuwa wateja wa Messi sidhani
Mwezi agost tu tuliwaunga mechi mbili mfululizo na Messi akiwemo.
Nakubali kuwa Messi akicheza Santiago huwa ana miliki uwanja napo si mara zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom