Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah nadhani ushapata matokeoBarca hamna uwezo wa kumfunga atletico kwa kipindi hiki kiwango chenu kimeshuka sana
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah nadhani ushapata matokeoBarca hamna uwezo wa kumfunga atletico kwa kipindi hiki kiwango chenu kimeshuka sana
Amesharudi pangoniHa ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah nadhani ushapata matokeo
Yaani huyu jamaa, digne, vidal na alcacer huwa akiingia tu hadi hamu ya mpira inaniishaAndres gomez syndrome in Camp Nou
Barca inapack basiHa ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah nadhani ushapata matokeo
Ha ha pack bus na wewe tuoneBarca inapack basi
Barca ipi hiyo? Nadhani leo ulikuwa na matokeo yako mfukoniBarca inapack basi
Shida siyo gape man angalia Inesta kapata majeraha nadhani kocha ndiyo atamtumia Gomez badala ya DenisGame ilikua ngumu kabla hatujaicheza mkuu kikubwa tumechukua point 3 na gape limeongezeka, huyu Gomez atawapa vidonda vya tumbo
Acha mkwara dogo
Sure mkuu kwa mtazamo wa mbali hilo nalo ni tatizo sana mana hatujui majeraha yake yatadumu kwa muda gani na chaguo la kocha ndio Gomez asee itatucostShida siyo gape man angalia Inesta kapata majeraha nadhani kocha ndiyo atamtumia Gomez badala ya Denis
Well said na ana wivu sana mf.cavan anapotupia yy anaona wivu alitaka yy ndo aongoze kwa kufunga magoli thats why hata ikitokea penalt anataka apige yy.neymer hatofika mbali sabab ya roho mbayaTatizo la Neymar anataka mafanikio makubwa kwa mda mfupi.
Ha ha ha haMoja kati ya wachezaji ambao ni wapumbavu na mpaka sasa wanajuta kwa maamuzi yao ni Neymar, kuondoka Barca ambayo unacheza na Messi na kwenda timu kama PSG ambapo kuonekana mpka UEFA unahitaji kuwa na akili chafu kama za polic wa chama cha map.....
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah nadhani ushapata matokeo
Ahaha dr shika huyu jamaa ni mchawiInaniwia ngumu kuamini kama Gomez ndiyo atacheza hiyo namba ya Iniesta kwenye UEFA sitaangalia hiyo mechi kwakweli presha yangu itaniu mimi.
Ndio ujinga wa Valverde badala apumzike kwa ajili ya UEFA yeye anamweka tu sasa sijui tulimsajili Coutinho wa niniInesta atakuwa njee kwa week 3
Yaani haiwezekani mtu kama Denis anapigwa bench halafu yeye anachezeshwa kwa kiwango gani hasa yaani sielewi.Ahaha dr shika huyu jamaa ni mchawi
Denis hata bench hawekwi mkuu, Velverde anafanya hata hamu ya kuangalia mechi inaishaYaani haiwezekani mtu kama Denis anapigwa bench halafu yeye anachezeshwa kwa kiwango gani hasa yaani sielewi.