FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

shikamoo alhajj lionel messi kwa kuendeleza tabia yako ya kufukuza mwizi kimya kimya, kama sikosei hili ni goli la tatu mfululizo kufunga kwa free kick.
aigooooo imefika wakati wapinzani wanatamani messi apige penalty kuliko free kick.
maxresdefault.jpg

picha hii haina uhusiano wowote na nilichokiandika huenda babu yangu amedukuwa account yangu ya JF.
 
Messi wanamkana sasa anawachinja kwa free kick, naona anataka atengeneze rekod ya free kick
 
shikamoo alhajj lionel messi kwa kuendeleza tabia yako ya kufukuza mwizi kimya kimya, kama sikosei hili ni goli la tatu mfululizo kufunga kwa free kick.
aigooooo imefika wakati wapinzani wanatamani messi apige penalty kuliko free kick.
maxresdefault.jpg

picha hii haina uhusiano wowote na nilichokiandika huenda babu yangu amedukuwa account yangu ya JF.

Huyu ndiye mfalme halisi.
 
Alaf Haters wanaomba King apige penalt kuliko freekick
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom