kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Sergio fundi anapiga namba ngapi yule kiungo muongo muongo busquets?Sergio Roberto kilaka leo anapiga no 6
Sergio fundi anapiga namba ngapi yule kiungo muongo muongo busquets?Sergio Roberto kilaka leo anapiga no 6
mimeona kanaanguka sana kwenye kugombania mpira. ila kwa uwezo na spidi sina shaka naye.Ma ball dancer mkuu ndo wanavokua mana chenga zake sio za kukimbizana za kutumia nguvu ni unatishwa uku ukienda uku anadesh ana desh tena we apo ushapoteza network lazima u paralyze kwa mda mkuu maana speed anayotumia kudesh na kudance ni speed ya light ambayo ata ubongo hauwezi kungamua anachofanya.
mimeona kanaanguka sana kwenye kugombania mpira. ila kwa uwezo na spidi sina shaka naye.Ma ball dancer mkuu ndo wanavokua mana chenga zake sio za kukimbizana za kutumia nguvu ni unatishwa uku ukienda uku anadesh ana desh tena we apo ushapoteza network lazima u paralyze kwa mda mkuu maana speed anayotumia kudesh na kudance ni speed ya light ambayo ata ubongo hauwezi kungamua anachofanya.
Hakika andiko lilitimia mkuuBila shaka umeiona
Eeeh you got my point kuna kitu sikielewi hizi previous match kama ulivyosema kwanini Rakitic anakabisa sana chini?yaani yeye ndo anakua Busquets ?tumemzoea anakabia juu hii imesaidia sana ku solidify defenceAseee leo tumeupiga mwingi mno. Yan pale kati Raktic na Busquets sielewi nani no.6 nani no.8 wote wanakichafua ile ile combination yao naipenda sana kwa kweli tuache tena kutumia viungo wengi kwenye timu wasio na faida. Semedo na Dembele leo wamewasha sana moto, hofu yangu Semedo asiwe ameumia sana akakosa game na chelsea.
Coutinho, Messi na Suarez ni moto wa kuotea mbali.
Yeah ni kweli hilo ndio tatizo lake kubwa (stamina)mimeona kanaanguka sana kwenye kugombania mpira. ila kwa uwezo na spidi sina shaka naye.
What a curve shoot from coutinho!? Yule dogo anajua kucurve mipira kama anatoka nchi za nje Kinyerezi.![]()
![]()
Leo team imekuwa na composure na professionalism ya hali ya juu.
Kama kawaida huwa nikifurahi najikuta tu nimetupia kispanish. Mes que un club, contigo el finale por amor de una mujer el Barca para trabajo tamka ( trabayo). Aaaaahaha I feel so gud kwa ushindi huu.
Visca Barca.

Hapo hata mimi nashangaa mchizi anavyokabia kwa nyumaEeeh you got my point kuna kitu sikielewi hizi previous match kama ulivyosema kwanini Rakitic anakabisa sana chini?yaani yeye ndo anakua Busquets ?tumemzoea anakabia juu hii imesaidia sana ku solidify defence
Hadi sometimes anakua kama beki 4 hivi ...Hapo hata mimi nashangaa mchizi anavyokabia kwa nyuma
Mkuu naona amekabia juu Leo kwa sababu ya fund Sergio Robert cjui kwa nn kocha anampanga full.. Dogo anaujua sana akitokea katkat. Nafkr no.6 ndo basic aliyokomaa nayo kimpira. Cjui kwa nn full back ..? Czielawagi kabsa hesabu za makocha wetu. Nakumbuka Sergio Robert aliwah kucheza kat el classical moja ..aliuchafua balaa ule uwanja. Hyo mechi nafkr ndo ilisababsha Rafael benitez afukuzwe kaz. Kumbuka Sergio hyo ndo ilikua el classical ya kwanza kwake.Eeeh you got my point kuna kitu sikielewi hizi previous match kama ulivyosema kwanini Rakitic anakabisa sana chini?yaani yeye ndo anakua Busquets ?tumemzoea anakabia juu hii imesaidia sana ku solidify defence
Sevilla wanazingua. dk ya 50 wametundikwa 3. nilitegemea wamsimamishe ATM, ngoja nidozi zangu.