Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Mkuu leo King kafikisha goli la 600Ivi uko Spain kumejaa wapumbavu tupu why wasimshitue valverde aachane na gomes?
Mkuu leo King kafikisha goli la 600Ivi uko Spain kumejaa wapumbavu tupu why wasimshitue valverde aachane na gomes?
Hata mm siafiki kabisa kutoka kwa Rakitic
Mkuu leo King kafikisha goli la 600
Daah ndio basi tena, ukisikia limbwata ndio hizi sasaKumbe sio sisi pekee tunaodoubt uwezo wa gomez hata majuu ila huu ndio msimamo wa Kocha huu ndio msimamo wake.![]()
analazimisha Coutinho na iniesta wote wacheze. ona Sasa tutakutana na chelsea bila iniesta. midfiel ya rakitic, busketi na coutinho ndiyo tungeendelea nayo kwenye ligi iniesta angekipiga UCL. kocha huyu naye!!?Shida siyo gape man angalia Inesta kapata majeraha nadhani kocha ndiyo atamtumia Gomez badala ya Denis
Tulipoteza pesa...tuliuza ng'ombe tukaleta ng'ombe ingineHuyu Gomez ni TAKATAKA TUPU

Wamshtue kwa njia gani mkuu? Angekuwa bongo wewe ungemshtua kwa njia gani?Ivi uko Spain kumejaa wapumbavu tupu why wasimshitue valverde aachane na gomes?
Mchezaji mrefu kama anapanda minazi, na bado mpira hajui.Tulipoteza pesa...tuliuza ng'ombe tukaleta ng'ombe ingine![]()
![]()
![]()
Tulipoteza pesa...tuliuza ng'ombe tukaleta ng'ombe ingine![]()
![]()
![]()
kweli kabisaKazomewa live uwanjani jana si kawaida kwa Barca FansWamshtue kwa njia gani mkuu? Angekuwa bongo wewe ungemshtua kwa njia gani?
Mkuu Barca ya saizi kuna kitu inakosa, na kitu chenyewe ni kuwa pale mbele ina watu wachache sana, kutokana na kuwa viungo wengi sana. Pia haiko fasta kutoa pass. In short hawana speedWatu wanalalamika ushindi finyu ila kiuhalisia Atletico ana defense nzuri sana, mbona hatulalamiki kumpiga Girona 6? Kocha alikuwa Luis Enrique au huyuhuyu?
Atletico wazuri.
Huyu kocha anapata shida sana kupanga kikosi na yuko so rigidToka kuondoka kwa Neymar,Barca imepoteza ability ya devastating counter attack- Velverde inabidi am groom Dembele kwa role hiyo. All in all match ya leo ilikuwa ngumu-3 points in the bag could be crucial come the end