Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,327
Neymar ana kichaa, Coutinho hawezi kukubali kwenda PSG...na Barca hawawezi kukubali hiyo proposal ya kijinga!Semedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.