A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Naomba anaefahamu mkataba wa Denis na Barca ukoje anieleweshe labda kuna kipengele kinamzuia kucheza
Hakuna kitu kinaumiza kama valverde kumpiga benchi Denis dogo anakipaji kiasi kwamba Paco,Gomez, Vidal na Jose arnaiz wote wakiwa combained together hawamfiki hata robo nakumbuka wakati hatujamsajiri alitutesa mno akiwa Villarreal sitoisahau hiyo mechi
Nimeona kwenye media Camp Nou hawana kawaida ya kuzomea ila wamepiga sana buuuu buuu (putta) kwa Andres Gomez
Mkuu, Man City wana nini na huyu jamaa?Hii ndio sababu Gomez anatamba pale Nou camp.![]()
Alikuwa mchezaji wao man city na walimuuza barca but moja kati ya masharti ya mkataba ni kulipwa kiasi hicho tajwa hapo juu akicheza game yeyote ile akiwa na jezi ya barca.Mkuu, Man City wana nini na huyu jamaa?
Daaah, tuliingia mkataba mbovu sana.Alikuwa mchezaji wao man city na walimuuza barca but moja kati ya masharti ya mkataba ni kulipwa kiasi hicho tajwa hapo juu akicheza game yeyote ile akiwa na jezi ya barca.
Kumbe tusimlaumu kocha, mkataba ana spend money more wisely.
Nataka ku upload picha ya dogo akiwa na Uzi wa man city but access inakuwa denied.
Alikuwa mchezaji wao man city na walimuuza barca but moja kati ya masharti ya mkataba ni kulipwa kiasi hicho tajwa hapo juu akicheza game yeyote ile akiwa na jezi ya barca.
Kumbe tusimlaumu kocha, mkataba ana spend money more wisely.
Nataka ku upload picha ya dogo akiwa na Uzi wa man city but access inakuwa denied.
Naomba link nichek aiseeAnapiga vyenga hatari,
Valverde ni mjinga tu kwani barca wakilipa huto tu pesa kwa man city yeye ina muuma nini?