GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Mkuu relax kwa match ya leo mzigo uko hvyo.Itakua safi sana mkuu kama kweli mzigo ukiwa hivyo maana hii game inanipa presh sanaaa
Lkn ni kweli kocha anazingua sana kuna baadhi ya match ni za kushinda lkn anatoa draw na mchezo unakuwa sio wa kuvutia kabisa. Lkn kwa leo tuna shinda