Barcelona saizi wachezaji kumi maana Gomez hatuhesabu kwa kweli
mkuu unanifurahisha sana eti tupo 10Kweli me nakubaliana nae![]()
mkuu unanifurahisha sana eti tupo 10
Game ilikua ngumu kabla hatujaicheza mkuu kikubwa tumechukua point 3 na gape limeongezeka, huyu Gomez atawapa vidonda vya tumboKweli me nakubaliana nae
Huyu Gomez tangu last season yaani akiingia tu lazima ujisikie horribleGame ilikua ngumu kabla hatujaicheza mkuu kikubwa tumechukua point 3 na gape limeongezeka, huyu Gomez atawapa vidonda vya tumbo
Barcelona saizi wachezaji kumi maana Gomez hatuhesabu kwa kweli
Haina jinsi mkuu tukomae tu na dua chama lipate matokeoHuyu Gomez tangu last season yaani akiingia tu lazima ujisikie horrible