Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Mwanamke kukujia saa 5 kibabe ina maana anakumudu. Your nothing to her ndio maana haoni shida. When you are wifed to someone you have ties with the guy and you have to abide to the guys rules.

Shida ya wanawake wa sikuhizi wanapenda ile lifestyle ya kujitawala sana. Afanye anachojiskia tu while yuko kwenye himaya yako eti kisa ana kazi yake na anapata mshahara. Ukimuwekea mipaka tu zinaanza ligi ndio maana wanawake ni wengi sana ila wake ni wachache mno sikuhizi. Mwanamke wa kweli ni yule aliepo lenient kwa mume wake na asieona shida kufuata njia nzuri ya kuishi na mumewe kwa amani.

Hahahahaa

Exactly my sentiments......

Wakitaka hiyo freedom wanayoitaka wangetakiwa wajioe wao wenyewe!
 
Hii ya kurudi usiku Kwakweli kisa saloon haijakaa sawa japo mama wakwe wengine ni wakorofi kwa hapa lazima akukate jicho tu. Unaweza ukatafuta muda mzuri wa kuwahi saloon ili uwahi kurudi mapema kuangalia majukumu mengine ya familia.
 
Exactly, sasa mie huwa nasemaga ukweli ila kuna baadhi wanaoonaga kama nazingua au mkoloni ila kuna utaratibu wa kuishi katika ndoa. Hatuwezi kuvumilia tu tabia za kijinga jinga hivi kama ambavyo wao wanaona sahihi kwao!
 
Ndoa nyingi zenye wakwe huwa ugomvi hauishi labda mume awe mtu asiejali issues za mama na mkewe la sivyoooo.
Kuna mmoja kavalishwa na Pete tayari na mtoto juu mama mkwe kasema hataki mwanae amuoe tena na hayo yote sababu wanaishi nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa mwanaume awe very rigid. La asivyo ndoa inakwisha chap kwa haraka. I have a known case ya msista yeye ameolewa unyakuyusani na mumewe was a mamas boy maana baba yao alifariki akiwa std 6 so amelelewa na wajomba. Ameoa akiwa 34 ila hawaku move nyumbani so amekuwa akiishi ukweni muda mrefu na mama mkwe.

7 years later mkwe alipostaafu akahamia Houston akawaacha wenyewe bongo. After a year sisy akaingia Toronto akavuta mume na watoto wakawa wametulia. Ishu ikaja wifi yake mtoto wa mjomba akaanza kuleta jealous. Chokochoko ili aharibu ndoa ya mwenzie tu akapewa shit thru message aache kumfatilia sisy na family yake.Alivyo mshenzi kasambaza meseji kwa ukoo wote wa wanyaki waliopo marekani ikawa balaa. Wanyaki wamekomaa ati wanataka sista awe mdogo awasujudie aombe msamaha ukoo mzima kisa amemtumia meseji ya kumchana wifi yake afate mambo yake asimvurugie nyumba.

Mama mkwe kaona saga akaongea point blank hana cha kusaidia maana kama ishu imefikia hapo alipaswa ajue mapema ila labda wifi aombwe msamaha na ukoo wote wamechafuliwa. Mume mtu nae alivyo weak ameshindwa ku side na mke wake wamalize utata kaungana na mama yake tena wanamshambulia mke. Hii kitu imenishangaza sana aisee. Ndoa inaweza kuwa kitu cha ajabu sana mume asipojua mipaka ya mama yake katika nyumba yake.

I see the marriage breaking slowly to divorce kwa kesi ya kijinga ambayo sijapata kuishuhudia toka nimeanza kujielewa.
 
Ujinga ujinga tu. Ugomvi wa mtu na wifi yake mume unamuhusu nini? Aache mke kisa kagombana na dada? Kwahiyo atampelekea dada ake watoto awalelee au.?

Duh yani acha tu sijategemea kidume cha 43 yrs kishindwe kusimama imara na mke wake kusawazisha hilo tatizo, halafu ubaya ni kuwa jamaa hana shida na mke hata moja wako peace tu ila ndio anashikwa maskio na mamaake na ukoo. Ndio maana nimekuwa na chuki sana na hao raia, huwezi mkosea mtu halafu utegemee yeye ndio aanze kukusujudia its very injustice.
 
You are absolutely right, hata hivo upate mume matured, anaejitambua na kujua hali pamoja na kusoma alama za nyakati, huyu mtakaa sasa upate mume kila mkifanya ndani ya kuta nne kimefika kwa mamake, hata ukimtania kidogo kesi hii ndoa ni ngumu, nina shemeji yangu yan wakitibuana na mkewe kashika sim kwa mama ake imepelekea familia nzima inachukia mke japo hatujakamilika lakini haifai kutoa siri za ndan mwenu hata kwa mama yenu wanaume mmeumbiwa vifua
Hahahah huyo ni mvulana sio kidume!
 
Hujakutana na bibi mwenda yule mnene anaeongeaga hadi kiluga au ukutane na kile kimama kiswahili kinachovaaga miwani kwenye maigizo ya kaole nakwambia hivi kinakutandika makofi na mtoto wake anakuta kinalia chenyewe badala ya wew usione wasione watu wanajipendekeza kwa mama mkwe sio kama wanapenda

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk

Sio zama hizi.

Hata wakwe wa siku hizi wanajitahidi kuwa nice grannies and amicable mother in laws
 
Duh yani acha tu sijategemea kidume cha 43 yrs kishindwe kusimama imara na mke wake kusawazisha hilo tatizo, halafu ubaya ni kuwa jamaa hana shida na mke hata moja wako peace tu ila ndio anashikwa maskio na mamaake na ukoo. Ndio maana nimekuwa na chuki sana na hao raia, huwezi mkosea mtu halafu utegemee yeye ndio aanze kukusujudia its very injustice.

Kuna mwingine mtu mzima kaachana na mkewe kisa kajifungua mtoto wa tatu wa kike

Mama wa mwanaume kaja juu mwanawe atafute mwanamke wa kumpa mtoto wa kiume ili ukoo usipotee

Mwanaume kamuacha mkewe na wanawe watatu Ila Mungu mkubwa
Mama anaendeleza maisha
 
Back
Top Bottom