KIBEBA BEBEA
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 251
- 312
Mama yako hata akikutukana matusi ya nguoni hayaumi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] sina mume, halafu jadili mada bila kunisimanga mimi binafsi mkuuKhantwe mumeo atakua anapata shida sana!
Sidhani kama kuna hoja anaweza weka mezani ukaikubali!
[emoji23][emoji23][emoji23] sina mume, halafu jadili mada bila kunisimanga mimi binafsi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wengi wapo hivyo so nikujipanga kujua namna ya kuishi nao, ila pia wanawake wenye vimdomo ni kukanao mbali kabisa tupilia mbaliKhantwe mumeo atakua anapata shida sana!
Sidhani kama kuna hoja anaweza weka mezani ukaikubali!
Hao waamama wanajua kutimiza majukumu yao, ukiona mama anamtetea mwanae aliyepigwa na mmewe ujue huyo mama ana matatizo makubwa kiufahamuNamaanisha mama wa wanaume, maana mwanamke akinyanyasika hata mama yake mzazi anakuwa upande wa mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
nimesoma mahali umesema eti bora atoroke kazini, yaani kila wiki awe anatoroka kazini kwaajili ya kwenda saluni,![]()
waambieni wake zenu wanyoe vipara kama mimi maana sio kwa kuteseka huko. Mnapenda wapendeze na mnatakiwa mjue kupendeza kuna gharama zake
Wanawake wengi wapo hivyo so nikujipanga kujua namna ya kuishi nao, ila pia wanawake wenye vimdomo ni kukanao mbali kabisa tupilia mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani,hivi wanawake kumbe wanaenda saluni "KILA SIKU"?
This is new to me!
Nachojua,atleast once a week....
Sasa unashindwaje kupanga j2 kuanzia asubuhi ukafanye hiyo kazi urudi saa kumi jioni?
Dada wa kazi si unao?
Usenge wa kurudi saa nne unatoka wapi?
Women hate themselves,you want to be men so bad,why are you guys not happy in your own skin?
Being a man sio rahisi kama mnavyodhani!Be happy with yourselves in your own lane!
Wala kupendeza sio ishu,ishu hapa ni ratiba tu!
Wanaume wanaumia sana mwanamke akirudi nyumbani usiku hata iwe sababu kubwa kiasi gani,they hate it to death!
Sema basi tu...!
Hujakosea mkuu, mapungufu ya mwanamke kuanzia ujeuri, dharau kutokua msikivu na kujipangia mambo yeye mwenyewe kama anaishi peke yake ni matokeo ya udhaifu wa mwanaume kushindwa kumuweka sawa mke wake,Wenye vimdomo nilivikwepa kitambo sana....
Hawa watu bila amsha amsha wanakuona boya mzee baba!
Akichelewa tu,moto unawashwa,biti nyingi sana na sound mvua CD 600!
Harudii!
Wewe ushalipiwa mahari na you belong to your inlaws! Kwa hiyo wewe ni mtoto wa wakwe. Na mtoto kwa mzazi hakui. Kwa hiyo kibao, fimbo toka kwa mkwe ni halali kwako[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati mtoto wake anaweza kuwa anaonewa kabisa ila ye anakomaa tu kumkandamiza, nimeona haya si kwamba naongea kutoka hewaniHao waamama wanajua kutimiza majukumu yao, ukiona mama anamtetea mwanae aliyepigwa na mmewe ujue huyo mama ana matatizo makubwa kiufahamu
Unarudi saa nne sababu ya saluni?
Duh,wanawake siku hizi mna roho ngumu kama jiwe akyanani!
Kama unajiheshimu kwanini hayo yote yakufikie, hapa tunaongelea mwanamke amabae yeye ataenda saluni akae huko anarudi saa tano usiku, sasa kama unajiheshimu itawezekanaje mgombane na mama mkwe,Hapana aisee.
I like to believe am a good woman. Humble, loyal, respectful and smart.
Ila kwa kupiga na wakwe hapana. Hata hiyo mtoto wao haipogo.
Basi nipeleke saloon na unisubiriWanawake siku hizi hata ruksa wanaomba kweli?
Are you living in Mars?
Kurudi usiku kwa mwanamke infact for any reason,wanaume can't afford that!
Mnashindwaje kufanya kazi zenu mchana?
Usiku wakati watu wanarudi majumbani nyie ndio mnaanza kazi?
Morons!
Kuna mama wana visa, atakutafutia because tu mgombaneKama unajiheshimu kwanini hayo yote yakufikie, hapa tunaongelea mwanamke amabae yeye ataenda saluni akae huko anarudi saa tano usiku, sasa kama unajiheshimu itawezekanaje mgombane na mama mkwe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nimememwambia hivi, kama anateseka akakae nae saluni asubirie asikilize na umbea hahaBasi nipeleke saloon na unisubiri