Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,278
- 10,104
Si ajabu anapigwa hahaWapiii huyo hana kauli kwa mkewe anaishia kuyaishi kupitia keyboard tu.
Asee ndio maana nasemaga muwe very careful katika kulea vijana wenu kuepusha hio madhara badae. Wafunze watoto kujitegemea kiakili angali wadogo. Feed them with confidence, si kila kitu una dictate tu mwisho unakuza viazi!na halaf ubavu wa kumuacha mkewe hana lakini anayoyafanya yanajenga chuki
Dah aisee ni mambo ya kusikitisha mno, hio tabia iko kwa akina mangi kwa sana. Kuna best yangu mmoja nae jamaa amemkataa toka siku anatoka labor kisa amezaa mtoto wa kiume na mama yake alitaka wa kike.Kuna mwingine mtu mzima kaachana na mkewe kisa kajifungua mtoto wa tatu wa kike
Mama wa mwanaume kaja juu mwanawe atafute mwanamke wa kumpa mtoto wa kiume ili ukoo usipotee
Mwanaume kamuacha mkewe na wanawe watatu Ila Mungu mkubwa
Mama anaendeleza maisha
Hahahah we acha kabisa, Green city inawakilisha Kyela, Tukuyu, Songwe na maeneo yote jiraniHahahaaaa Green City ndio wapi? Mbona kina Bite sisi ni wapole sana?
Hahahah nawasameheje, kila nikiwaza walichomfanyia dadaangu napatwa na hasira.Hahaha hivi bado tu hujatusamehe?
Wanawake kwa kiasi flani ndo chanzo Cha wanawake,huwezi kabisa utasikia malalamiko kuhusu baba mkwe,kila sikuni mama mkwe,mawifi na mashangaziMama mkwe ukichelewa kurudi anataka maelezo, unafikiria ile “I Do” uliisema kwa nani?
Jamaa yako kwenye dp anazingua sanaAisee ni heri utoroke kazini uende......
Aisee hakuna kitu kinawauma wanaume kama mwanamke kurudi usiku...
I can just kill only for that.....!
Unarudi nyumbani mwanaume keshafika?
Si ni laana hiyo mnajitafutia akyanani!
Asee ndio maana nasemaga muwe very careful katika kulea vijana wenu kuepusha hio madhara badae. Wafunze watoto kujitegemea kiakili angali wadogo. Feed them with confidence, si kila kitu una dictate tu mwisho unakuza viazi!
Hahaha!! Ila maniga wa Brooklyn hawamuelewi wanamchukulia poaHahahahahaa
Anakimbiza kinoma,anakaribia 1Billion USD net worth!
Nampenda sana maana anajua ku-rap than anybody else,hasa albums zake za mwanzo:
1.Reasonable Doubt
2.In My Lifetime Vol.1
3.Hard Knock Life Vol. 2
4.The Dynasty:Roc La Familia
5.The Blurprint 1,2&3
6.The Black Album
Hizo sita nasikiliza 24/7,Jay-Z is the God's MC!
Nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] , acha hizoNaanzaje kugombana nae.
Afu muache ku exaggerate.
Mumeanza saa 3 usiku, mwingine hapo juu kasema saa 4, weye shehe wangu ukaongeza ikawa saa tano.
Haya twendeni mpaka mseme tunalala saluni manake ndo tunakoelekea.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Inaelekea una wivu wa karibu ehAisee ni heri utoroke kazini uende......
Aisee hakuna kitu kinawauma wanaume kama mwanamke kurudi usiku...
I can just kill only for that.....!
Unarudi nyumbani mwanaume keshafika?
Si ni laana hiyo mnajitafutia akyanani!
Lol. Uongoooo?😄😄
Mlaumu shemeji yako, angesimama na mkewe hao wengine wasingeleta ngebe. Ila dada ako naye hakusense before kuwa anaenda kuolewa na momma's boy?Hahahah nawasameheje, kila nikiwaza walichomfanyia dadaangu napatwa na hasira.
HomeeeeeeeeeeeeeeeeeHahahah we acha kabisa, Green city inawakilisha Kyela, Tukuyu, Songwe na maeneo yote jirani