Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Ila salun panachosha maana mabo mengiii, kwa kifupi niliamua kununua vifaa vyangu muhimu vya kutengeneza nywele kama pasi, drier, hand drier kea hiyo nina chumba maalum kama min salon nyumbani ndio maana i akua rahisi kumuita msusi, na msusi mwenyewe amekua msusi wangu kwa miaka sasa,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyani Ngabu namie unitengee chumba maalum kama hivi eh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wamefiwa na waume zao anakuwa mpweke kuishi mwenyewe. Kuna wale wanaohitaji ka break kutoka kumtengenezea chai mume wake. Mama anaamua kuwa mgeni mkaazi nyumbani kwenu.

Uzuri wake utakaa kazini kwa amani kwani dada hawezi kufinya watoto hovyo, anaogopa bibi yao ataona.

Raha inakuja pale anapoanza ku dictacte mnachokula. Umeamka asubuhi unamwambia Mr, jioni nitapitia kwa msusi ni kitoka kazini kwani weekend anakuwa busy sana. Unaingia nyumbani saa tatu usiku mama anakukata jicho hilo.
Sasa kama wamefiwa na waume zao , unamuaga Mr yupi ?
 
Back
Top Bottom