Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,429
- 191,655
Tatizo kuna wenzenu huo mwanya wa saloon unatumika kufanyia upuuzi mwengine kinyume kabisa. Unaagwa ntapitia saloon juu kwa juu saloon yenyewe iko mbali kabisa mnapoishi. Bora wale wenye saloon next door hio unakuwa huna pressure wala. Mwanamke saloon anaisafiria halafu anakurudia saa 4 huo ujinga hapana.Naona wanaume wote mnafanana, mi imefika mahali hadi msusi ananifata nyumbani kwa gharama yoyote, sikumbuki mara ya mwisho kwenda salon ilikua lini labda ile siku ya harusi nilipoenda kupambwa, nikitoka kazini ni one way home, weekend kutoka ni na watoto au na Mr, nimeshajizoelea hayo maisha and i do enjoy it though mwanzo niliona kama ni maisha ya gerezani, but now with these four kids duuh hata muda wa kutoka kwenda salon sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ndio jinsi ya ku cope na ndoa hivyo, bora umekuwa lenient maana mwengine angeanza leta ubishi usio na maana. We ushaolewa unataka uendelee kujitawala unavyotaka ili iweje? Lazma ufate misingi proper. Mi pia wife kama sintomnyoa panki basi ujue wasusi watakuw wanamfuata home.