Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Binafsi sipendi hiyo tabia, kurudi saa nne [emoji561] lazima tugombane. Unadhani watoto wanalelewa saa ngapi wewe ukiwa unaingia ndani saa nne? Hata tabia zao utazijua kweli, masomo yao utafuatilia?
Ni mara moja kwa mwezi hata wewe unaweza kuwalea watoto.
 
You are absolutely right, hata hivo upate mume matured, anaejitambua na kujua hali pamoja na kusoma alama za nyakati, huyu mtakaa sasa upate mume kila mkifanya ndani ya kuta nne kimefika kwa mamake, hata ukimtania kidogo kesi hii ndoa ni ngumu, nina shemeji yangu yan wakitibuana na mkewe kashika sim kwa mama ake imepelekea familia nzima inachukia mke japo hatujakamilika lakini haifai kutoa siri za ndan mwenu hata kwa mama yenu wanaume mmeumbiwa vifua
Ukitaka kumuweza mama mkwe, mpende mwanae mjali hapo mume yeye ndiyo ataseti hali ya utulivu kwa mama yake,na mtaishi kwa raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sipendi hiyo tabia, kurudi saa nne [emoji561] lazima tugombane. Unadhani watoto wanalelewa saa ngapi wewe ukiwa unaingia ndani saa nne? Hata tabia zao utazijua kweli, masomo yao utafuatilia?
Mbona mnaongea kama vile mtu ni utaratibu wake wa kurudi kila siku usiku? Yaani alee watoto siku sita siku moja tu aliyochelewa iharibu kazi yote aliyoifanya siku sita? Daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la malezi ni la pande zote mbili baba na mama si mama pekee sikubali na swala la kurudi saa nne lakini la kufatilia watoto mkuu wewe kama baba unaweza kuwafatilia pia wanawake sio marobot
Binafsi sipendi hiyo tabia, kurudi saa nne [emoji561] lazima tugombane. Unadhani watoto wanalelewa saa ngapi wewe ukiwa unaingia ndani saa nne? Hata tabia zao utazijua kweli, masomo yao utafuatilia?
 
Hapa unajidhihirisha ujawajua wanaume wote bado

Nikwambie tu kuna mwanaume akianza kuuliza ukakaa kimya kitakachofuata ni kipigo.

Anaichukulia kama dharau

Sasa wewe in a normal setting unaulizwa swali hujibu maana ni nini sasa kama sio kiburi?

Umeulizwa tu,"Mbona umechelewa,ulikua wapi?"....Unamuangalia tu hujibu?

Hivi unategemea nini a human male with male's ego tayari yupo imbalanced kwa wewe kuchelewa halafu hapo hapo una-test his reaction kwa kunyamaza?

Lazima ugomvi u-erupt maana yeye tafsiri yake ume-undermine his position and authority!

Kwanini usijibu unachoulizwa kama sio viburi binafsi tu?

Baba yako mzazi akikuuliza kitu unajibu kama umepigwa funguo,leo umeolewa ghafla una kiburi!

I really can not understand this phenomenon!

Hahahahahahaha
 
Hahahahaha

Labda kakuuliza swali wewe hujibu....Hicho ni 100% kiburi!

Say umechelewa,anakuuliza "Ulikua wapi all this time?"....

Wewe umenyamaza hujibu!

Inapofika third time mama tegemea some crazy reaction from this crazy confused man!
You are truly confused, naomba unipe namba ya mkeo anipe mawili matatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ndio mhimili wa nyumba/familia, akifeli yeye katika malezi nyumba inabomoka.
hata sjakataa lakini malezi yanataka ushirikiano sio yeye pekee, hebu fikiri mama anafanya kaz anarudi akuandalie ww na mke wakat mwengine ana dharura kachelewa kurud wewe umewah utaacha kukagua homeworks za watoto kisa ni jukumu la mama hilo?
 
You are truly confused, naomba unipe namba ya mkeo anipe mawili matatu

Sent using Jamii Forums mobile app

Khantwe bana...

Hukunielewa vizuri..nimesema yupo confused tayari baada ya wewe kuchelewa kwanza,then ndio maswali yanafuata ambapo hujibu...!

Sio kwamba ulimkuta kwenye normal condition ndio mkaanza maswali!

Hahahahahaa

Huna haja ya namba mama,subiri uolewe na huyo shemeji yetu mkae ndani ndio utajua kua hawa watu ni wehu ukiwazingua!

Mbona somo utalielewa na utakaa sawa tu!
 
Sasa wewe in a normal setting unaulizwa swali hujibu maana ni nini sasa kama sio kiburi?

Umeulizwa tu,"Mbona umechelewa,ulikua wapi?"....Unamuangalia tu hujibu?

Hivi unategemea nini a human male with male's ego tayari yupo imbalanced kwa wewe kuchelewa halafu hapo hapo una-test his reaction kwa kunyamaza?

Lazima ugomvi u-erupt maana yeye tafsiri yake ume-undermine his position and authority!

Kwanini usijibu unachoulizwa kama sio viburi binafsi tu?

Baba yako mzazi akikuuliza kitu unajibu kama umepigwa funguo,leo umeolewa ghafla una kiburi!

I really can not understand this phenomenon!

Hahahahahahaha
Kama limemkera amuulize mtoto wake. Sasa utakuwa answerable kwa watu wangapi? Uombe ruhusa kwa hubyyna kwa mama yake?
 
Wengine wamefiwa na waume zao anakuwa mpweke kuishi mwenyewe. Kuna wale wanaohitaji ka break kutoka kumtengenezea chai mume wake. Mama anaamua kuwa mgeni mkaazi nyumbani kwenu.

Uzuri wake utakaa kazini kwa amani kwani dada hawezi kufinya watoto hovyo, anaogopa bibi yao ataona.

Raha inakuja pale anapoanza ku dictacte mnachokula. Umeamka asubuhi unamwambia Mr, jioni nitapitia kwa msusi ni kitoka kazini kwani weekend anakuwa busy sana. Unaingia nyumbani saa tatu usiku mama anakukata jicho hilo.
Kama hakuoni mke wangu aniulize mimi mwanawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom