Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,421
Wengine wamefiwa na waume zao anakuwa mpweke kuishi mwenyewe. Kuna wale wanaohitaji ka break kutoka kumtengenezea chai mume wake. Mama anaamua kuwa mgeni mkaazi nyumbani kwenu.

Uzuri wake utakaa kazini kwa amani kwani dada hawezi kufinya watoto hovyo, anaogopa bibi yao ataona.

Raha inakuja pale anapoanza ku dictacte mnachokula. Umeamka asubuhi unamwambia Mr, jioni nitapitia kwa msusi ni kitoka kazini kwani weekend anakuwa busy sana. Unaingia nyumbani saa tatu usiku mama anakukata jicho hilo.
 
Yaani urudi saa 4 nyumbani kisa saluni tu!!? Mama ana haki akuzabe hata vibao. Sio kukukata jicho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeeeee. Taratibu.

Sisi wanawake kwenye ndoa majukumu yeti huwa hayaishii kwenye kulea watoto, kupika na kufanya usafi.... tuna jukumu la kuendelea kuwalea na waume zetu. Hakuna mke asiekuwa na jukumu la ziada la kulea mume. Sasa her own son bado ana mapungufu kibao ya kurekebishana, ampige mkwewe?

Kuna kukosea, na kurekebishana but mama mke kufikia kumpiga mkwewe kibao is a NO.
 
Wewe ushalipiwa mahari na you belong to your inlaws! Kwa hiyo wewe ni mtoto wa wakwe. Na mtoto kwa mzazi hakui. Kwa hiyo kibao, fimbo toka kwa mkwe ni halali kwako[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wamefiwa na waume zao anakuwa mpweke kuishi mwenyewe. Kuna wale wanaohitaji ka break kutoka kumtengenezea chai mume wake. Mama anaamua kuwa mgeni mkaazi nyumbani kwenu.

Uzuri wake utakaa kazini kwa amani kwani dada hawezi kufinya watoto hovyo, anaogopa bibi yao ataona.

Raha inakuja pale anapoanza ku dictacte mnachokula. Umeamka asubuhi unamwambia Mr, jioni nitapitia kwa msusi ni kitoka kazini kwani weekend anakuwa busy sana. Unaingia nyumbani saa tatu usiku mama anakukata jicho hilo.
Cha msingi ni heshima tu, hata kama mama mkwe ana mapungufu bado anahitaji heshima na sio kumpa au kumuonyesha dharau hata kama upo kwako angalau onyesho utiifu kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumamosi saloon ziko busy sana na pia majukumu ya nyumbani ni mengi. Kurudi saa nne mara Nina kwa mwezi ni shida?
Aisee ni heri utoroke kazini uende......

Aisee hakuna kitu kinawauma wanaume kama mwanamke kurudi usiku...

I can just kill only for that.....!

Unarudi nyumbani mwanaume keshafika?

Si ni laana hiyo mnajitafutia akyanani!
 
Back
Top Bottom