Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

sio kuhukumu mkuu ila ndio hali halisi ilivyo.Mama wakwe wengine wana shida na hata sisi waolewaji wengine tuna shida pia.hata Mimi kama nitakuwa na shida kiasi cha kumfanya binti wa watu aione ndoa chungu basi nisemwe tu
Kikubwa kuvumiliana ili tufike mtu mwenye meno 32 kubadilisha tabia yke sio kazi ndogo ikiwa ww au mm Binafsi kuna vitu sipendi lkn unashindwa kuacha ndio itakuwa kum-badilisha mtu baki tabia yke...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha

Wewe,hakuna kitu kama hicho,wanaume tuna brotherhood sana!Na hapa simaanishi pombe na baa...Nooooo!

Ila hao waduwanzi wasiokua na marafiki wenzao wa kiume hata mmoja wapo...

Ila wachache sana,na wapo kwenye depression moja ya kiduwanzi sana...

Mostly wanaume tunajuana sana makazini,kwenye biashara,nk...

Huwezi mjia mwanaume saa TANO mamaee eti akaa anakuangalia weweee.....
Uzuri mama mkwe akiwepo home, hubby anakuwa a good boy. Akitoka kazini anawahi nyumbani michepuko pia ita suburi 😂
 
Hahahahahahaa

Babra anaogopa jamani!

Wala usiogope bana.....

Wadada ukijilegeza na wao wanapitia humo humo kwenye mlegezo wako!

Imagine wewe Babra ni mama mwenye nyumba ina watoto na raia wengine,hivi kwa utashi wako unaona ni sawa uwe unarudi nyumbani saa NNE consistently kweli?

Sasa kuna wadada humu wabishi wanasema saa TANO lazima warudi mamaeeeee!

Wadada wa JF siwawezi aisee!
Mimi nakuelewa sana uko sahihi kwa usemacho ila tu umeonekana kama kuwa mkali kitu ambacho Mimi huwa sipendi kabisa kama imetokea mara chache umejulishwa basi unatulia wewe unasema unaleta amsha amsha[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wakawaida sana Ila very matured.

I can see.....

Personally ikifika sijui saa nne,sijui saa tano...maturity inapotea fastaaa..

Lazima ujieleze mwanzo mwisho na tafadhwali sana isijirudie!

Vichwa maji tupo wengi

Hahahahahaha
 
Ndoa nyingi zenye wakwe huwa ugomvi hauishi labda mume awe mtu asiejali issues za mama na mkewe la sivyoooo.
Kuna mmoja kavalishwa na Pete tayari na mtoto juu mama mkwe kasema hataki mwanae amuoe tena na hayo yote sababu wanaishi nae

Sent using Jamii Forums mobile app
kuishi na mama mkwe ni kama kubeba zigo la Mavi Lazima unuke...
 
Mimi nakuelewa sana uko sahihi kwa usemacho ila tu umeonekana kama kuwa mkali kitu ambacho Mimi huwa sipendi kabisa kama imetokea mara chache umejulishwa basi unatulia wewe unasema unaleta amsha amsha[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahahahaaa

Ukinipa sound mara ya kwanza poa,then inafata ya pili poa then ya tatu......

Mama hapo lazima ipigwe amsha amsha moja ya hatari sana....

Ntabweka hatari,nafungulia sound mvua CD 600,biti za hatari sana..Lazima akae sawa!

Hahahahahaaa
 
Back
Top Bottom