Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Hahahahaha


Eti nakusikitisha......

Ongea na watu walio-face reality baada ya kuolewa kama dada Mtende wakueleze!

Huyo boyfriend wako unaekula nae bata sasa hivi atakavyokubadilikia siku amekuoa umemjia saa NNE ndio utaamini nasema kweli!

Wewe enjoy maisha now to the fullest now while you can...

Once huyo matako mwenzangu kashakuoa,wewe fanya jaribio la kurudi saa TANO uone reaction yake!
You are right, wakati mwingine wala hatasubiri kudhibitiwa na mwanaume, atajikuta majukumu ya kifamilia yanamzidia kiasi anakosa muda wa kutoka, full commitment inakua kwenye familia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wakaka wana privilege ya kuchelewa kijamii...Hili inatakiwa ulielewe!

Ila mnaweza wekeana maximum zenu...

Mi mwenyewe maximum yangu niliyojiwekea ni saa 4,zaidi ya hapo lazima niombe ruhusa na nitoe sababu za kutosha!

Mwanamke wangu saa mbili maximum,zaidi ya hapo ajieleze mwanzo mwisho!
Hata sisi tuliwekeana muda saa nne mwisho awe amesharudi akizidisha lazima anijulishe mapema kama atachelewa na kwasababu gani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja alitutusi wanawake kwenye uzi akidai kwanza ana uwezo wa kutulisha na ukoo wetu.
Mweeeh Mungu sio jiwe siku namkuta kwa uzi wa ontario anaomba ajira maana amechoka kunyang'ana remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilichekaaa.
Nimecheka kwa sauti uwiiii
 
The world doesnt revolve around you.

Sasa nimesema wapi the world revolve around me?

Sijaongea anything remotely related to that....

Kama wewe kama mwanamke aliekamilika na kwa utashi wako unaona ni sawa kabisa kwa mama mwenye nyumba kurudi nyumbani saa TANO usiku!

Sijui watoto wako watakua wamekula au wamelalaje hasa?

Kama unaona sawa,infact there's nothing I can help you with!
 
Weeeeeeee. Taratibu.

Sisi wanawake kwenye ndoa majukumu yeti huwa hayaishii kwenye kulea watoto, kupika na kufanya usafi.... tuna jukumu la kuendelea kuwalea na waume zetu. Hakuna mke asiekuwa na jukumu la ziada la kulea mume. Sasa her own son bado ana mapungufu kibao ya kurekebishana, ampige mkwewe?

Kuna kukosea, na kurekebishana but mama mke kufikia kumpiga mkwewe kibao is a NO.
Hujakutana na bibi mwenda yule mnene anaeongeaga hadi kiluga au ukutane na kile kimama kiswahili kinachovaaga miwani kwenye maigizo ya kaole nakwambia hivi kinakutandika makofi na mtoto wake anakuta kinalia chenyewe badala ya wew usione wasione watu wanajipendekeza kwa mama mkwe sio kama wanapenda

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Kuna watu wakali jaman

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahahaa

Babra anaogopa jamani!

Wala usiogope bana.....

Wadada ukijilegeza na wao wanapitia humo humo kwenye mlegezo wako!

Imagine wewe Babra ni mama mwenye nyumba ina watoto na raia wengine,hivi kwa utashi wako unaona ni sawa uwe unarudi nyumbani saa NNE consistently kweli?

Sasa kuna wadada humu wabishi wanasema saa TANO lazima warudi mamaeeeee!

Wadada wa JF siwawezi aisee!
 
Usihukumu kwa maana na ww utahukumiwa. Kubwa tuvumiliane tufafika tu maana ipo siku na ww utakuwa mama mkwe kupitia junior wako mwenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kuhukumu mkuu ila ndio hali halisi ilivyo.Mama wakwe wengine wana shida na hata sisi waolewaji wengine tuna shida pia.hata Mimi kama nitakuwa na shida kiasi cha kumfanya binti wa watu aione ndoa chungu basi nisemwe tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja alitutusi wanawake kwenye uzi akidai kwanza ana uwezo wa kutulisha na ukoo wetu.
Mweeeh Mungu sio jiwe siku namkuta kwa uzi wa ontario anaomba ajira maana amechoka kunyang'ana remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilichekaaa.
Umenifanya nicheke sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja alitutusi wanawake kwenye uzi akidai kwanza ana uwezo wa kutulisha na ukoo wetu.
Mweeeh Mungu sio jiwe siku namkuta kwa uzi wa ontario anaomba ajira maana amechoka kunyang'ana remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilichekaaa.

Yaani unasoma tu unafanya hihiii in president's voice
 
Back
Top Bottom