Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
- Thread starter
- #21
Ukimpata mwenye activities zake hasumbui. Anakuambia tu leo tuta kuwa kwenye women meeting yetu. Sasa yule anaetaka kuingia kwenye maisha yako myaishi wote ndiye balaaCha msingi ni heshima tu, hata kama mama mkwe ana mapungufu bado anahitaji heshima na sio kumpa au kumuonyesha dharau hata kama upo kwako angalau onyesho utiifu kwake
Sent using Jamii Forums mobile app