Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

hata sjakataa lakini malezi yanataka ushirikiano sio yeye pekee, hebu fikiri mama anafanya kaz anarudi akuandalie ww na mke wakat mwengine ana dharura kachelewa kurud wewe umewah utaacha kukagua homeworks za watoto kisa ni jukumu la mama hilo?
Dharura inaeleweka, ila taarifa mapema ni LAZIMA. Nyie bwana, mkipewa mwanya kidogo tu mnatengeneza PENGO kabisa.
 
Sasa wewe in a normal setting unaulizwa swali hujibu maana ni nini sasa kama sio kiburi?

Umeulizwa tu,"Mbona umechelewa,ulikua wapi?"....Unamuangalia tu hujibu?

Hivi unategemea nini a human male with male's ego tayari yupo imbalanced kwa wewe kuchelewa halafu hapo hapo una-test his reaction kwa kunyamaza?

Lazima ugomvi u-erupt maana yeye tafsiri yake ume-undermine his position and authority!

Kwanini usijibu unachoulizwa kama sio viburi binafsi tu?

Baba yako mzazi akikuuliza kitu unajibu kama umepigwa funguo,leo umeolewa ghafla una kiburi!

I really can not understand this phenomenon!

Hahahahahahaha

Una force vitu viwe sahihi upande wako

Mtu umeshamjibu ulikuwa saloon
Akikuuliza tena unamjibu nini?

Ukimfokea mtu tegemea reaction
Mwingine anakaa kimya ili kupisha ugomvi

Maswali mengine ukimjibu mtu ni kuchochea ugomvi

Unategemea upayuke ujibiwe politely?
Labda sentence ya kwanza na ya pili zinazofuata mtu ana kuwa annoyed ndo maana anakaa kimya.

Ukiwa na uelewa utanyamaza unywe maji na uongee wote mkiwa mmepoa

Katika hali halisi hakuna sababu ya msingi ya kupigazana kelele na kupigana mangumi, hizo ni tabia za wanyama wasiokuwa na utashi wa kuelewa afanye nini kwa wakati gani na matokeo yake ni yapi.
 
Mimi pia nimememwambia hivi, kama anateseka akakae nae saluni asubirie asikilize na umbea haha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mimi nitaomba uwe na msusi private, aje akufanyie huduma zote barazani kwangu hata akiondoka saa 6 usiku sawa tu ila najua upo nje ya sebule yako. Does that solve the problem!? Nitamlipa.
 
Khantwe bana...

Hukunielewa vizuri..nimesema yupo confused tayari baada ya wewe kuchelewa kwanza,then ndio maswali yanafuata ambapo hujibu...!

Sio kwamba ulimkuta kwenye normal condition ndio mkaanza maswali!

Hahahahahaa

Huna haja ya namba mama,subiri uolewe na huyo shemeji yetu mkae ndani ndio utajua kua hawa watu ni wehu ukiwazingua!

Mbona somo utalielewa na utakaa sawa tu!
Hatari sana wewe mwanaume, mbona baba yangu hayupo kama wewe kwa hiyo najua waelewa wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are absolutely right, hata hivo upate mume matured, anaejitambua na kujua hali pamoja na kusoma alama za nyakati, huyu mtakaa sasa upate mume kila mkifanya ndani ya kuta nne kimefika kwa mamake, hata ukimtania kidogo kesi hii ndoa ni ngumu, nina shemeji yangu yan wakitibuana na mkewe kashika sim kwa mama ake imepelekea familia nzima inachukia mke japo hatujakamilika lakini haifai kutoa siri za ndan mwenu hata kwa mama yenu wanaume mmeumbiwa vifua
Yani hakuna kitu kinatia hasira kama swala la mkitofautiana mtu unachukua simu unapiga kwa mama sijui yani hiyo ni automatically unajaza chuki kwenye moyo wake...nilishajifunza kitu kama nikija kuwa na mwenzangu ugomvi wetu ni lazima mambo tuzungumze wenyewe kabla siku haijaishana na tupate majibu pia kabla hayajamfikia mtu yoyote mwingine iwe mama yake nk, na kingine mimi nitakuja kuwafanya mama yangu na mke wangu wawe marafiki wa kudumu mapungufu ya mke wangu mbele ya mama yangu sitasapoti mama amseme vibaya mke wangu na pia sitakubali mke wangu amdharau mama yangu nitawafanya wawe marafiki wazuri nitahakikisha nafanikisha hilo kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una force vitu viwe sahihi upande wako

Mtu umeshamjibu ulikuwa saloon
Akikuuliza tena unamjibu nini?

Ukimfokea mtu tegemea reaction
Mwingine anakaa kimya ili kupisha ugomvi

Maswali mengine ukimjibu mtu ni kuchochea ugomvi

Unategemea upayuke ujibiwe politely?
Labda sentence ya kwanza na ya pili zinazofuata mtu ana kuwa annoyed ndo maana anakaa kimya.

Ukiwa na uelewa utanyamaza unywe maji na uongee wote mkiwa mmepoa

Katika hali halisi hakuna sababu ya msingi ya kupigazana kelele na kupigana mangumi, hizo ni tabia za wanyama wasiokuwa na utashi wa kuelewa afanye nini kwa wakati gani na matokeo yake ni yapi.

Nimekuelewa vizuri kabisa..

Nilichotoa ni mfano tu....

Matukioa na scenerios ni nyingi mno zinazopelekea watu kugombana kama hivyo!

Unachokisema wewe ni sawa,jee kwa upande wake yeye atachukuliaje na ku-react vipi?

Nafikiri hua mnajuana huyu hua ana-react wapi na wapi yuko poa...

Basically ni nyie mnajua kucheza na psych zenu at the end of the day!

Watu tofauti na solutions tofauti.....

Ndio kama hivyo,kuna wengine ukinyamaza ni declaration of war na wengine wala hawana time....

Ila nimekuelewa vizuri na kwa upande wako upo sahihi all the way through!
 
Mbona asilimia kubwa ya wanaokomenti hapa wameolewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama wameolewa basi ni wabishi tu hawataki kusema ukweli...

Wadada wanaona labda wakisema ukweli wataonekana dhaifu wakati ndio hali halisi majumbani!

Wakati wala hakuna udhaifu wowote mwanamke kusimamia her duties 100%!

Kuna mdada anaitwa Mtende yeye kasema kweli!
 
Hapana. Huwa wana wivu wa asili tu. Inahitaji ubinadamu kumridhisha mkwe wa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu unakuwepo ofocoz ila ni wa kawaida pale wivu unapovuka mpaka ni kwa kuwa anaona humjali mwanae, ukirudi usiku saa nne umetoka saluni mama mkwe anamuwazia mwanae yani umechelewa kurudi mwanae nani atampikia na sio kwa maslahi yake binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshallah, kubwa hasa ni upate mke sahihi na Allah akujaalie kila lenye heri nawe uifrahie ndoa yako, na hayo ndio maisha kuyavumilia madhaifu ya mwenza wako inatakiwa hivyo
Yani hakuna kitu kinatia hasira kama swala la mkitofautiana mtu unachukua simu unapiga kwa mama yani ni automatically unajaza chuki kwenye moyo wake...nilishajifunza kitu kama nikiwa na mwenzangu ugomvi wetu ni lazima mambo tuzungumze wenyewe kabla siku haijaishana na tupate majibu pia kabla hayajamfikia mtu mwingine iwemama yake au yoyote yule, na kingine mimi nitakuja kuwafanya mama yangu na mke wangu wawe marafiki mapungufu ya mke wangu mbele ya mama yangu sitasapoti mama amseme vibaya mke wangu na pia sitakubali mke wangu amdharau mama yangu nitawafanya wawe marafiki wazuri nitahakikisha nafanikisha hilo kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka mtu anarudi saa nne yan kishaona saa kumi na mbili bado hajamaliza na hamna dalili za kumaliza ndani ya muda mfupi yafaa akutaarifu mumeo sasa ukisema endelea atabaki ukisema saa hizi rudi anatakiwa arudi na si kukaa kimya mpaka saa nne s adabu nzuri kwa mumeo na mkweo
Kama wameolewa basi ni wabishi tu hawataki kusema ukweli...

Wadada wanao wakisema ukweli wataonekana dhaifu wakati ndio hali halisi majumbani!

Kuna mdada anaitwa Mtende yeye kasema kweli!
 
Kama wameolewa basi ni wabishi tu hawataki kusema ukweli...

Wadada wanaona labda wakisema ukweli wataonekana dhaifu wakati ndio hali halisi majumbani!

Wakati wala hakuna udhaifu wowote mwanamke kusimamia her duties 100%!

Kuna mdada anaitwa Mtende yeye kasema kweli!

Hayo ni maisha yake na hao wengine ni maisha yao
Nyumba zimefanana Ila taratibu za maisha ni tofauti

Ndiyo maana kuna nyumba mke anaenda night shifts na kuna nyumba mke anashinda nyumbani.
 
Back
Top Bottom