Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Ukianza kwenda ndivyo sivyo kuna kama kakikengele kanagongaga kwenye kichwa cha mama mkwe kwamba mzigo wa mwanae ushaanza kuchukuliwa
 
Wengine wamefiwa na waume zao anakuwa mpweke kuishi mwenyewe. Kuna wale wanaohitaji ka break kutoka kumtengenezea chai mume wake. Mama anaamua kuwa mgeni mkaazi nyumbani kwenu.

Uzuri wake utakaa kazini kwa amani kwani dada hawezi kufinya watoto hovyo, anaogopa bibi yao ataona.

Raha inakuja pale anapoanza ku dictacte mnachokula. Umeamka asubuhi unamwambia Mr, jioni nitapitia kwa msusi ni kitoka kazini kwani weekend anakuwa busy sana. Unaingia nyumbani saa tatu usiku mama anakukata jicho hilo.
Raha sana, mimi bahati mbaya wanangu wote wapo nje, wakiume na wake zao, wakike na waume zao. Lakini kila wakinitembelea tunaishi pamoja.

Binafsi nimeishi na wakwe zangu kila fursa ilipopatikana. Ni raha sana. Nadeka.
 
Wengine wamefiwa na waume zao anakuwa mpweke kuishi mwenyewe. Kuna wale wanaohitaji ka break kutoka kumtengenezea chai mume wake. Mama anaamua kuwa mgeni mkaazi nyumbani kwenu.

Uzuri wake utakaa kazini kwa amani kwani dada hawezi kufinya watoto hovyo, anaogopa bibi yao ataona.

Raha inakuja pale anapoanza ku dictacte mnachokula. Umeamka asubuhi unamwambia Mr, jioni nitapitia kwa msusi ni kitoka kazini kwani weekend anakuwa busy sana. Unaingia nyumbani saa tatu usiku mama anakukata jicho hilo.
Nilichogundua ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi akiwa ni mama yake huoni alitoa thread kama hizi ila mama wa mwenzake tayari kamuanzishia thread, nikirudi kwenye mada ukiolewa jua kabisa wazazi wa mumeo ni wazazi wako, ndo waliomlea huyo unayemuita hubby, wanastahili heshima zote kama unavyowaheshimu wazazi wako, kurudi saa nne et kosa ulipitia saluni ni utovu wa nidhamu sio sifa hata asingekuwa amekuja huyo mkwe wako, mke ndio coordinator wa kila kitu nyumbani kurudi saa nne ikiwa mumeo yupo nyumbani na mama yake unachokitengeneza huna haja ya kumlaumu mtu maana umewapa nafasi ya kujadili mwenendo wako na si ajabu mumeo akaambiwa wewe humfai, kuwa na heshima kwa wazazi wote. Na hapa wanawake walio wengi wameshindwa hujiona wameolewa na mmoja tu wengine hawana maana.
 
Duuuh wanawake wa siku izi mungu atusaidie yaan kurudi saa nne mnaona kawaida tu na mnamchukia mtu anayepinga ilo.
 
Nilichogundua ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi akiwa ni mama yake huoni alitoa thread kama hizi ila mama wa mwenzake tayari kamuanzishia thread, nikirudi kwenye mada ukiolewa jua kabisa wazazi wa mumeo ni wazazi wako, ndo waliomlea huyo unayemuita hubby, wanastahili heshima zote kama unavyowaheshimu wazazi wako, kurudi saa nne et kosa ulipitia saluni ni utovu wa nidhamu sio sifa hata asingekuwa amekuja huyo mkwe wako, mke ndio coordinator wa kila kitu nyumbani kurudi saa nne ikiwa mumeo yupo nyumbani na mama yake unachokitengeneza huna haja ya kumlaumu mtu maana umewapa nafasi ya kujadili mwenendo wako na si ajabu mumeo akaambiwa wewe humfai, kuwa na heshima kwa wazazi wote. Na hapa wanawake walio wengi wameshindwa hujiona wameolewa na mmoja tu wengine hawana maana.

Umenikumbusha rafiki yangu mmoja tulikuwa mahali kama saa mbili usiku hivi na mama yake mzazi alikuwa amewatembelea. Mama anampigia simu kila baada ya muda kumuuliza aliko na kusema...hebu rudi haraka nyumbani uendelee kuchelewa nikishaondoka...usinitie aibu kwa mumeo mie....
 
Umeona eee kama mama mzaz wanaona anatiwa aibu kwa mwanae kuchelewa kurudi vipi kwa mama mkwe wake? Si tabia njema ni utovu wa nidhamu tu unataka mama mkwe aongee na nani kama sio wewe mkwe wake, yaani mpaka saa nne haujarudi home?
 
Kama unajiheshimu kwanini hayo yote yakufikie, hapa tunaongelea mwanamke amabae yeye ataenda saluni akae huko anarudi saa tano usiku, sasa kama unajiheshimu itawezekanaje mgombane na mama mkwe,

Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kugombana nae.

Afu muache ku exaggerate.

Mumeanza saa 3 usiku, mwingine hapo juu kasema saa 4, weye shehe wangu ukaongeza ikawa saa tano.

Haya twendeni mpaka mseme tunalala saluni manake ndo tunakoelekea.😁😁😁😁
 
Mi nilishafunga ukurasa wa kukaa na ndugu wa mume mana Nilikua namuuguza ma mkwe hayo majanga yake ni shiidah na alikua hataki kwenda kwa mwingine hata wakimchukua Siku mbili nyingi anarudi. Unapelekeshwa km kitu gani sijui. Namuombea maisha marefu aje some watoto wake pia wakipelekeshwa akili ikae sawa.
 
Mi nilishafunga ukurasa wa kukaa na ndugu wa mume mana Nilikua namuuguza ma mkwe hayo majanga yake ni shiidah na alikua hataki kwenda kwa mwingine hata wakimchukua Siku mbili nyingi anarudi. Unapelekeshwa km kitu gani sijui. Namuombea maisha marefu aje some wake pia wakipelekeshwa akili ikae sawa.
KKupelekeshwa kwa namna gani?
 
Back
Top Bottom