Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September...
Kwa mfano tukiifuta ewura ,tutakuwa tumepungukiwa na kitu gani maana naona iazi yao ni kutangaza bei mpya tu sokoni, kazi ambayo inaweza kufanywa na wizara ya nishati.
 
Reactions: Cyn
HAWA JAMAA WANAFANYA WANAVYOTAKA WANANCHI SHUGULI IPO
NYIE ACHA TUENDELE KUUMIA
MAANA WAO HUKO JUU HAWAJALI

OVA
 
Kwanini mafuta yapande bei kipindi ambapo vijana wapo njiani kuludi majumbani kwao kuroda jkt vijana zaidi ya 10k wanakadiliwa kuludi baada ya kumaliza Kozi za mujibu wa sheria 2023
 

Attachments

  • 20230906_021355.jpg
    21 KB · Views: 2
Tumuulize Mzee wa Msogaland maana sekta ya mafuta Nchi hii Iko mfukoni mwake

Kajimilikisha...

Anachekelea tuuu......!!! huku raia tunaumia dah! mamaqe Nchi hii????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…