Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

boss unatabu kweli kweli yakhe .......hebu msome klorokwini vizuri labda utanielewa

watakuja hapa wengine wakupe maelezo usiwe na wasi wasi, suala lako halitakwenda bure 😛

gee..nasubiri aisee
kama bee na mjo1 wataweza kujibu haya....swali badolipo still...lol
 
mkuu moskwito umefanya la maana sana kuliweka hili neno kwenye lugha ya kiswahili, unajua tuiache sex pembeni kabisa.

Mahaba yanaoneshwa kwa namna tofauti katika maeneo/mazingira/kabila/imani tofauti, nadhani hata hapa jf tuliwahi kuambiwa kwamba kuna kabila flani hapa tz kupiga mke ni moja kati ya njia moja ya kuonesha mahaba kwao (romance as per ur definition). Na mimi point yangu kubwa kwenye huu mjadala ndio maana nikaiwekeza kwamba romance ni kujenga mazingira ya kupendwa au kuamsha hisia za kupendwa tu.

mkuu kloro.....
Kwa mujibu wa majibu haya....hata la kununua gunia la mkaa linahusika hapa...
Ndio mahaba yenyewe lol
 
Mwenzenu alihiari mauti baada ya kunogewa na mahaba mjue :]

Mahaba ya dhati, yameniingia
Yangu tathliti, imenichongea
Nahiari mauti, kuliko mahaba haya

Jamani majuto, mwisho wa mahaba
Na masikitiko, na nyingi suluba
Na hiari mauti, kuliko mahaba haya
 
Gaijin, nimekusoma sana mwalimu wangu......

Lakini tukumbuke kuwa vionjo vya weupe vitaendelea kuwa vya weupe,

na vya weusi vitaendelea kubaki hivyo..

Neno kujali kwenye mapenzi hasa kwa maisha ya kiafrika....limejikita zidi katika majukumu,

na wala sio hiyo romance sijui romantic love.........

Mwanamke wa kiafrika, kwa walio wengi anaweza kudefine kuwa unampenda,

kama utajali mahitaji yake ya kimaisha...................na wala sidhani hapa makissing, mahugging ndo yana nafasi kwa sana,

hebu jaribu kupiga hayo makissing, mahugging, sijui kununuliana vito vya samani pasipo kutimiza yale mahitaji yake ya kimsingi.....

nadhani utakuwaumepotea.................

Mwanamke wa kiafrika anaweza kuonyesha na kutambua kuwa unamjali kutokana na mambo mengi tu yanayohusiana na mahitaji yake ya kmsingi...

mfano, kujali ndugu zake, kujali familia yako, watoto katika ujumla wa maisha hayo.......

Haya mambo ya kissing, sijui mahuggung na mengine ya dizaini hiyo mengi ni vionjo vya wazungu, ingawa si mbaya kuyaonyesha lakini,

hayana uzito ule unaosimuliwa hasa katika context ya kiafrika........

Nawasilisha.KARIBUNI KAHAWA JAMANI.....

Hakika ya nani wewe Bacha umeongea ma-points siyo mchezo...Nilishaanza kupoteza dira na mwelekeo kwa kudhani kuwa sie wa miake ile ya 1947 hatuna chetu tena,

Kumbe bado tunayo nafasi......Ngonja nijiburudishe na huu wimbo murua hapa kwanza....

Na ukumbuke kunidai kinywaji....sawa Bacha?????

Last edited by a moderator:
mkuu kloro.....
Kwa mujibu wa majibu haya....hata la kununua gunia la mkaa linahusika hapa...
Ndio mahaba yenyewe lol

Gunia la mkaa na 'live chicken' inahusu sana lkn utizame huyo unaempa tu.

Manake sawa na mpenzi wako kuwa ndo kwanza katoka kufanyiwa manicure wewe unampelekea samaki apare! Mahaba yanageuka suluba
 
Hahaha hapa umenichekesha sana. Huachi! Ati jicho kaa la mgambo wa city ha ha ha
Ah Mwalim we acha tu maana hii mada kadri inavyosonga mie Mwj1 naachwa solemba. Pole mpenz wangu maana hawa hawa wanatutaka tuwe wabunifu tusiwe dull halafu bado wanazitaka aibu kama si kutufanya vikatuni ni nini? Maana Mwj1 leo nijifanye naona aibu kwa kuwa mwandani kanibusu ah ankiulizwa kwani ndo mara ya kwanza kukissiwa najibuje?! Mwe! Ah mie nshapata zero huu mtihani
 
mjadala umetoka kwenye romantics unaingia kwenye great sex...lol

Though its not recomended but you may try this to prove me right : Fanya sex na stranger halaf sex yake ikupagawishe utajikuta unakwenda backward from great sex toward romance.

Close ur eyes and give it a think.

Hivi kwani romance ni lazima iwe na mtu unaemjua? .......you cant have romance with a stranger?

Mbona hii mada inazidi kuota matawi .....lol

....kiswahili hiyo inaitwa kuzini nje,.....wadhungu wanaita CHEATING.
kabla hamjakwenda mbali sana, nambieni ukweli....una link vipi great sex na romance wakati wa cheating,
halafu ukirudi nyumbani kwa mkeo/mumeo unadai shetani alikupitia?....

hapana, hakuna uwiano baina ya romance na great sex, tena na stranger---huko ni kujaribu kuhalalisha uzinifu.
hiyo ni fantasy----njozi tu!...

'kutandikiwa khanga kwenye tuta la viazi na mke wa mtu sio romantic moment bana!'....sawa sawa na mwanamke 'kumalizana' na mfanyakazi mwenziwe chooni after office hours....halafu anarudi kwa mumewe na big smile eti alipata romantically great sex with a stranger...hahhh?!.... fantasies (matamanio) sio romance (mahaba)
 
Bee ulikuwa wapi muda wote huo! Hadi The Boss anauliza masuala yasiyopatiwa majibu! Lol

Gee wee acha tu.....(si nimekuona ndo nkasema acha nipitie kidogo, nawahi gengeni mwenzio nataka kuwa romantic baadae...lol)
Maswali ya Boss yapi? Hayo ulogomea ww kuyajibu ya kuongelea vile viuongo vingine mbele yao? Mi nina mzio nayo, labda aulize mengine yanayojibika kwa kadamnasi
 
mkuu kloro.....
Kwa mujibu wa majibu haya....hata la kununua gunia la mkaa linahusika hapa...
Ndio mahaba yenyewe lol
heheh mkuu TB Mapenzi ni mechi, unatakiwa kumsoma vizuri mwenzi/ mpinzani wako. Kuna mwengine gunia la mkaa atajipakazia kijiji kizima kwamba mwaka huu kaolewa na nzungu, kuna mwengine ukimpelekea gunia la mkaa anakupa laivu "looh umeskia mie tanuri?" khaaa!
 
mwenzenu alihiari mauti baada ya kunogewa na mahaba mjue :]

mahaba ya dhati, yameniingia
yangu tathliti, imenichongea
nahiari mauti, kuliko mahaba haya

jamani majuto, mwisho wa mahaba
na masikitiko, na nyingi suluba
na hiari mauti, kuliko mahaba haya

hii nyimbo na ile dua ya kloro...sipati picha lol
 
Hivi kweli mwalim haujawahi kuona in some cases great sex ndio inakuwa initiator ya the so called prerequisite?

Kweli kabisa, tena kwa wanaume hili suala lina-apply sana,

Yaani baada ya mavituz ya nguvu...jamaa anaandika cheki hata kama ni hewa ana atoa ahadi ya kujenga ghorofa (wakati yeye anapanga uani) au kuangusha helikopta!!
 
gee wee acha tu.....(si nimekuona ndo nkasema acha nipitie kidogo, nawahi gengeni mwenzio nataka kuwa romantic baadae...lol)
maswali ya boss yapi? Hayo ulogomea ww kuyajibu ya kuongelea vile viuongo vingine mbele yao? Mi nina mzio nayo, labda aulize mengine yanayojibika kwa kadamnasi

sasa mbona lile lingine mmejibu kwa urahisi saana..
Hili langu lina ugumu gani?
 
....kiswahili hiyo inaitwa kuzini nje,.....wadhungu wanaita CHEATING.
kabla hamjakwenda mbali sana, nambieni ukweli....una link vipi great sex na romance wakati wa cheating,
halafu ukirudi nyumbani kwa mkeo/mumeo unadai shetani alikupitia?....

hapana, hakuna uwiano baina ya romance na great sex, tena na stranger---huko ni kujaribu kuhalalisha uzinifu.
hiyo ni fantasy----njozi tu!...

'kutandikiwa khanga kwenye tuta la viazi na mke wa mtu sio romantic moment bana!'....sawa sawa na mwanamke 'kumalizana' na mfanyakazi mwenziwe chooni after office hours....halafu anarudi kwa mumewe na big smile eti alipata romantically great sex with a stranger...hahhh?!.... fantasies (matamanio) sio romance (mahaba)
Mkuu Mbu hii post yako iko kiimani zaidi, kumbuka sio wapendanao wote wana imani.
Anyway, stranger niliemuongelea mimi ni yule single/single ambao hawapo commited.
 
....kiswahili hiyo inaitwa kuzini nje,.....wadhungu wanaita CHEATING.
kabla hamjakwenda mbali sana, nambieni ukweli....una link vipi great sex na romance wakati wa cheating,
halafu ukirudi nyumbani kwa mkeo/mumeo unadai shetani alikupitia?....

hapana, hakuna uwiano baina ya romance na great sex, tena na stranger---huko ni kujaribu kuhalalisha uzinifu.
hiyo ni fantasy----njozi tu!...

'kutandikiwa khanga kwenye tuta la viazi na mke wa mtu sio romantic moment bana!'....sawa sawa na mwanamke 'kumalizana' na mfanyakazi mwenziwe chooni after office hours....halafu anarudi kwa mumewe na big smile eti alipata romantically great sex with a stranger...hahhh?!.... fantasies (matamanio) sio romance (mahaba)

Mbu sasa unalazimisha mambo! Lol

Mtu ana cheat wanaenda Roma kutembea, full romantic, akirudi home akimwambia wife shetani tu alimpitia, hapo kataa.

He had a perfect romantic time and I doubt if he even regret it

Kwa wazungu romance haihusiani na mapenzi na ndo maana watu wanapata romantic dinner on a first date japo kuwa walikutana kwenye Internet
 
sasa mbona lile lingine mmejibu kwa urahisi saana..
Hili langu lina ugumu gani?

hilo limejivika vazi ndo maana....
Hivi wewe Bosi gunia la mkaa na kuku hai vinaongezaje mahaba? hapo hata hakuna cha uzungu wala uafrika bana, hebu nieleze nielewe
 
Gee wee acha tu.....(si nimekuona ndo nkasema acha nipitie kidogo, nawahi gengeni mwenzio nataka kuwa romantic baadae...lol)
Maswali ya Boss yapi? Hayo ulogomea ww kuyajibu ya kuongelea vile viuongo vingine mbele yao? Mi nina mzio nayo, labda aulize mengine yanayojibika kwa kadamnasi

Aaawww Bee thanks :]

You go girl put your romance on fyah !
 
Tatizo ni mtazamo.

Kila mtu ana mtazamo wake wa nini haswa ni romantic na mwanamke/mwanaume wa aina gani ni romantic. Kuna mtu mumewe kumpikia ni romantic na mwingine anaona kwa kufanya vile mumewe anajishusha. Kuna mwanaume mkewe kumpigia simu three times a day ni romantic na mwingine anaona ni pure usumbufu. Kwahiyo kwa vyovyote vile...kwa kutumia kipimo chochote kile hamna mtu ambae atakubalika na kila mtu (watu wenye background na mategemeo tofauti ) kwamba yeye ni romantic universally.

Kujibu maswali yako
1. Wanaume wa Tanzania ni romantic. Just not to everybody.
2.Kama sio kwa baadhi ya watu sioni kwanini kosa liwe la yeyote yule. Ni vizuri kila mtu akawa vile alivyo...wanaopenda his kind of romantice watakuwepo na ikitokea bahati nzuri akawa na mahusiano na mmoja wao hakutakua na malalamiko kati yao.Akikutana na ambae ni tofauti basi ni jukumu la huyo mwenza kumjulisha mwenzake kwamba ningependa kitu fulani na fulani ili nifurahi na iwapo hicho kitu kiko ndani ya uwezo na matakwa ya mwanaume basi kitafanyika.
3. Vigezo vinaofautiana kati ya mtu na mtu/sehemu na sehemu.Hamna kipimo ambacho ni universal amabcho majibu yake kila mtu atakubaliana nayo.

Dada heshima kwako.
Kusema wanaume wa Tz hawajui mahaba si kweli kwani hii ni to general kwa mtu analytical kuishia hapo. Kila mtu ana mpenzi au mke wake na wanfanya mapenzi regularly na kila mwanaume anafanya kumpa raha mpenzi wake kutokana na vionjo anavyopenda mpenzi wake. Huwezi kutumia vionjo ulivyompa mke wako akafurahi ukategemea ni applicable kwa kila lady. Romance ni specific term ambayo ni kwa kila mwanamke ina maana yake kwa kadiri genetic make up ya kila mtu ilivyo tofauti. Kusema wanaume wa TZ hawajui mahaba ni inatokana ufinyu wa uelewa wa mlalamikaji katika suala la mapenzi. Hii imepelekea watu wengine kuiga sex za kwenye video kwa kufikiri ndo mapenzi na wengine kujikuta wakikimbiwa na wake na wapenzi wao wa kile pale wanapotaka kuonyesha mahaba kwa KURUKA UKUTA.

ni vema tuwe makini sana kwenye suala la nini romance kwako wewe na mpenzi wako na siyo universal meaning ambayo ina mapungufu makubwa. tujue kwamba lengo la romance ni kuwafanya wapenzi walioko ktk uhusiano halali wafikie kilele cha furaha ya mapenzi kwa vionjo ambavyo vinawahamasisha(stimulate) na siyo vionjo vya kusoma kwenye vitabu au kuangalia mikanda ya ngono.
 
Back
Top Bottom