Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

....ohoooo,....sasa wewe ndio umeharibu kabisa, au unatania?

Usiponunua wewe hilo gunia la mkaa atanunuliwa na nani?
Tusichanganye wajibu na majukumu yako kama mume, na mahaba.

...
no wonder wengine ati baada ya kuachana na wake zao wanasitisha hata matumizi kwa watoto wao.
...ni ujinga wa 'mwafrika'

...spot on, utapewa majina yote ya maudhi, ikiwamo umelishwa kipapai, ....na wanawake wasiojua 'kupendwa' hufikia hata
kujitapa mbele ya wajinga wenzake ati "nimemuweka kiganjani, hafurukuti!"...

mkuu majukumu ni kwa mkeo au mpenzi wako tayari....
But mahaba yanaanza hata kabla hajawa wako....
Yanaweza kuwa chanzo hivi....
 
thanks gurlie!!

Gee ngoja kwanza, hivi end result/s za kuwa romantic au romance zenyewe ni nini? unategemea nini unapoonyeesha mahabat ya nguvu kwa waubani wako?

Ni kufurahia penzi zaidi. Ni ile kuridhika nafsi. Kuona mwenzio anakujali zaidi ya wajibu wake na kuwa nae ni special ( isiwe huoni tofauti ungeolewa na Juma au James).
 
  • Thanks
Reactions: bht
The Boss

Kwa kijijini labda ukirudi home mama watoto ukisikia yupo kisimani, kwenda kumfata huko, na kumpokea ndoo ya maji ukabeba wewe
 
ni kufurahia penzi zaidi. Ni ile kuridhika nafsi. Kuona mwenzio anakujali zaidi ya wajibu wake na kuwa nae ni special ( isiwe huoni tofauti ungeolewa na juma au james).

to take it to another level....
Kuwa more connected as couple.....
 
  • Thanks
Reactions: bht
the boss

kwa kijijini labda ukirudi home mama watoto ukisikia yupo kisimani, kwenda kumfata huko, na kumpokea ndoo ya maji ukabeba wewe

umeona ehhh?
Dark city umeona hii?
Wanajua kuwa tuko romantic ile mbaya...but wanataka.....the hollywood type.....
Hili ndio tatizo nowadays....
 
Sasa wewe Mbu umeamua kuturudisha nyuma.....

Mimi kama mwanamume wa Kitanzania na Mwafrika origino (tena dume la mbegu), kama hayo mahaba hayahusiani na sex au hayatanisaida kupata sex nafanya ya nini???

Haki ya nani sina sababu ya kuyafanya kama mwisho wa siku naondoka patupu?? May be ninazeeka vibaya!!!

hapa kazi ipo! kwa hiyo romantic ni lazima iishie kwenye sex?? mtu hawezi kuwa romantic kwa mama yake, baba yake, watoto wake, na wengineo?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hahahaha umenikumbusha mbali kweli...enzi hizo na chai ya asubuhi......hii thread cjui niianzie wapi mackini!

heheeee mae hebu sema basi msukuma wako akikuletea manumbu na chai ya maziwa ndo unajiskia ako romantic au na wewe ni wale wa dotcom kwa mujibu wa kakaangu DC?
 
Ni kufurahia penzi zaidi. Ni ile kuridhika nafsi. Kuona mwenzio anakujali zaidi ya wajibu wake na kuwa nae ni special ( isiwe huoni tofauti ungeolewa na Juma au James).

The Boss

Kwa kijijini labda ukirudi home mama watoto ukisikia yupo kisimani, kwenda kumfata huko, na kumpokea ndoo ya maji ukabeba wewe

HAPA tumeelewana....men (wadada pia) go an extra mile jamani. si lazima uninunulie helkopta ndo nijione mimi ni maalum kwako na unanionesha mahabat ya nguvu!!! sasa gunia la mkaa na kuku vs kunisaidia ndoo ya maji kisimani kipi rahisi?
 
hapa kazi ipo! kwa hiyo romantic ni lazima iishie kwenye sex?? mtu hawezi kuwa romantic kwa mama yake, baba yake, watoto wake, na wengineo?

khee Ikunda....

romantic si inatokana na neno romance?
hebu tembelea kamusi yako kwanza
 
Dah! mkuu The Boss naomba nikutangaze rasmi kuwa starring wa hii thread.
Yaani huu mfano hai kabisa tena vere romantic llakini still bht ,gaijin na mj1 watabisha.

Hahhaahhahahah Dah shemeji hapa kwa kweli hata sijui nijibuje. Nitasema tu hii ni WAJIBU wake The Boss kuleta chakula kwa familia yake. Romantic kwa tafsiri yangu hii haimo kwenye list.......eti Mbu ameleta kuku nyumbani ndo amekuwa romantic? ntamuona tu kuwa anawajibika kwa familia yake (na kama italazimishwa kuingizwa kwenye list basi atakuwa anakuwa romantic kwa familia yake. Anakuwa Romantic father).

Ni sawa na mie anikute niko jikoni ninampikia chakula, atasema mke wangu yuko romantic?

Hebu nirekebisheni hiki kichwa maana sasa naona ndio kabisaaaaa kinapoteza uelekeo.
Shemeji samahani kwa kubisha.
 
Mbu

Nilishawaambia kuwa kuna definition ya mume anavyotakiwa kuwa kimsingi

Romance ni zile extras ambazo si wajibu ila zikifanywa zinaongeza ladha ya mapenzi.

Anikande miguu hivi tukitoka safari (si mnajua mchuchimio na adhabu zake)....na mengineyo madogo madogo

...upo juu ya mstari...ndio maana nawashangaa wasemao ati kujitwisha gunia la mkaa huku umeshikilia jogoo ni kiashiria cha mahaba, na kwamba eti hiyo inatengeneza mazingira ya sex.....siku pesa ya kununulia gunia la mkaa na kuku ikikosekana, hapaliki, hapalaliki wala udugu wa shuka hautokuwapo, ama?

hapana..... mahaba hayana gharama,....mahaba ni matendo na muda unaojitengea kumjali mwenza wako.
kwangu mimi kipimo ni katika muda huo naweza vipi kutekwa/kumteka/kutekana akili kiasi kwamba hata tutapokuwa mbali mbali, moyoni tutakuwa na uchu na kiu masaa au siku ziende haraka tupate kuwa pamoja tena....

...ndio maana nilimhoji awali klorokwini, romantic/'mahaba' ni hisia?
 
Hahhaahhahahah Dah shemeji hapa kwa kweli hata sijui nijibuje. Nitasema tu hii ni WAJIBU wake The Boss kuleta chakula kwa familia yake. Romantic kwa tafsiri yangu hii haimo kwenye list.......eti Mbu ameleta kuku nyumbani ndo amekuwa romantic? ntamuona tu kuwa anawajibika kwa familia yake (na kama italazimishwa kuingizwa kwenye list basi atakuwa anakuwa romantic kwa familia yake. Anakuwa Romantic father).

Ni sawa na mie anikute niko jikoni ninampikia chakula, atasema mke wangu yuko romantic?

Hebu nirekebisheni hiki kichwa maana sasa naona ndio kabisaaaaa kinapoteza uelekeo.
Shemeji samahani kwa kubisha.

Unajua shemeji kuna pointi mnaimiss!
ukiangalia post ya The Boss, haikubase zaidi kwenye gunia la mkaa wala kuku, imebase zaidi kwenye mazingira ya namna kuku alivyoletwa na alivyopokelewa. Kamsome tena boss halaf refer kwenye definition yangu ya romance nilivyoieleza kabla.
 
Hahhaahhahahah Dah shemeji hapa kwa kweli hata sijui nijibuje. Nitasema tu hii ni WAJIBU wake The Boss kuleta chakula kwa familia yake. Romantic kwa tafsiri yangu hii haimo kwenye list.......eti Mbu ameleta kuku nyumbani ndo amekuwa romantic? ntamuona tu kuwa anawajibika kwa familia yake (na kama italazimishwa kuingizwa kwenye list basi atakuwa anakuwa romantic kwa familia yake. Anakuwa Romantic father).

Ni sawa na mie anikute niko jikoni ninampikia chakula, atasema mke wangu yuko romantic?

Hebu nirekebisheni hiki kichwa maana sasa naona ndio kabisaaaaa kinapoteza uelekeo.
Shemeji samahani kwa kubisha.

kichwa chako bado kabisa kina chemka mwayego!!!
khaa, unakuwaje romantic kwa kutimiza wajibu wako kama mke/mume? (ndo maana wanaambiwa hawako romantic maana kumbe hata hawajui unakuwaje romantic....lol!!!)
 
Huu mdahalo huu eh............ntafukuzwa kazi mwenzenu afu nipunguze mahaba lol!
 
heheeee mae hebu sema basi msukuma wako akikuletea manumbu na chai ya maziwa ndo unajiskia ako romantic au na wewe ni wale wa dotcom kwa mujibu wa kakaangu DC?

huo kwangu ni wajibu wake kama baba mwenye nyumba....cku anaponisaidia kazi za ndani na mie nanyanyua mguu juu nasoma gazeti la mfanyakazi hapo huwa ananibamba kweili!.....
 
Back
Top Bottom