Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

but nionavyo mimi ni kuwa tumegawanyika

wapo ambao hawajui au tuseme hawana mahaba ya tamthilia za akina alejandro
,hasa wa mikoani na vijijini......na hapa namaanisha romance...na sio love.....

dunia imebadilika mno.....juzi hapa kuna thread ilianzishwa na afrodenzi kuhusu siku ya ku propose

nikajiuliza....am i old fashioned guy or what?

kwangu mimi ku kneel down na ku propose imekaa ki hollywood zaidi...
but wadada wa sasa wanataka hizo pia....go figure....

Umenishangaza sana na statement yako wapo ambao hawajui au tuseme hawana mahaba ya tamthilia za akina alejandro
,hasa wa mikoani na vijijini ???????????
unamaanisha wanaume wa DAR!!!!!!! peke yao ndio wanajua mahaba!!!mbona dar kuna washamba wengi sana wajanja ni wachache sana ukilinganisha na population ya dar, unamuangalia mtu mpaka unasema naye atasema anaishi dar? mana yuko backward kinoma!!!! does it mean wanaume wa mikoani na vijijini ndio zero kwa mahaba, nikuulize je umetumia vigezo gani kusema hayo!!! makubwa sana haya, yani huwa mnaona dar ndio kila kitu!!!!! mnajidanganya sana tena sana
 
hebu soma uelewe nilichoandika....
nimesema mahaba ya tamthilia watu wa vijijini ambako hakuna umeme
watayaiga wapi?
wakati watu wa dar wengi hasa wadada wanataka kuiga hayo ya tv....

hakuna niliposema wa vijijini na mikoani ni washamba na hawajui mahaba.....
nilichosema kuna mhaba ya kuiga kwenye tv...get it???????
 
hahaha hivi tushafika huko? Basi ile comment yangu nilotaka kumtupia Bishanga nitaizuwia kwa sasa, tusihame mtaa

gee...mjadala uendelee tu...
hebu nipe maoni yako wewe...kama a woman....
mwanamke akikataa kumpa a bf/hubby a blowjob....
maana yake nini?
 
Hahaha Boss katika kuchangia kwangu JF zaidi ya miaka minne sasa, hunikuti kuchangia vitu kama hivyo.

Manake nitasema uongo bureee.........
 
heheeh hilo suala ilikuwa aulizwe Maria Roza, nazani angejibu kwa ufasaha na angeambatanisha na picha kabisa.
Wewe tukuulize masuala ya wabunge wa viti maalum. lol
 
nijibu please...
maoni yako yana umuhimu fulani..thats why nime ask...
mbona umuhimu wa kulamba kitumbua umesema hap juu????
 
Umeona eee ....

Kuna masuala kwangu binafsi hayajibiki maana kwanza nayaona 'gross' ....kuwa mtoto wa kike nipo hapa mbele ya wanaume marijali kama Klorokwini na The Boss na discuss viungo vya siri...............yaaakkkkkk
 
Ile Boss nilikuwa namrusha steam Bishanga tu baada ya yeye ku-introduce topic, na angekuja kuendeleza topic ungeniona nimeishia kimya kimya LOL

Anyway suala lako nashindwa kujibu kwa sababu pia sina vielelezo vya kutosha....:]
 
Wanawake wenye aibu ni mbegu adimu sana kizazi cha leo, halaf binafsi naona mwanamke anakuwa so romantic anapokuwa na kiaibu flani hivi.

Eeeeh mola nisaidie nisije nikafall kwa mwalim wangu gaijin. Aaamen!
 
mmmmmhhhh (source: The Boss)
 
Ile Boss nilikuwa namrusha steam Bishanga tu baada ya yeye ku-introduce topic, na angekuja kuendeleza topic ungeniona nimeishia kimya kimya LOL

Anyway suala lako nashindwa kujibu kwa sababu pia sina vielelezo vya kutosha....:]

gee....you are running from this question and i dont know why......

hukuihitaji vielelezo vya kutosha kutetea kulamba kitumbua..lol
but kuhusu wanawake wanaokataa kuwapa their loved ones good blowjob....?unahitaji vielelezo???
 
Wanawake wenye aibu ni mbegu adimu sana kizazi cha leo, halaf binafsi naona mwanamke anakuwa so romantic anapokuwa na kiaibu flani hivi.

Eeeeh mola nisaidie nisije nikafall kwa mwalim wangu gaijin. Aaamen!

dua yako imekubaliwa.hata uki fall.yeye hata kubali lol
 
gee....you are running from this question and i dont know why......

hukuihitaji vielelezo vya kutosha kutetea kulamba kitumbua..lol
but kuhusu wanawake wanaokataa kuwapa their loved ones good blowjob....?unahitaji vielelezo???

Boss unatabu kweli kweli yakhe .......hebu msome Klorokwini vizuri labda utanielewa

Watakuja hapa wengine wakupe maelezo usiwe na wasi wasi, suala lako halitakwenda bure 😛
 
Back
Top Bottom