Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Hivi kweli mwalim haujawahi kuona in some cases great sex ndio inakuwa initiator ya the so called prerequisite?

Klorokwini mmmmh let me think ........hiyo s'kumbuki mbona.

Hivi kuna great sex isiyokuwa na romance? Manake hata ile kupigwa kibao inaweza kuwa ndio romance yenyewe kabla ya great sex!

Au kwa sie Waafrika, gunia lal mkaa ulilonunuliwa linaweza kutumika kama romance kwa mujibu wa DC na Boss
 
Though its not recomended but you may try this to prove me right : Fanya sex na stranger halaf sex yake ikupagawishe utajikuta unakwenda backward from great sex toward romance.

Close ur eyes and give it a think.
 
Wanawake wenye aibu ni mbegu adimu sana kizazi cha leo, halaf binafsi naona mwanamke anakuwa so romantic anapokuwa na kiaibu flani hivi.

Eeeeh mola nisaidie nisije nikafall kwa mwalim wangu gaijin. Aaamen!

Lol naona pasinipite....................Shemeji mwanamke mwenye kijiaibu ndo anakuwaje? Anaruhusiwa naye kuwa mtundu kidogo wakati wa ,Njenje, au ataonekana mcharuko? Hebu nijibu haraka nisije nikaachika shemeji yako nikafa kwa njaa!
 
Though its not recomended but you may try this to prove me right : Fanya sex na stranger halaf sex yake ikupagawishe utajikuta unakwenda backward from great sex toward romance.

Close ur eyes and give it a think.

Hivi kwani romance ni lazima iwe na mtu unaemjua? .......you cant have romance with a stranger?

Mbona hii mada inazidi kuota matawi .....lol
 
Lol naona pasinipite....................Shemeji mwanamke mwenye kijiaibu ndo anakuwaje? Anaruhusiwa naye kuwa mtundu kidogo wakati wa ,Njenje, au ataonekana mcharuko? Hebu nijibu haraka nisije nikaachika shemeji yako nikafa kwa njaa!
Shemeji! kwanza aina ya aibu inategemea na level ya mahusiano eg, uchumba, ndoa nk. In short mahusiano ni timing, right action at the right time per right place. siwezi kukupa exact time ya kufanya ka aibu
Kwenye kautani na vizawadi ni the best place kwa mwanamke kufanya kaaibu flani, even on bed kuna sometime unapenda unapomkazia macho mwenza wako alejeshe jicho la aibu na sio wewe umekodoa macho na yeye anakukodolea mimacho kama fundi alokosea kushona nguo akashona kidole by mistake. Tutatishana wajameni!
 
Hivi kwani romance ni lazima iwe na mtu unaemjua? .......you cant have romance with a stranger?

Mbona hii mada inazidi kuota matawi .....lol

oooh nimekupata sasa mwalim, na nimejua tunakosana wapi!

Unajua hii mada kama sikosei inaongelea romance za long lasting relationship, yaani romance ambazo zinakeep going ndani ya relationship zetu (inawezekana niko wrong), lakini nadhani wewe unajaribu kuongelea ile romance ya pre sex preparation hata kama ni ya nusu saa, (nilekebishe kama nimekusoma sivyo)
 
Shemeji! kwanza aina ya aibu inategemea na level ya mahusiano eg, uchumba, ndoa nk. In short mahusiano ni timing, right action at the right time per right place. siwezi kukupa exact time ya kufanya ka aibu
Kwenye kautani na vizawadi ni the best place kwa mwanamke kufanya kaaibu flani, even on bed kuna sometime unapenda unapomkazia macho mwenza wako alejeshe jicho la aibu na sio wewe umekodoa macho na yeye anakukodolea mimacho kama fundi alokosea kushona nguo akashona kidole by mistake. Tutatishana wajameni!

Hahahahh nimecheka kwa nguvu shemeji aksante dah yaani talaka nadhani ishaanza kuandikwa heb nlegeze jicho mie maana dah! Mpaka yeye ndo huyafumba ya kwake!! Sijui ni hili jaaliwa langu! Jicho lenyewe ka la mgambo wa city akimkimbiza chinga sijui litalegezeka!!
 
oooh nimekupata sasa mwalim, na nimejua tunakosana wapi!

Unajua hii mada kama sikosei inaongelea romance za long lasting relationship, yaani romance ambazo zinakeep going ndani ya relationship zetu (inawezekana niko wrong), lakini nadhani wewe unajaribu kuongelea ile romance ya pre sex preparation hata kama ni ya nusu saa, (nilekebishe kama nimekusoma sivyo)

Umenisoma ndivyo sana. Nilijisahau kuwa topic ni romance ya watu wenye uhusiano mrefu kidogo

Tukirudi kwenye mada husika, maneno yako swadakta kabisa, great sex inawezekana bila romance japokuwa hapa pia tutakuwa tumetoka nje kidogo, strangers hawahusiki kwenye topic hii
 
Hahahahh nimecheka kwa nguvu shemeji aksante dah yaani talaka nadhani ishaanza kuandikwa heb nlegeze jicho mie maana dah! Mpaka yeye ndo huyafumba ya kwake!! Sijui ni hili jaaliwa langu! Jicho lenyewe ka la mgambo wa city akimkimbiza chinga sijui litalegezeka!!

Hahaha hapa umenichekesha sana. Huachi! Ati jicho kaa la mgambo wa city ha ha ha
 
Hahahahh nimecheka kwa nguvu shemeji aksante dah yaani talaka nadhani ishaanza kuandikwa heb nlegeze jicho mie maana dah! Mpaka yeye ndo huyafumba ya kwake!! Sijui ni hili jaaliwa langu! Jicho lenyewe ka la mgambo wa city akimkimbiza chinga sijui litalegezeka!!
heheheh lakini usisahau shem huko post za nyuma tulikubaliana kuwa kila mtu ana romantic chart yake, uskute Mbu hilo jicho la mgambo wa City ndio linampotezea faham.
 
Mkuu moskwito, hapo buluu japo ni tafsiri yako binafsi lakini naomba niulize kidogo!

Hivi haujawahi kuwaona binadamu ambao they find it so romantic when their partners are careless and kinda animal behaved? , umewahi kuyaona maisha ya wale street rock and rollers?

Kwa hivi vingezo vyako, ambavyo tayari vimekatiwa rufaa na klorokwini, hebu basi malizia swali letu la msingi...Wanaume na wavulana wa Tz (ukiwemo na wewe), tunavyo hivyo au ndo tumebakiwa kuwa washika pembe ili majirani zetu (hapa namaani Wakongo na wengineo) waje kukamua???!!!

.....jamani hamjanielewa....

being ROMANTIC maana yake nini?
.....mnaposikia mtu anasemwa bwana fulani ana mahaba, mnaposikia nyimbo mahaba ya dhati, mnaposikia sifa mahaba ya pwani...
being romantic ni wingi wa mahaba....mnalikuza sana hilo neno romance/romantic kwakuwa lipokwenye "lugha ya kigeni" basi litapambwa na kutiwa nakshi lionekane zuri...

tujiulize sie wanaume wa kitanzania na mahaba? mimi siwezi wajibia wenzangu...kila mtu na malezi yake... mahaba yanatafsirika baina ya mtu na mtu....nitayaomfanyia mwenza wangu tangia tunaamka, mfano kumpa busu, kumtengenezea chai na kumletea kitandani....na kumdeleza kwingi kwinginevyo siku nzima kama ni mwelewa, atanitafsirije?.....nawaachia nyie mjibu kwa tafsiri zenu...

being romantic/mwingi wa mahaba hakuhusiani kabisa na sex!!!
tusichanganye haya mambo mawili.
 
Umenisoma ndivyo sana. Nilijisahau kuwa topic ni romance ya watu wenye uhusiano mrefu kidogo

Tukirudi kwenye mada husika, maneno yako swadakta kabisa, great sex inawezekana bila romance japokuwa hapa pia tutakuwa tumetoka nje kidogo, strangers hawahusiki kwenye topic hii

Yep! ni kweli kabisa, na kwa ulivyonibana kwa post yangu mwenyewe nadiriki kusema lazima utakuwa lawyer au unakaa jirani na lawyer
 
.....jamani hamjanielewa....

being ROMANTIC maana yake nini?
.....mnaposikia mtu anasemwa bwana fulani ana mahaba, mnaposikia nyinhgmbo mahaba ya dhati, mnaposikia sifa mahaba ya pwani...
being romantic ni wingi wa mahaba....mnalikuza sana hilo neno romance/romantic

Mkuu moskwito umefanya la maana sana kuliweka hili neno kwenye lugha ya kiswahili, unajua tuiache sex pembeni kabisa.

Mahaba yanaoneshwa kwa namna tofauti katika maeneo/mazingira/kabila/imani tofauti, nadhani hata hapa JF tuliwahi kuambiwa kwamba kuna kabila flani hapa TZ kupiga mke ni moja kati ya njia moja ya kuonesha mahaba kwao (romance as per ur definition). Na mimi point yangu kubwa kwenye huu mjadala ndio maana nikaiwekeza kwamba romance ni kujenga mazingira ya kupendwa au kuamsha hisia za kupendwa tu in whatever way ambayo mlengwa anaikubali.
 
Back
Top Bottom