Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Huh, wali wa nazi waujua weye, je samvu la karanga kwa ugali??bora kama anajua maana asijepata sapraizi humu, maromance ya kibongo bibi mbele bwana nyuma wakitembea hakuna kukaribiana

hilo linagahamika manake ndo familia moja iyo iyo Shantel....
 
Back
Top Bottom