The Boss
nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye
kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............
mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]
Gaijin, nimekusoma sana mwalimu wangu......
Lakini tukumbuke kuwa vionjo vya weupe vitaendelea kuwa vya weupe,
na vya weusi vitaendelea kubaki hivyo..
Neno kujali kwenye mapenzi hasa kwa maisha ya kiafrika....limejikita zidi katika majukumu,
na wala sio hiyo romance sijui romantic love.........
Mwanamke wa kiafrika, kwa walio wengi anaweza kudefine kuwa unampenda,
kama utajali mahitaji yake ya kimaisha...................na wala sidhani hapa makissing, mahugging ndo yana nafasi kwa sana,
hebu jaribu kupiga hayo makissing, mahugging, sijui kununuliana vito vya samani pasipo kutimiza yale mahitaji yake ya kimsingi.....
nadhani utakuwaumepotea.................
Mwanamke wa kiafrika anaweza kuonyesha na kutambua kuwa unamjali kutokana na mambo mengi tu yanayohusiana na mahitaji yake ya kmsingi...
mfano, kujali ndugu zake, kujali familia yako, watoto katika ujumla wa maisha hayo.......
Haya mambo ya kissing, sijui mahuggung na mengine ya dizaini hiyo mengi ni vionjo vya wazungu, ingawa si mbaya kuyaonyesha lakini,
hayana uzito ule unaosimuliwa hasa katika context ya kiafrika........
Nawasilisha.KARIBUNI KAHAWA JAMANI.....