acha roho ya kwanini wewe. Muhindi mmoja kufanya hivyo,haimaanishi wahindi wote wako hivyo.msisahau watu hufanya mambo kutokana na tabia zao na kila mtu ana individual personality. Kuna watanzania wengine weusi wanaotukana wahindi etc. Hamna sheria inayosema kwamba ni lazima mtanzania aongee kiswahili,kama ipo tafadhali naomba link haraka sana. Manake hata watanzania wote hawaongei kiswahili e.g. Wahaya huko kijijini bukoba,wachaga etcyaani ni kweli kabisa mkuu.
Hawa jamaa (wadosi) wanajidai eti ni watanzania kwa vile wamezaliwa na kukulia tz na watakwambia hata babu zao wamezaliwa tz. Utashangaa kumkuta mdosi wa miaka 45 na zaidi anaongea kiswahili kibovu kupita kawaida. Unajiuliza huyu ni mtanzania kweli? Wana dharau mno. Nilishawahi kushuhudia ugomvi wa mdosi na mbogo mmoja kwenye foleni ndani ya benki moja dar, walipoanza kuzozana mdosi akamwangalia mbogo kwa jicho la dharau kuanzia miguuni hadi kichwani kisha akamwambia kwa kiswahili chake kibovu "wewe haiwezi tofautisha rangi yako na yangu?" nilijisikia vibaya sana. Hawa jamaa hata mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyao hufanya juu chini kuziagiza toka india hata kama zinapatikana tz. Tena ni vinara wa kukwepa kodi na hushirikiana kwa pamoja kuua biashara za wabongo pale wanapoweza. They are not good people at all.