Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

Tunayemdharau alitufundisha kwa maneno na vitendo kupenda vitu vyetu wenyewe na kufikiria wenyewe. Leo ili uonekane unakwenda na wakati (hata kama waenda shimoni) twataka kula kama mzungu,kusema kama mzungu,kutembea kama mzungu,kufikiri tumemwachia mzungu " mwenye akili kuliko sisi ".Tukijithamini hatutaendelea kuibiwa.Tusishabikie wala kuendekeza uovu na kuita ujanja. Mwizi tumseme wazi wazi wewe mwizi.
 
Nawashauri watu kwenda kununua vitu hasa vya umeme na electronics kwa authorised dealers ili kuepuka kununua vitu feki. Mfano, LG nenda Mtaa wa mkwepu karibu na posta ya zamani au benki ya posta. Pia unaweza kwenda Hotpoint karibu Jamhuri street ama Mlimani city. Sony nenda mtaa wa Samora karibu na twiga bancorp. Samsung nenda JMall mtaa wa samora ama makutano ya morogoro road na samora ama mlimani city.
 
Kununua kitu kama chakula toka supermkt kwa Tanzania ni element za ushamba flan hiviii (with assumption ukienda mall utakuwa na status flan).

Vitu fresh viko kariakoo ma masoko mengine why kununua processed food? Unakuta mtu kanunua cassarole ama lasagne au any canned food wkt vinatengenezeka tu nyumbani!!

Hujielewi ww, hiv zile lasagne bread unatengeneze mwenyew nyumban? Doubting...alafu zile tomato anakulaga ukiagizaga chips mayai sio processed? Kuna mtu hana muda, infact kama mm napenda sambusa na sina mudaa wakukaa kusaga nyama, then nitengeneze Manda, nifunge, nikaange I just buy from supermarket, I keep hom and I fry when I want to eat, sasa kama unanunua supermarket ambazo bidhaa hazina ubora, usite watu washamba, by the way white onion hukoo mtaani kwenu zip??kwetu hamna that's I why I have to go s market to get some for salads....
 
TSN Supermarket BAMAGA ndo mtambo wa kuuza bidhaa zilizo expire, wanachofanya wanafuta expire date ya zamani na kuandika upya. mimi nilinunua yoghurt hapo nikakuta imeandikwa ina-expire November 2045 nikawauliza mbona hii expire date ipo mbali sana, wakada ndo ita-expire, nlipoifungua nikakuta imeharibika nikawardishia wakaanza SAMAHANI kibao
 
Taarifa hizi tulishawatumia TBS na TFDA wafuatilie kwa ukaribu kwani wafanyakazi wa Game wenyewe walituhabarisha juu ya hili. Kama wanataka facts tunaweza kuziweka hapa pindi zikihitajika!

Not only Game, hata Shoprite nao walewale.

Hili ni kweli, nahisi bidhaa zao huizwa kwa bei ghali mno ukilinganisha na uchumi ya quality centre, hivo bidhaa hipita muda wake na kulazimisha kuziuza kuepula hasara
 
Back
Top Bottom