Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

nafikiri wananchi wenyewe kumekuwa na utamaduni wa kutojali kitu unacho nunua si Game pekee sasaivi hadi kkoo kuna bidhaa feki hadi maduka yenyewe feki...sio kama zamani mtu ukiona feki wala hurudi hapo tena ila sikizi mtu akinunua Game basi kila mtu ata taka aende hapo still humu watu tunasema kuna bidhaa feki ila watu tukisha ona kile kigazeti chao cha uongo cha punguzo za bei watu mbio kwenda kununua!!!! by the way leo sijakiona kigazeti!!!!
 
Lakini tunalalamiakia wanaomiliki hayo maduka mnasahau wafanyakazi wao. Hivi utanibishia nikikueleza kuwa wafanyakazi wa game wanabandika bei zisizokuwa za halali harafu ukinunua anahakikisha anakufuata kwenye counter unakolipia kuwasiliana na huyo mtu kupata cha juu alichokuwa ameongeza kwenye hiyo bidhaa. Kwa hiyo inawezekana hizo bidhaa zinakuwa za bei chini lakini kutokana na njaa ya wafanyakazi inakuwa hivyo. I have experienced this and I never wanted to say until have proved but now this is the right time to say. Nawapa homework chunguza mtaniambia.
 
Mmezidi na uzungu wenu maduka mazuri yapo uswahilini kwetu ila nyie mnaona fahari kujisevia na makapu wacha wawabamize mpaka muache ushamba.

Nimependa hii!!!!

Ni kweli waTZ tumezidi kupapatikia vya wageni wacha watunyooshe. Hata wali wa MAMA NITILIE hatuutaki siku, foleni shoprite.... ngoja watulishe sumu mpaka.... !!!!!!!!!!!
 
Pasi nzuri ya kunyooshea nguo nunua brand ya Phillips make ya Singapore. Mimi ninayo zaidi ya miaka 5 waya tu ndo umechakaa lakini bado iko bomba kabisa. Hata Kariakoo nunua tu maana hata ya kwangu niliinunulia huko. Ila hakikisha pasi yenyewe siyo box imeandikwa "made in Singapore"


...TRUE. Yangu hata sikumbuki niliinunua wapi lakini ina mwaka wa TISA sasa na bado inakula mzigo tu na nimebadilisha waya mara mbili tu!!
 
Hata mimi yamenikuta! Nilinunua jokofu la bei mbaya pale. siku tatu tu likaharibika. Ilibidi niende pale kama wiki nzima ndipo litengenezwe!
 
Tatizo kubwa lililopo ni mamlaka husika kuwa nyingi (TBS,TFDA,FCC etc) na kufanya kazi bila ushirikiano wa karibu na wakati mwingine kuwepo mwingiliano.TBS kazi yao ni kufanya utafiti na kuweka viwango.Lakini utakuta TBS wanapita kuchukua sample madukani na kupima wakati enforcements ya standard wanazoweka zinatakiwa kufanya na mamlaka nyingine.Bidhaa feki ni matokeo ya globalisation na sisi kukosa uadilifu na technologia ya kuzibiti bidhaa zinazoingia bandarini kwetu.Mfano unakuta kampuni ina maduka makubwa hapa nchini na wanaagiza bidhaa kutoka nje na cha kushangaza hiyo kampuni wanakampuni nyingine ya clearing and fowarding hivyo kuwa na linkage kubwa na wala rushwa wa TRA
 
Jamani hata mimi kuna mtu namjua yamemkuta.....wajua jamaa wanaleta tv,na vifaa vingine vingi home threatre ambazo hazina hata majina tulioyazoea kwa uimara...na bei inakuwa kama vile ya kutoa ngoma juani....sasa unakuta tv inch 29 kwa 280,000 duu na garantee mwaka mmoja kweli??????
 
Nimependa hii!!!!

Ni kweli waTZ tumezidi kupapatikia vya wageni wacha watunyooshe. Hata wali wa MAMA NITILIE hatuutaki siku, foleni shoprite.... ngoja watulishe sumu mpaka.... !!!!!!!!!!!
hivi watz mmejiulzia kwanini ugonjwa wa KANSA umeshika kasi sana kwa muda mfuoi tanzania?
 
TV stations badala ya kurecycle mavipindi wangeweza kutoa documentary inayohusu bidha feki na athari zake na ku-expose yale maduka notorious kwa hizi bidha. Feki na substandard!!
 

Kama wewe nimdosi, I hope unawaambie wenzako kwamba wabongo don't like your ways.

Wadosi are living among us, but apart from us. Eti wengine wana kiswahili kibovu mpaka leo, having born in TZ. It is a form of dharau, no secret about it. I personally buy from Mdosi only if I cannot get it from mbongo. Nashukuru mababu zetu, at least sasa maduka ya wabongo yanaongezeka. We must suffocate them financially by depriving them our business.
 
Last edited:
...By the way kwanini watu wengi wakifika maeneo ya Mlimani City hupenda kuongea kiingereza. Jambo hili nimelibaini muda mrefu na kila mtu niliyemuambia amesema ni ukweli. Je ni ushamba pia unatusumbua?

Please start a new thread on this topic - I will join you.
Hilo jambo (pamoja na mambo ya kujiandika " John Msocky" badala ya " John Msaki") limekuwa likinishangaza sana.
 
jamani, mimi sijawahi kupata matatizo na bidhaa za game. I have spent over 6 million there,in the past two years. That exclude bidhaa ndogondogo. Even the drill machine that I bought two years ago, still works and it has been abused by me and all the fundis that past-by me. I have absolute no complaints.

Labda inasaidia kujua bidhaa gani ni za "payless", "marshalls", au "bloomingdale". So I know what I am buying. There is no way I would by stereo or TV brand that is called ToniK or Changchu. You just have to know what you are buying.

I recently bought a 6.7 KW generator for less than a million, which wadosi mjini wanauza 2.5 million. I have so far used it 4 times in the past three month. I cross my finger on this one - we will see.
 
Kama wewe nimdosi, I hope unawaambie wenzako kwamba wabongo don't like your ways.

Wadosi are living among us, but apart from us. Eti wengine wana kiswahili kibovu mpaka leo, having born in TZ. It is a form of dharau, no secret about it. I personally buy from Mdosi only if I cannot get it from mbongo. Nashukuru mababu zetu, at least sasa maduka ya wabongo yanaongezeka. We must suffocate them financially by depriving them our business.

Yaani ni kweli kabisa mkuu.
Hawa jamaa (wadosi) wanajidai eti ni watanzania kwa vile wamezaliwa na kukulia TZ na watakwambia hata babu zao wamezaliwa TZ. Utashangaa kumkuta mdosi wa miaka 45 na zaidi anaongea kiswahili kibovu kupita kawaida. Unajiuliza huyu ni Mtanzania kweli? Wana dharau mno. Nilishawahi kushuhudia ugomvi wa mdosi na mbogo mmoja kwenye foleni ndani ya benki moja Dar, walipoanza kuzozana mdosi akamwangalia mbogo kwa jicho la dharau kuanzia miguuni hadi kichwani kisha akamwambia kwa kiswahili chake kibovu "wewe haiwezi tofautisha rangi yako na yangu?" Nilijisikia vibaya sana. Hawa jamaa hata mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyao hufanya juu chini kuziagiza toka India hata kama zinapatikana TZ. Tena ni vinara wa kukwepa kodi na hushirikiana kwa pamoja kuua biashara za wabongo pale wanapoweza. They are not good people at all.
 
I think it is high time we prioritize on Uzawa i.e indeginous!!! sometimes we need to exercise a bit of what the late Idd Amini Dada did in Uganda regarding these white puppies!! We need a tough President who values and cares for his country and indegionous citizens and of all its resorce endownments!! The system has cuddled these puppies for the reason that they finance their corrupt elections!!! Shame!!!
 
Kama wewe nimdosi, I hope unawaambie wenzako kwamba wabongo don't like your ways.

Wadosi are living among us, but apart from us. Eti wengine wana kiswahili kibovu mpaka leo, having born in TZ. It is a form of dharau, no secret about it. I personally buy from Mdosi only if I cannot get it from mbongo. Nashukuru mababu zetu, at least sasa maduka ya wabongo yanaongezeka. We must suffocate them financially by depriving them our business.

Racism...yes! Bidhaa fake zimezagaa kila kona kwa nini utaje Muhindi?Umeshafanya utafiti ni kina nani wanaosafiri kwenda China kuleta bidhaa mbovu?Mbona Watanzania wengi wenye asli ya weusi ndiyo wanaokwenda huko na kuleta bidhaa hizo?

Kama kutojua lugha vizuri ndiyo uzalendo basi hata Wasukuma wengi Kiswahili chao taabu sana.Usichanganye mambo kwa ukaburu wako.Mada ni hiyo ya Mlimani city na bidhaa feki mambo ya ukaburu tafuta kwingine!Racist wee...tena wa kutupwa!
 
racism...yes! Bidhaa fake zimezagaa kila kona kwa nini utaje muhindi?umeshafanya utafiti ni kina nani wanaosafiri kwenda china kuleta bidhaa mbovu?mbona watanzania wengi wenye asli ya weusi ndiyo wanaokwenda huko na kuleta bidhaa hizo?

Kama kutojua lugha vizuri ndiyo uzalendo basi hata wasukuma wengi kiswahili chao taabu sana.usichanganye mambo kwa ukaburu wako.mada ni hiyo ya mlimani city na bidhaa feki mambo ya ukaburu tafuta kwingine!racist wee...tena wa kutupwa!

kama wewe nimdosi, i hope unawaambie wenzako kwamba wabongo don't like your ways.

Wadosi are living among us, but apart from us. Eti wengine wana kiswahili kibovu mpaka leo, having born in tz. It is a form of dharau, no secret about it. I personally buy from mdosi only if i cannot get it from mbongo. Nashukuru mababu zetu, at least sasa maduka ya wabongo yanaongezeka. We must suffocate them financially by depriving them our business.

racism? Do you have any idea of the word..au unabwabwaja tu?

aldababy amejibu yale yote niliyotaka kuyasema

mtindiowaubongo.. Your name says a lot about yourself!utakua na mtindio. How can i say a word that i dont know the meaning of?..racism..yes..are you a racist..yes!.. Watu mmeshadhania kwasababu mweusi always anabaguliwa basi mweusi hawezi kuwa racist. Kwanini msiulize nani mwenye duka,,why mnajump to conlusions. Kwanza mimi nimeshatapeliwa sana na weusi huko bongo. Kalagabaho
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom