Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,507
- 113,629
Wanabodi,
Miongoni mwa mambo yanayotuchelewesha Watanzania kupata maendeleo endelevu kwa haraka, ni the way we do things!, namna tunavyofanya mambo yetu, we are very slow katika utendaji, uendeshaji na utekelezaji wa majukumu yetu ndio maana hata bandarini mambo ni very slow ndio yamepelekea tutafute mwekezaji, Mwarabu wa Dubai, DPW kuja kutusaidia!.
Ili kuondokana na utendaji slow slow, wenye urasimu mwingi usio wa lazima, Kituo cha Uwekezaji Tanzania, TIC kinazindua mfumo wa kisasa wa uendeshaji wa shughuli za mambo ya uwekezaji nchini kupitia dirisha moja, single window ambapo ukikaza fomu ya uwekezaji kupitia TIC, watu TRA wanakuona unapata TIN na VRN, watu wa Brela wanakuona unapata leseni yako, watu NIDA wanakuona, vibali vya kazi, kwa kifupi ni kila kitu!.
Mpaka siku ya leo, zimebaki Siku 5 uzinduzi huu ufanyike, utafanyika tarehe 25 September, 2023 katika ukumbi wa Mlimani City, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa JMT, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.
1. Kwanza nimekuwekea a short summary ya just 1 minute
View: https://youtu.be/sZcPiCCdoF8?si=SM3GcLABlYzcTcos
2. Nimekuwekea clip ya 3 minutes kukuelewesha
View: https://youtu.be/X6Q3rBimPB0?si=BBWU7D1Fy2VCMaCc
3. Nimekuwekea kipindi maalum cha dakika 7 za press conference yote ya TIC kupitia kipindi cha Habari Zaidi ya Habari.
View: https://youtu.be/wfdZdOOtE0Q?si=JOcmmD35_kDztvN9
Karibu
Paskali