Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

yaani ni kweli kabisa mkuu.
Hawa jamaa (wadosi) wanajidai eti ni watanzania kwa vile wamezaliwa na kukulia tz na watakwambia hata babu zao wamezaliwa tz. Utashangaa kumkuta mdosi wa miaka 45 na zaidi anaongea kiswahili kibovu kupita kawaida. Unajiuliza huyu ni mtanzania kweli? Wana dharau mno. Nilishawahi kushuhudia ugomvi wa mdosi na mbogo mmoja kwenye foleni ndani ya benki moja dar, walipoanza kuzozana mdosi akamwangalia mbogo kwa jicho la dharau kuanzia miguuni hadi kichwani kisha akamwambia kwa kiswahili chake kibovu "wewe haiwezi tofautisha rangi yako na yangu?" nilijisikia vibaya sana. Hawa jamaa hata mali ghafi kwa ajili ya viwanda vyao hufanya juu chini kuziagiza toka india hata kama zinapatikana tz. Tena ni vinara wa kukwepa kodi na hushirikiana kwa pamoja kuua biashara za wabongo pale wanapoweza. They are not good people at all.
acha roho ya kwanini wewe. Muhindi mmoja kufanya hivyo,haimaanishi wahindi wote wako hivyo.msisahau watu hufanya mambo kutokana na tabia zao na kila mtu ana individual personality. Kuna watanzania wengine weusi wanaotukana wahindi etc. Hamna sheria inayosema kwamba ni lazima mtanzania aongee kiswahili,kama ipo tafadhali naomba link haraka sana. Manake hata watanzania wote hawaongei kiswahili e.g. Wahaya huko kijijini bukoba,wachaga etc
 
Mi nawashangaa nyinyi kushanga ukimya wa mamlaka husika. Kuyumba kwa uchumi lazima tutafute njia mbadala ya kuishi. Tutapiga kelele wenyewe wameweka pamba. hii ndiyo TANZANIA ZAIDI YA UIJUAVYO!! POLENI WAGOSHA NA WA NKIMA
 
Ukiona Bidhaa feki zinachomwa moto na kutangazwa kwenye Tv huku wahusika hasa wakurugenzi wazito kabisa wakitangaza kwa mikwara ujue wahusika hawajapewa chao. Wale jama wa TBS na matakataka mengine yanayohusiana na hayo ni wauaji kwa kurusu bidhaa feki ziende kumuua mtanzania ila hawajui tu kwamba nao zitakuja kuwaathiri siku moja.
 
BY the way, bidhaa za game nyingi ni vimeo na hasa electric items... ulishawahi kufikiri kama zingekuwa mpya kwa nini wasitumie plug za rectangle kulingana na soko letu.... ??nionavyo mimi wanaleta bidhaa zenye plug za mviringo kwa kuwa ni used items from SA ambako ndio hutumia plug za mviringo
 
acha roho ya kwanini wewe. Muhindi mmoja kufanya hivyo,haimaanishi wahindi wote wako hivyo.msisahau watu hufanya mambo kutokana na tabia zao na kila mtu ana individual personality. Kuna watanzania wengine weusi wanaotukana wahindi etc. Hamna sheria inayosema kwamba ni lazima mtanzania aongee kiswahili,kama ipo tafadhali naomba link haraka sana. Manake hata watanzania wote hawaongei kiswahili e.g. Wahaya huko kijijini bukoba,wachaga etc

Yessir,
Hata vijijini wanaongea kiswahili maana ndo lugha ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, labda kwa wazee ambao hawakubahatika kwenda shule enzi za ujana wao. Hakuna mchaga, wala mhaya anayeishi Dar es Salaam na hajui kuongea Kiswahili, labda awe ni mzee aliyechukuliwa na watoto wake kutoka kijijini kuja kuishi nao. Na hata kama ni mzee akishakaa mwaka mmoja lazima ataongea kiswahili kwani watoto wadogo wapo kumfundisha. Mhindi aliyezaliwa Dar es Salaam na ana miaka 40 halafu hajui Kiswahili ni dharau ya hali ya juu.
 
Last edited:
BY the way, bidhaa za game nyingi ni vimeo na hasa electric items... ulishawahi kufikiri kama zingekuwa mpya kwa nini wasitumie plug za rectangle kulingana na soko letu.... ??nionavyo mimi wanaleta bidhaa zenye plug za mviringo kwa kuwa ni used items from SA ambako ndio hutumia plug za mviringo

You might have a point here,
 
aldababy amejibu yale yote niliyotaka kuyasema

mtindiowaubongo.. Your name says a lot about yourself!utakua na mtindio. How can i say a word that i dont know the meaning of?..racism..yes..are you a racist..yes!.. Watu mmeshadhania kwasababu mweusi always anabaguliwa basi mweusi hawezi kuwa racist. Kwanini msiulize nani mwenye duka,,why mnajump to conlusions. Kwanza mimi nimeshatapeliwa sana na weusi huko bongo. Kalagabaho

Kuna kitu unantafuta Bi. mdogo..ila huko mbeleni usikimbilie kwa MODS. Nimeshakuona tangu uanze kutumia hii ID mpya unakua na kiherehere sana kila unapoona posts zangu. Endelea..
 
Kama wewe nimdosi, I hope unawaambie wenzako kwamba wabongo don't like your ways.

Wadosi are living among us, but apart from us. Eti wengine wana kiswahili kibovu mpaka leo, having born in TZ. It is a form of dharau, no secret about it. I personally buy from Mdosi only if I cannot get it from mbongo. Nashukuru mababu zetu, at least sasa maduka ya wabongo yanaongezeka. We must suffocate them financially by depriving them our business.

Let me quote myself here. My mentioning of wadosi was only to bring forth their "bloodsucking of our community", which is a broader topic, and not necessarily limited this thread.

Wadosi are not part of our community, and it is because they choose to be so. From their perspective, we are of an inferior class, hence their behaviour towards us Africans. In business, they fight to keep us remain consumers (basically, if ukianza business watakupiga vita. Mjini they will fight to make sure you are not allow to rent space in a prime area). The money they made is never redistributed back to our community. NEVER. Hata ukisema nikioa mdosi at least mtashea utajiri. NO. Wazawa are too inferior for them to marry into!

So what should we do? To start, we must suffocate them financially by depriving them our business. We must work to shift the economical power back to the Africans indigenous.
 
Last edited:
Ingekuwa busara kama mkitupa mfano wa bidhaa hizo za kuwanazo makini. Ni kama nini mikate?blanket?Soda?Nyama? freezer? nini wakuu ni vyakula au music system.
Na mimi ni victim kwenye electric/electronic goods-pasi,birika,microwave na DVD player; Kitchenware-set za masufuria ambazo hazikumaliza mwezi nikabaki na glasslids tu! Kwa kweli bidhaa zao ni lowest quality in BEST packing:(
 
Kuna kitu unantafuta Bi. mdogo..ila huko mbeleni usikimbilie kwa MODS. Nimeshakuona tangu uanze kutumia hii ID mpya unakua na kiherehere sana kila unapoona posts zangu. Endelea..

hunifahamu,sikufahamu..kelele za chura hazimzuii .. malizia
 
Kama habari hizi ni za kweli, mngewapashia wanahabari ili wazilipue kwenye makaratasi yao.... ili Watanzania wajue ukweliiiiii!
 
acha roho ya kwanini wewe. Muhindi mmoja kufanya hivyo,haimaanishi wahindi wote wako hivyo.msisahau watu hufanya mambo kutokana na tabia zao na kila mtu ana individual personality. Kuna watanzania wengine weusi wanaotukana wahindi etc. Hamna sheria inayosema kwamba ni lazima mtanzania aongee kiswahili,kama ipo tafadhali naomba link haraka sana. Manake hata watanzania wote hawaongei kiswahili e.g. Wahaya huko kijijini bukoba,wachaga etc

wahindi hovyo tu. Tafuta raia mwema toleo # 80 au 81 usome makala ya padre karugendo.
 
Kama wewe nimdosi, I hope unawaambie wenzako kwamba wabongo don't like your ways.

Wadosi are living among us, but apart from us. Eti wengine wana kiswahili kibovu mpaka leo, having born in TZ. It is a form of dharau, no secret about it. I personally buy from Mdosi only if I cannot get it from mbongo. Nashukuru mababu zetu, at least sasa maduka ya wabongo yanaongezeka. We must suffocate them financially by depriving them our business.

njia rahisi ya kuwakomesha ni kutonunua bidhaa zao tu. Naijeria wameweza kufanya hivyo na hakuna mhindi anayefurukuta huko
 
in this case afadhali The Game ni bidhaa za South, Samsung ni Thailand/China etc.

nakubaliana na wewe kwenye yote uliyoandika, isipokuwa ubora wa bidhaa kuwa za Game zina nafuu kwani zinatoka SA.

Issue ya ubora wa bidhaa nafikiri ni tatizo linaloanzia kwetu, yaani TBS na TDFA. Sina uhakika kama tuna viwango kwa bidhaa zote zinazoingizwa nchini, na hata kama tuna viwango, je kuna uthibiti wa kutosha. Ulaya na hata SA wanapata vitu vya kutoka China/Thailand, lakini kwa vile wana viwango basi ubora wa bidhaa zao siku zote unakidhi viwango.

Kuna wakati mimi nilinunua bidhaa fulani ya umeme hapo Game, kufika nyumbani ndiyo nikaona kuwa sehemu ya kuchomeka kwenye soketi si wa viwango vya kwetu. Nilipiga simu TBS kuuliza inakuwaje duka kubwa kama Game linauza vifaa ambayo si vya viwango vya kwetu, majibu niliyoyapata huko siwezi kuandika hapa, kwani yanaonyesha ni kwa kiwango gani hakuna umakini.

Nini tufanye? Kwavile TBS, TDFA, FCC zinaonyesha kushindwa kufanya kazi yao sawasawa, basi nguvu ya umma itumike kuwalazimisha kutenda kazi yao. Kwa wenzetu wanaojua kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye bidha mbalimbali zinazoingizwa kwenye soko wasikae na taarifa hizo badala yake wajitahidi kuwafikishia watu wengi kadiri inavyowezekana. JF, nakala kwenye magazeti, nk kuwataarifu waTZ.
 
Nikweli bidhaa za game zina matatizo,nilinunua soda za kopo zimenisababishia maumivu makali ya tumbo,nimebakiwa na makopo matatu ,nampango niyapeleke TDFA,wakayachunguze.
 
Bila shaka serikali (TBS, TFDA na FCC) wameshindwa kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki nyingi mno kwenye soko. Pia serikali inaonesha dhahiri kuwa haina nia ya kusimamia viwango vya ubora.

Kwa mfano, kuna sheria ya manunuzi inayozuia serikali kununua vitu (mashine kubwa, mitambo, nk) chakavu. Hii sheria iko wazi kabisa na mazingira yaliyopelekea sheria hii kutungwa yanaeleweka kwa kila Mtanzania. Lakini kiongozi wa juu kabisa serikalini anasimama na kusema "sheria isiwe kikwazo" kwa shirika la umma nyeti kununua mitambo chakavu ya kuzalishia umeme. Yote hii wakati kuna mitambo mipya na ya bei nafuu zaidi inayoweza kupatikana katika soko. Katika hali hii tunategemea serikali hiyo hiyo iwajibike kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki kama simu, nguo, pasi, TV, vyakula, madawa, nk?

Maadqam tumebaini serikali haina uwezo/nia ya kulinda wananchi wake, inabidi wanunuzi tubuni njia mbadala za kujilinda kama kupeana habari kupitia JF na social sites zingine. Hii thread imenielimisha sana. Tukiwa na maarifa, hili tatizo litapungua sana.

Hii ishu ya bidhaa hafifu/bandia si mzaha. Tutaangamia WOTE kama taifa.
 
Bidhaa bandia ni nchi nzima... tunatia aibu kwa kundekeza rushwa bila kujali maslahi ya mtanzania... je bidhaa hizi zote zinapitia wapi kama si bandari ya Dar ambapo vyombo vyote vinavyo simamia ubora na udhibiti vipo.. TFDA, TBS, TRA, POLICE na FCC.
Ama kweli nchi imegeuka jalala la taka zote kutoka Uchina. Uwajibishwaji wa wahusika wanaosimamia vyombo hivi labda utaleta mabadiliko. Naamini kabisa kuna fungu katika bajeti ya vyombo hivi ambalo ni mahususi kwa elimu a jamii... swali ni hela hizi hutumika kwa semina tu au na je semina hizi huusisha jamii au akina nani.....?
Nawasilisha hoja...
 
People Like cheap especially TZ people. Jiko original inauzwa 125000 lakini Mtz anaenda ananunua la elfu 50, do u see guy???
Pasi origono elfu 30,000 feki elfu 10, Chupi ya kuvaa original mpya elfu 6000 au tano feki elfu inakuwasha kila mara!!!

Wachache wananunua original, We african we will remain african??
OFCNI KWAKO UNATUMIA FEKI KILA KITU MPAKA COMPUTA YAKO, Pia DALADALA UNAZOPANDA FEKI ni zimetembee ulaya miaka kumi wewe huku unalinga nayo the same GARI LAKO FEKI unanunua japani watu walishatumia 10 years ago??

Je nani tumlaumu wanaoleta vitu feki au sisi wenyewe??

Jiulize wewe na mwenzi uliyenaye karibu??
 
MMh kilio chetu ni hicho Tanzania imekuwa jalala la bidhaa mbovu kila siku kilio kwanzia viatu mpaka vijiko na majokofu maskini nchi haina mwenyewe
 
Back
Top Bottom