Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

Naomba tusisitize ni duka la The Game pale Mlimani City. Mara nyingi unaposema The Game, tafsiri yetu sisi watu wa Uswazi ni Mlimani City. Kuna baadhi ya maduka yako hapo Mlimani City bidhaa zao ni genuine. Moja ya maduka hayo ni Gerry Super Furnitures. Duka hili linauza fenicha za ukweli ambazo ni local made.
Moja ya njia nzuri ya kutambua famba, ni kama unaijua ile ya ukweli ikoje ndipo utatofautisha na famba. Kwa kutojua tunauziwa famba tukijua ndio zenyewe.

Guarantee ya frji za ukweli ni miaka miwili. Hapo hapo the game kuna friji za ukweli na kuna famba. Kipimo cha kwanza baada ya kuona jina kama ni Samsung, lazima ujue bidhaa zote za Samsung za ukweli zinatoka Korea. Ukifungua tuu mlango wa friji kwa ndani kulia utaona lebo. Samsung za Korea bei kali na guarantee miaka 2. Samsung famba hazijaandikwa made in, zimeandikwa designed in Korea. Kwa macho ya kawaida unaweza usigundue lakini friji famba kama zilivyo TV famba utazigundua kwa jinsi zinavyofanana huku hii ikiitwa Samsung, ile ile unaikuta ndio Goldstar mara Panasonic etc. Tazama fridge ama home thieter za lile duka Samsung hapo hapo Mlimani City utaona ni tofauti na zile za ndani ya the Game. Za Samsung bei poa, The Game bei kali, in this case afadhali The Game ni bidhaa za South, Samsung ni Thailand/China etc.

Pia hapo Mlimani City kuna kiduka cha perfums kiko kwenye kona ule upande wa mabenki. Hiki kina perfums feki na za ukweli. Feki zote wanakuuzia bila box wakijifanya box lake wamelimisplace. Bila box la nje, huwezi kugundua ipi feki ipi kweli mpaka wachache wenye strong sense of smell na wanaijua harufu ya genuine. Kipimo cha genuine perfum ni box lazima liwe na tarakimu nne za namba za mgandamizo ambazo zitafanana na tarakimu nne zinazobandikwa kwenye lebo ya transparent chini ya chupa ya perfum. Feki hakuna tarakimu kabisa.

Wanasema information is power, wabongo tuwe na information kuhusu bidhaa halisi ili tusikubali kununua bidhaa feki na kuepuka kuwa jalala japo bidhaa feki ni bei poa lakini hatimaye ni 'bure ghali'
 
Nilinunua ka'home theatre (LG)' kangu pale kama mwaka mmoja na kitu uliopita lakini hivi sasa kanachanganyiwa....in short ni mbovu. (unlucky me, the so called warrantee has already expired)

Kuna ndugu yangu katoka Afrika Kusini na ameeleza kuwa bidhaa zote rejects au zinazorudishwa dukani kule Afrika Kusini katika mduka ya GAME zina fanyiwa usanii na kuwa shipped to their shops in Africa, Tanzania ikiwa moja wapo.
Mimi nimenunua rechargable torches mbili-zote ziliharibika baada ya wiki,
Nilinunua mashine ya kukata nyasi(hand held), wala haikuwahi kufanya kazi.
Vifaa vya umeme ndo usiseme.
In fact GAME ni duka la South African Rejects.
 
Jana nilienda Mlimani city ilikuwa kasheshe nilikuwa nahitaji hela kwenye ATM mida ya saa tatu unusu kulikuwa na msururu wa kutosha. Nikajaribu kusogea sogea nikaona kule Shorite hawajafungua lakini kulikuwa na watu kama mia moja hivi wenye uchu wa kufanya shopping. Kumbe vitu vyenyewe feki.....
 
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye anaishi South Africa ambaye amekuja kwa xmas.. ni Mtanzania akaniambia hapa tunaibiwa sana ...si Game na Shoprite pekee bali pia Mr. Price na Woolworth. Anasema kuwa bei za Mr. Price ni 4 to 10 times za bei za Mr. Price South Africa. Pia shati linalouzwa Tshs 100,000 Dar Woolworth linauzwa kama Tshs 10,000 tu South Africa. Na kama sikosei hawa ni wawekezaji ambao wanaleta vitu ambavyo vimezalishwa nchi zingine kwa hiyo ile ajira haipo hapa, vile vile wanasamehewa kodi ya mitaji na 'tax holiday' wanapata.

Nafikiri kunahitajika upembuzi yakinifu kuona kama tunahitaji kweli hawa wawekezaji uchwara ambao hawainui sektaningine, wanavuna na kufanya capital flights, potelea mbali hata kama watakuwa wanashirikiana na watanzania..

Lakini tukiangalia pia....wale wa Kariakoo nao wanatuuzia feki tu. Ukiona nguo yang'ara ujue ukiifua mara moja tu kwisha... hakuna njia ya kutoka hapa tulipofikia?
 
Hata mie nilinunua ka DVD PLAYER Kama mwaka mmoja uliopita na wala sijakatumia sana lakini sasa hakawezi tena kusoma dvd wala cd, yaani kaazi kweli.
 
...kumbe tupo wengi 🙂

nilinunua Honda generator, 4.5 kV pale,... nililitumia mara tatu tu tena ku pump maji, ika knock! wale customer service wakajidai oooh, haikutiwa oil, mara oohh... niliposema niitiwe manager nikarudushiwa milioni zangu.
 
Sasa hili suala zima sijui tutaliendesha kwa mchakato gani... itabidi niendelee kwenda pale kununua kadi za xmas tu, ama nazo zina ubovu wake wajameni maana usije kuta unampatia mtu kadi ya xmas the next minute anakununia.

Anyways Happy holidays
 
Bua ha ha ha ha..

Dah, hii kali.
 
Naomba tusisitize ni duka la The Game pale Mlimani City. Mara nyingi unaposema The Game, tafsiri yetu sisi watu wa Uswazi ni Mlimani City. Kuna baadhi ya maduka yako hapo Mlimani City bidhaa zao ni genuine. Moja ya maduka hayo ni Gerry Super Furnitures. Duka hili linauza fenicha za ukweli ambazo ni local made.
Moja ya njia nzuri ya kutambua famba, ni kama unaijua ile ya ukweli ikoje ndipo utatofautisha na famba. Kwa kutojua tunauziwa famba tukijua ndio zenyewe.

Guarantee ya frji za ukweli ni miaka miwili. Hapo hapo the game kuna friji za ukweli na kuna famba. Kipimo cha kwanza baada ya kuona jina kama ni Samsung, lazima ujue bidhaa zote za Samsung za ukweli zinatoka Korea. Ukifungua tuu mlango wa friji kwa ndani kulia utaona lebo. Samsung za Korea bei kali na guarantee miaka 2. Samsung famba hazijaandikwa made in, zimeandikwa designed in Korea. Kwa macho ya kawaida unaweza usigundue lakini friji famba kama zilivyo TV famba utazigundua kwa jinsi zinavyofanana huku hii ikiitwa Samsung, ile ile unaikuta ndio Goldstar mara Panasonic etc. Tazama fridge ama home thieter za lile duka Samsung hapo hapo Mlimani City utaona ni tofauti na zile za ndani ya the Game. Za Samsung bei poa, The Game bei kali, in this case afadhali The Game ni bidhaa za South, Samsung ni Thailand/China etc.

Pia hapo Mlimani City kuna kiduka cha perfums kiko kwenye kona ule upande wa mabenki. Hiki kina perfums feki na za ukweli. Feki zote wanakuuzia bila box wakijifanya box lake wamelimisplace. Bila box la nje, huwezi kugundua ipi feki ipi kweli mpaka wachache wenye strong sense of smell na wanaijua harufu ya genuine. Kipimo cha genuine perfum ni box lazima liwe na tarakimu nne za namba za mgandamizo ambazo zitafanana na tarakimu nne zinazobandikwa kwenye lebo ya transparent chini ya chupa ya perfum. Feki hakuna tarakimu kabisa.

Wanasema information is power, wabongo tuwe na information kuhusu bidhaa halisi ili tusikubali kununua bidhaa feki na kuepuka kuwa jalala japo bidhaa feki ni bei poa lakini hatimaye ni 'bure ghali'

Hako kaduka nilivuta Jazz , duh mbona nilikoma ubishi sikuweza hata kuwarudia kwa sababu nilikuwa nasafiri.
 
Rwabungiri, hakuna kukata tamaa, inatakiwa wote tupige kelele, nchi inageuzwa kama jaa, bidhaa feki toka China. Mavitu yaliyotumika toka Japan, UK, USA nk. Na hatuna uangalizi wa hivi vitu, Marekani yaliingizwa ma wanasesere (dolls) toka China, wakachunguza wakagundua yana "Lead Elements" kwa ndani, ikaagizwa yote mpaka yaliyo madukani yarudishwe China, sasa tujiulize TZ vingapi vinaingia na kuuzwa. Dawa za kichina zinatembezwa mikononi, bado tunakubali, vitu sensitive kama Dawa tunaruhusu vitembezwe mikononi na kuuziwa raia?. Hivi hawa jamaa wanaoharibu TVs, Nyaya za Umeme nk wa Tume ya Ushindani wa Haki (Fair Competition Commission-FCC) wamezidiwa ama ndio 10%, huyu aingize bidhaa ziharibiwe na mwingine aingize zilezile ziwepo sokoni?.

Here is my 5 cents:-

take one.

mode ya biashara ya watanzania is soo 16th century!hao wafanyabiashara wa tz wanaofata bidhaa dubai,bankok,china,HK..,what are they thinking really?!
they end up in 3rd rated local markets with low standards.and just because they are profit-oriented.all they get is being cheated at by locals and buy some very low quality merchandises.and why shouldn't they get cheated?!they are dumb.here i am talking about dumb Tanzanian so called businessmen and women going around Asian markets getting cheated by asians.sometimes i think those asians are right.where could you get a laptop for $200 if it were not fake?where would you get a $100 nokia N95 if weren't fake?!

i don't know if it's Tanzanians loving fake stuffs or cheap stuffs.BUT either way it's plain sad seeing things sold in Tanzanian shops now.It's is kinds of stuffs that can only be sold at gray markets where they come from!

the saddest thing is that,some crazy guy so calls himself a smart business man sells the fake stuffs he bought from a gray market in downtown asian market at a price that is 10 times higher than the buying price.
hence most tanzanians are buying fakes,at a price higher than what originals are being sold at in Europe,US and and ASIA.

same people who buys fakes at a higher price has an annual income ten to 50 times lower than the guy who buys originals at a lower price.it's just sad

take two:-

some very indecent business people who claims that they sell originals form EUROPE,US .i personally hate them equally.

how could u say that,an airman Suit is from ITALY?!while it comes with a label and u sell it for $500.that's just plain trickery.those are $2000+ suits u sell at $500!!and because a so called predeshee has never seen an armani before,just reads and sees it on TV..,he find himself in the right position to buy it.

another thing,more than 70% of electronics are made in CHINA especially low end to mid-end electronics,hence i am talking about all the electronics you could find in an average joe house.

so finding a vendor who says my products are imported from US,EUROPE is very tough especially in Tanzania.we don't have a single high end electronics shop!

so,the case here is that,u would find yourself buying a used product,a refurbished product and guarantee made in china,thailand,Taiwan or Vietnam.

What most Tanzanians don't seem to get is that,technology needed to make low end to mid end electronics is soo 90's that it easy easily available for any country with the right policies and enough qualified human power.Hence,for a big Country like China that is soo easy.

in case of high end electronics, the case is that most high end consumer electronics are designed around the world and probably 70% are made in CHINA,TAIWAN or korea. plain simple.

the world manufacturing proccess is globalized,a HP computer will have a korean made samsung hard drive, intel made chip,japanese made Screen and a chinese made battery.in the end it will be assembled in CHINA.

even the proudly American IPHONE is made in china.from scratch and its being taxed as a high end electronics in Europe.

the world most advanced mobile phone/SMART PHONE is Taiwanese made HTC.the hardware inside these HTC phonces is decades infront of american made motorola.and extremely superior comparing to american branded smart phones:Blackberry,palm and iphone.

so,dont buy something for 5 times the price just because it's American made.OK?

be smarter.Look for warranties,functions,qualities.and just because it is so hard to get that in TZ.just buy something at a reasonable price.and keep hoping that one day Tanzania will wake up from this disaster.

SO, singling out ASIAN countries as the cause for our junkie disaster is wrong.

the problem is us and only us,from unfaithful businessmen to corrupted officials.

take 3:-

what happened to Tanzanian, designers?!here is what people do,u design put on a show if people like it,critics like it then u roll out a fashion line.

I understand that in Tanzania there are few decent designers who still thinks that designing is only for high end,national dress code kind of way.WRONG!

those so called brands you see today started with normal low end design lines then expanded.

it's time now Tanzanian designers starts their lines of clothes to be old in kariakoo and not some extra-expensive boutiques in posta as if local nurses, teachers and tax drives don't deserve to wear decent locally designed clothes.

Tanzanian designers should stop making clothes for tourist and get it done for local people.THERE IS NO reason for a pair of trousers to be sold at Tshs 100,000 or even Tshs 50,000!!its insanity.

and please MITUMBA is not a way foward..,but rather backwards.

Resolutions:

the government:
should Ban any importing of goods through it's ports by local people unless it is a registered business.

ofcourse people should still permitted to import personal stuffs.BUT not in large quantities that will clearly show they are for trade.

instead if you want to sell Panasonic TV's then it's time Panasonic bring their dealers in Tanzania,who will be responsible for any quality issues.

The government should strong rules on warranty coverage,and it should not be less than 2 years for small electronics,and 3 for large consumer electronics like fridges,televisions etc.

if we have 10 million mobile users WHY THE HELL DON'T we HAVE OFFICIAL Samsung vendor,official NOKIA vendor,dealer or distributors?!some people just board planes go to dubai,collect huge chunks of phones and sell back at home.never seen this in any other country in Europe or ASIA.it is Illegal.
in some countries in ASIA and EUROPE it is illegal to sell imported stuffs if there are local version of the same thing.IN TANZANIA..,we have no idea what that means.

TO CONSUMERS:-

we should remember that buying cheap stuffs translated to bad/fake in the most general form,if you like a RAV4 buy a new one.if you can't afford it go buy a corolla. kupenda sifa kumezidi.how the hell can a well running bent be purchased at $20,000?!
we are the recipe for our own disasters,watanzania tunapenda kujikweza..,in the end tricksters gets back on us.

MOST CONUSMER ELECTRONICS from countries like CHINA,KOREA and JAPAN have different electrical standards.

most importantly country like china don't put earthing in any of their electronics because they use different way of earthing.

sasa what happens if when a local businessman goes to a local market in china,collects 200 phones and comes back and sells them is that,they will have different electrical standards.and just because Tanzania haina Watchdog wa electronics,consumers buy the stuffs use them..,kukitokea electric shock starts blaming china!hee..,u were not supposed to use the device in the first place!it were not made for U!

people gets their Television exploding,their mobile phones overheating..,U know why??u are using an incompatible electricity..,in a not so favorable country.don't get me started with Tanesco's electricity..,it's simply not "standardized",we all know that.
 
Kati ya taasisi za serikali zinazohusika na maisha na afya za watu(upande wa mlaji wa mwisho) nisizoziamini kwa sasa ni TBS na hawa watu wa TFDA! Hawa wapo kama taasisi za kujipatia pesa toka kwa wahisani ( ni vitu vimewekwa kwa ajili ya kuwadanganya watz)

Fikiria, mamlaka ya chakula na dawa inakamata maziwa mabovu yenye sumu lakini inashindwa kutaja jina la kampuni na mwagizaji wa mali hiyo hapa mjini. Pia kiwanda kinatengeneza na kusambaza bidhaa yake (inaingia sokoni) baadae watu tunalalamika kuhusu ubora wa WATER GUARD!! na ndipo hawa TBS wanakuja kutaka maelezo Yaani bidhaa zinaingia sokoni bila kluhakikiwa na mamlaka haya yanayopewa pesa na umma (sio chama)

Hatupingi taasisi hizi lufanya urafiki na wafanyabiashara lakini urafiki wa afya na maendeleo ya mtz ni muhimu kuliko wanavyofiria wao.

Suala la wao kukaa wanavunjavunja bulb sidhani kama ni kuonesha umakini au kutaka kujionesha machoni wa umma ilhali kazi yao ikiwa imejaa UJANJA UJANJA na Ubinafsi bila kujali umma unapata nini dukani

TBS na TFDA ni MIZIGO, INAPOFANYA KAZI KWA USIRI HAITUFAI
 
Nadhani kwa wapemba wao ni wenzetu na watakuwa na uchungu nasi na sio hawa wageni

Nilitaka kununua biskuti kwa mpemba pale Namanga lakini nilistuka kuona kuwa iliisha expire mwezi uliopita. Nilipomfahamisha mwenye duka alininyang'anya bila kusema kitu na kuirudisha pale pale!

Hawana tofauti. Wote ni wale wale.
 
Michuzi usema bongo tambarare...it is the rule of the jundle wazee. Mwenye Kisu kikali ndo anakula nyama. The whole system sucks and watchdogs are toothless with a lot of dumbiest shows when they destroy counterfit staff...instead of controling the source with heavy penalties...
 
Here is my 5 cents:-

take one.

mode ya biashara ya watanzania is soo 16th century!hao wafanyabiashara wa tz wanaofata bidhaa dubai,bankok,china,HK..,what are they thinking really?!
they end up in 3rd rated local markets with low standards.and just because they are profit-oriented.all
................!!!!!
take two:-

some very indecent business people who claims that they sell originals form EUROPE,US .
i personally hate them equally.
........................!!!!!!!!!!!

so finding a vendor who says my products are imported from US,EUROPE is very tough especially in Tanzania.we don't have a single high end electronics shop!
soo easy.
...............................!!!!!!
the world most advanced mobile phone/SMART PHONE is Taiwanese made HTC.the hardware inside these HTC phonces is decades infront of american made motorola.and extremely superior comparing to american branded smart phones:Blackberry,palm and iphone.

so,dont buy something for 5 times the price just because it's American made.OK?

be smarter.Look for warranties,functions,qualities.and just because it is so hard to get that in TZ.just buy something at a reasonable price.and keep hoping that one day Tanzania will wake up from this disaster.
..........................!!!!!!!!!!!
the problem is us and only us,from unfaithful businessmen to corrupted officials.

take 3:-
.............................
I understand that in Tanzania there are few decent designers who still thinks that designing is only for high end,national dress code kind of way.WRONG!

those so called brands you see today started with normal low end design lines then expanded.

it's time now Tanzanian designers starts their lines of clothes to be old in kariakoo and not some extra-expensive boutiques in posta as if local nurses, teachers and tax drives don't deserve to wear decent locally designed clothes.
..............................!!!!!!!!!!
and please MITUMBA is not a way foward..,but rather backwards.

Resolutions:

the government:
should Ban any importing of goods through it's ports by local people unless it is a registered business.

ofcourse people should still permitted to import personal stuffs.BUT not in large quantities that will clearly show they are for trade.
........................!!!!!!!!!!!!!
TO CONSUMERS:-

we should remember that buying cheap stuffs translated to bad/fake in the most general form,if you like a RAV4 buy a new one.if you can't afford it go buy a corolla. kupenda sifa kumezidi.how the hell can a well running bent be purchased at $20,000?!
we are the recipe for our own disasters,watanzania tunapenda kujikweza..,in the end tricksters gets back on us.
.................!!!!!

Pangupakavu , this is a well thought contribution, but then with a context probably not in line wih the current socioeconomic scenario back here in Bongo.
We must keep in mind the following facts
-greed, or profit orientation is the engine to entreprenuership,
-greed must be controlled, by law.It is sad that this is not the case as we have huge Ministries of well paid officials who do nothing when it comes to public duties.
-On consumers , Mr Pangupakavu, think of the normal Tanzanians buying power.Not many high end user here, a few probably, but they cant warrant opening a branch of Harrods or Macy's in Dar.

Your advise though, on warranties and firm dealership is highly appreciated.I just hope the powers that be will take note on this.
Problem is , some Goverment officials spend most of their time scouting for oppurtunities to get-rich-quickly.
Some of what Pangupakavu has suggested is plain simple to formulate and monitor. But then exemptions , vibalis and the like is what is killing the economy and the consumer.
 
i agree with you Lole G,

BUT we don't need all tanzanians to be high end consumers,what is happening now is people are paying 10 times the price to buy normal daily utilities.and they buy fakes on top of that.wakati serikali ingeweza device policies za kuwafanya watanzania watumie less cash buying original stuffs that were suitable for them.

kwa nini mtanzania atoe laki tano kununua simu feki ambayo inge-cost less than laki moja?kwa nini?

si bora angetumia hiyo laki tano kununua simu yenye thamani ya laki tano?

shati la laki moja?!that is insanity.kuna vitu vya kununua laki moja,lakini sio vile vishati vya mlimani center and the likes.

kwa nini mtanzania anunue TV feki kwa millioni moja wakati it only cost half of it even if it were original?

sure greed will is the main reason for all these,and the ones to make good are even worse.

Hopeless
 
Kati ya matatizo mengi ya Tanzania, mojawapo ni udhibiti (control).

Mimi binafsi siwezi kuweka lawama kubwa kwa wafanyabiashara. Kwa sababu kwa asili, mfanyabiashara ni mchoyo, na anayefikiria faida tu. Hata huko ulaya na marekani, wafanyabiashara hufanya biashara kwa nidhamu kwa sababu ya udhibiti wa serikali, na hofu ya kupata adhabu kwa kukiuka kanuni zilizowekwa na dola.

Matokeo ya kuwa na serikali/dola dhaifu ndiyo hayo. Watu/wafanyabiashara hufanya mambo wapendavyo. Ukiacha hiyo ya retailer business, hata sekta nyingine zina mwelekeo huo huo.

Changamoto: Vipi tutaweza kupata serikali/dola imara ambayo itasimamia maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla?
 
Wakuu mtawalaumu wafanyabiashara na manufacturers, lakini mkumbuke mfanyabiashara yupo kupata faida tu hata kwa kuuza kinyesi akisema ni biskuti. Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia zake. Kulinda raia zake ni pamoja na kuwaepusha na bidhaa feki. Mtu aliye kijijini Mangaka atajuaje kuwa hii dawa ni feki? Serikali ilitakiwa iwe imeisha mlinda huyu mtu ili hiyo dawa feki isimfikie maana yeye hawezi kutofautisha.

TATIZO LA NCHI HII NI KUWA HAKUNA SERIKALI NA KAMA IPO BASI HAIPO KWA MASLAHI YA WANANCHI WAKE WENGI.

By the way kwanini watu wengi wakifika maeneo ya Mlimani City hupenda kuongea kiingereza. Jambo hili nimelibaini muda mrefu na kila mtu niliyemuambia amesema ni ukweli. Je ni ushamba pia unatusumbua?
 
Back
Top Bottom