Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
====
Maoni ya wadau
===Yaani mpaka hapo CCM wana-prove kuwa wao ndio Tume ya Uchaguzi na wanaweza amua chochote kwenye uchaguzi maana wanajibu hoja zisizowahusu wakati wao wenyewe wanashiriki uchaguzi kama vyama vingine.
Huu ni ushahidi tosha kuwa hakuna Tume Huru ya Uchaguzi na kinachoenda kufanyika ni Uchafuzi na sio Uchaguzi.
Ukimsikia mtu yeyote anasema CHADEMA wamesusia Uchaguzi wa mwaka huu 2025, kaa mbali nae na muogope kama ukoma.
Ni wapi CHADEMA wametoa kauli ya kususia uchaguzi? Tusiwawekee CHADEMA maneno ambayo hawajayasema.