Binafsi nafikiri Mtanzania aishi popote provided maisha anakubaliana nayo ila kitu kimoja ambacho watu waliokwenda Marekani miaka ya 90's wakumbuke kuwa nchi imebadilika sio kama walivyoiacha.
Halafu wasisahau ndugu zao waliowaacha TZ kwa maana kuwa wengine waliuza mali zao kuwapeleka huko lakini mpaka leo hizo mali hazijanunuliwa tena. Watu walikwenda huko wakiwa na mategemeo makubwa sana kuliko hali halisi, mtu anakubali familia iuze nyumba yao ili aende akiwa na matumaini kuwa baada ya miwzi sita atanunua tena hiyo nyumba lakini unakuta inapita hata miaka kumi hiyo nyumba wala kibanda kingine havijapatikana.
Maisha ni magumu sana everywhere, ila Marekani opportunity ni nyingi sana kulinganisha na Tanzania lakini hata hivyo na Tanzania opportunity zipo provided unatumia elimu yako.
Mimi nafikiri mtu mliyemaliza shule pamoja akaenda nje na wewe ukapata kazi Tanzania una cha kuonyesha kwa kuwa yeye akija lazima afikie kwao na kama alituma hela nyingi zinaishia kwenye matatizo ya ndugu ndio maana wanaona tabu kurudi kuanza maisha Tanzania