Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

si mkifika huko mchukue masomo kama ya unurse na walimu ndio yanalipa,halafu kuna kupewa permit ya kufanya kazi bure sababu manurse na walimu bado wanahitajika,uk wengi nimewaona waliochukua hii route wamekuwa successful sijui kama us situatiion ni different?
 
nilikuwa sijawahi kusoma hii thread,wewe ndio umenifanya nikajaribu kuipitia harakaharaka.kifupi FMES' POST imemaliza kila kitu mengine yalikuwa yaleyale kaenda/karudi(no disrespect to other posts),ila mjadala mkubwa uliuanzisha ulipotaja tu kuwa watu wanapata $20k/month.
well i have few friends bongo wanapata btn $2000-5000 believe me wako kwenye kampuni kubwa maarufu bongo na nafasi za juu kidogo,sio CEO,MD.
mimi naamini mishahara "mizuri" iko bongo ila watu wakianza kufananisha bongo na USA ni kutoitendea haki tanzania,hizo ni dunia mbili tofauti.
maisha ni popote utakapoona panakufaa.......
Mkuu....kwanza fuatilia surnames za hao marafiki zako.....
Pili ni mashirika mangapi yanayoto huo mkwanja so far bongo....

Hizo nafasi ni chache saaana na ni nadra sana kwa mimi joni tomasi kupata nafasi pale....hata nije na vyeti vya chuma......hizo story za mnyamwezi 20k haipo arifu....
 
Sorry joining it so lately. But I do' wanna see that crazy life. East or west home is best. We ungali ktk shida, rudi nyumbani, kwani mkataa kwao ni mtumwa wana jf wenzangu. Yanini kufuatilia nyayo za kitumwa?
 
Back
Top Bottom