Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,589
8,733
Some of our educated brothers and sisters are increasingly unhappy and openly frustrated with USA way of life. Highly educated Tanzanians are currently working in embarrassing lower paying jobs like nursing assistants, hard labor and taxi drivers. Most of them who rushed to USA just after their college graduation walk are increasingly find themselves out of touch with reality, most of them are still fantasizing how good their peers are doing back home, most of them are turn their frustration to clubs and prostitution to end pain inside. This forced me to ask myself two questions (1) why (2) what can we do to help them.

(1) Why? USA is very different from TV shows or fanatic lifestyle you all see on TV when you land in USA you are going to find out three important things (a) You must work to survive (b) Education is very expensive (c) You have a big possibility of violating US-Laws and traditional morals on the process of succeeding in U.S.A. You need to know the following in detail first.

Work to survive:

If you work without a permit is illegal, given that fact if you don’t have enough money in your pocket minimum of $1600 a month you must work. To work in USA you need personal identification number called Social Security Number, so that means you need Social Security Card for work identification. The problem you are going to face is most highly paying jobs are increasingly sensitive to illegal Social Security Cards, which are mandatory to any job. The other problem you are going to face is the fact that your USA host friends are not going to let you jobless just because of documents since everybody is doing it why not you? From beginning of your journey you are going to find yourself compromising your traditional morals and dreams you have for USA. After few months without any source of income you are going to find yourself under desperation and pressure to do something quick to make a living possible.

Social Security Number:

To work legally in USA you need Social Security Number, but due to political pressures the process of getting Social Security is more complicated than ever. For International Student to get SSN # you need to be In Status and that means to be a full time student.
.
Education:

For an international student to qualify for any benefit he/she must be in student status, that means you need to maintain 12hrs of college classes per semester and your performance status should be “good academic standings”. Together with education one of advantage of good status includes Social Security Letter, which students used to get Social Security Number. For a regular State college cost of international student for 12 hours semester is ranging from $4000-$8,000 plus or minus, One Year is two semesters. This cost is not only ridiculous but also laughable for a middle class young Tanzania to keep up with. Some Students with higher performance in GMAT or GRE may get a break of paying out of state fees, so the real cost is going to be around $2,000-$5,000. You must also consider the fact that getting scholarship is easy said than done.

What can we do to help them?

There’s no clear answer to this questions everybody think differently, however I am going to give my opinion honestly.

Social Behavior:

In my first paragraph some people may end up with conclusion that I called all Tanzanians graduate frustrated but I am not.

Background:

Young Tanzanians started a massive immigration to USA in 1996, most of them young student who completed their Advance levels. Most of them aged between 20-23 years of age. With older Tanzanians distance themselves with this young Tanzanians they learned fast how to hustle. This young group went through ups and downs just like any other young people but at the end of day they learned how to maneuver complicated life in USA. Those Tanzanians who came here after college find themselves living the past of their fellow high school classmates’ example documents hustles, boyfriends and girlfriends, clubbing. The only problem is the fact that now they have to do this at 25-27 years of age and not early 20’s. This group who went to high school together find themselves share very few things in common socially example. Those Tanzanians graduates came here with the altitude that they are smarter than their fellow high school mates because they did not make to local colleges like UD, Mzumbe or Sokoine, but their fellow mates who immigrate to USA became more matured and street smarter. This situation put many Tanzanians who graduate abroad very uncomfortable, most of them decide early they rather face problems with lack of street awareness rather than shameful asking embarrassing question or help to those who they ones consider looser’. The behavior is still common here in United States.


What is your Take on this? Stay and Hustle or Go home before is too late?
 
hapa umepiga konzi, and trust me huu mjadala utakuwa mrefu than we might think ! subiri nifikirie, nitarudi !
 
Kamundu,
Do you really want to help them? Give them jobs and money. I don't see anything beyond the norm here. Life has difficulties anywhere whether it is USA, CANADA or TZ. There is a good share of problems in Tanzania. I then am not sure who should help who between those in Tanzania and their counterparts in USA!
Otherwise that's life. If you want to get where you to go keep on keeping on.
 
lol. kwa hiyo wanatoa kwa kigezo cha "jina mashuhuri".... duh asa akina kada watafit vipi kwenye hiyo package ? hii kitu kama ingekuwa inatolewa taifa zima, nakwambia taifa lile lingekuwa la lazy borns tu !
 
How many Tanzanians did you interview to come up with this conclusion? When and where did you interview them?
 
nimesema kama hizo fesha zingekuwa zinatolewa directly kwa wananchi ili kuinua uchumi, nadhani watz tungekuwa wavivu, hicho ndicho nilichomaanisha, haina haja ya kuwahoji watanzania ili kusema ninachofikiria babu !

upo hapo ?
 
i wish tanzania pia wangekuwa wanatoa economic stimulus package kila mwaka !

LOL

Ha Ha!!! unapewa mshiko ili kuinua uchumi, ila mabilioni waliyoiba EPA walalahoi tungekatiwa cheki ingekuwa poa sana...

Watanzania wengi tukienda ughaibuni tunapigwa na Cultural shock...by the time ukiadjust unakuta ndoto zako zote ulizokuwa nazo zimeshaanza kufutika.
 
Ha Ha!!! unapewa mshiko ili kuinua uchumi, ila mabilioni waliyoiba EPA walalahoi tungekatiwa cheki ingekuwa poa sana...

Watanzania wengi tukienda ughaibuni tunapigwa na Cultural shock...by the time ukiadjust unakuta ndoto zako zote ulizokuwa nazo zimeshaanza kufutika.

wee acha tu, wengine tungekuwa na majina matatu matatu ili tupate tu paycheck 3, si unajua bana wabongo ndivyo tulivyo !
 
Lakini tukichukulia serious kuna Watanzania wengi wana sua sua kama kukaa Marekani ni deal kama huna kazi nzuri na umesoma. je Waende bongo kutafuta kazi? au ningependa tujiulize na kuwasaidia watu hawa
 
nimesema kama hizo fesha zingekuwa zinatolewa directly kwa wananchi ili kuinua uchumi, nadhani watz tungekuwa wavivu, hicho ndicho nilichomaanisha, haina haja ya kuwahoji watanzania ili kusema ninachofikiria babu !

upo hapo ?

Hilo swali nimemuuliza Kamundu sikukuuliza wewe!
 
I think hakuwa na research. Isipokuwa ameweka mambo na kanuni za kawaida za maisha kama matatizo. Ndio maana mimi nilishauri kwamba kama kupata kazi na kupata hela ni matatizo basi ufumbuzi ni kuwapa watanzania walioko marekani kazi na fedha. Problem solved.
 
Huu ni mjadala mrefu kweli ila ninachoona mimi baada ya kukaa huku na pia kujijenga nyumbani, hao ambao ni 'educated' kama unavyowaita warudi nyumbani iwapo wanaona returns hakuna ktk elimu yao wakiwa wanaishi nje ya Tanzania. Kama mtu unapata returns basi kwa nini usiendelee kuishi pale moyo wako unaporidhia. Ila kwa mtu kama huyu asisahau nyumbani. Nyumbani ni nyumbani tu.

Kwa wale ambao wameshindwa kuweza kumudu maisha huku nje, kwanza niwasifie ni watu ambao wana wealth of experiences ambazo zina-lack nyumbani TZ pia ni wajasiri. Moja wanajua thamani ya kila senti Uncle sam anayowapa tofauti na mtu mwenye mshahara (kwa asilimia kubwa) mzuri bongo ambao nusu unaishi kuhonga wanawake au kununua bia katika baa za ajabu ajabu na kwa wanawake kwenye kushindana kuvaa na kujiweka vizuri.
Pili, wanafahamu thamani ya muda wao wa kazi, tofauti na wengi wanaofika katika ofisi bongo na kupiga gumzo hadi saa nne asubuhi kisha kugusa karatasi mbili tatu kisha kwenda lunch alafu wanachelewa kurudi toka lunch huku wakijiandaa kwenda Rose garden, brake point au Meeda baada ya kazi.
Tatu, wanafahamu maana ya competition. Wengi bongo wamebweteka sana katika hili.
Nne, they do not take anything for granted, iwe ni family responsibility, iwe ni ugonjwa, iwe ni faida, these people never take anything for granted.

Kundi hili kwa mtazamo wangu wakirudi nyumbani na wakipewa tools za kufanya kazi ni more productive kuliko wengi ambao wamezoea kulalama serikali ije iwazolee uchafu na kuwazibulia mitaro ya maji.

Maisha TZ yamebadilika sana. Vijana wanaomaliza masomo sasa wanakumbana na hali hii ya ushindani toka kwa wale waliorudi toka masomoni huku ng'ambo na hadi sasa hawaelewi ni kwa nini wanawashinda katika job market. Wamebaki kusingizia kuwa wanapendelewa kisa wametoka nje. wanachosahau ni kwamba wametoka nje na nini?

Ni ngumu kumsaidia mtu huku nje kuweza kulipia ada na ukichukulia circumstances ya kuwepo kwake huku ni very shadowy. Binfasi nafikiri kuleta kwako mada hii ni vizuri ila mada inalega katika nyanja nyingi kidogo. Kila mtu ana idiosyncracies zinazozunguka motives zake kuwepo huku na hata katika wasomi waliopo huku wanatofautiana vilevile.

Ila ninachoomba Mungu kila siku ni watu waliopo nje waweze kutambua potentials zao na warudi nyumbani kama wanaweza ili wabadilishe mfumo wa maisha na watoe changamoto kwa waliopo huko nyumbani.

Tusilaumu kwa ujumla bali tupeane mwangaza katika hili.
 
Bi Mkubwa,

I feel you in your statement.Changamoto inakua hivi..tubadilishane mawazo as to what are the best ways of succeeding in terms of jibs na careers to pursue.What is the best legal way to get into the system na mambo kama hayo!

Marekani possibility za kusurvive zipo kibao na ni mtu na akili yake. Kwa hivyo tusiogope wala tusikashifiane kuhusu how people are leaving...brainstrom each other to see how we can make it better!
Shukran
 
Back
Top Bottom