nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 810
- 2,851
- Thread starter
- #101
Uko sahihi kabisaUzi mzito sana
Uko sahihi kabisaUzi mzito sana
Sijauliza kwa maana kwamba ya Zanzibar hayafai ama hayawezi kujadiliwa.. la hasha.Kwa hiyo jamii forums iko kwa ajili ya mambo ya Tanzania bara pekee?
Hauoni hadi kuna mada za kimataifa?
Inaonekan unatatizo na huyo meneja, sasa umeamua kuja kumharibia ugali wake hapa, na nikuhakikishie mtu mwenye akili hawezi kukuzingatia kwani maelezo yako na ulivyokomaa na kusema ni meneja wake niukweli usiopingika unawivu na mafanikio yakeNakuhakikishia Mzee Bakhresa hajui huu mchezo. Ni Meneja wake anayefanya haya mambo.
Inabidi kulichunguza hili. Yaonekana kuna ubia, sasa muhimu kujua undani wake.Nje ya mada
ZBC 2 ni mali ya Azam Media??
Tuna watu ni via..z sasa mnasapotiana tu upumbav hapoPoint sn hii nchi ya kugawana gawana ukipata nafasi
Wewe ni zaidi yetuTuna watu ni via..z sasa mnasapotiana tu upumbav hapo
Sio kila mada za kuchangia mwezenu kashusha nondo za maana with evidence nyie mnaleta upumbaf.Wewe ni zaidi yetu
Mpuuzi wewe, watu wanaiba mabilioni wewe umekomaa na hiyo pesa ya mboga? mwenyewe unatamani upate nafasi uibe mali za umma, sema unaona wivu sababu hujapata nafasi wewe ya kuiba.Sio kila mada za kuchangia mwezenu kashusha nondo za maana with evidence nyie mnaleta upumbaf.
Sio lazima kuchangia vitu vilivyokuzidi upeo inatosha ukienda kujadili mambo ya udaku huko instagram.
Binti yaishe sitaki kuwa mpumbaf kama wewe kuharibu uzi wa maana wa watu.Mpuuzi wewe, watu wanaiba mabilioni wewe umekomaa na hiyo pesa ya mboga? mwenyewe unatamani upate nafasi uibe mali za umma, sema unaona wivu sababu hujapata nafasi wewe ya kuiba.
Tulia aunt yanguBinti yaishe sitaki kuwa mpumbaf kama wewe kuharibu uzi wa maana wa watu.
Kwaheri
Msingi mkubwa wa biashara kwa sasa ni kuwa na usajili wa kampuni, leseni ya biashara na bank account ya kampuni ili ukipata buz deal mnalipana kwa corporate account.DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA
- Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon.
- Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa kufungua makampuni kama anuani ya ofisi yake.
- Mnyetishaji wangu akijifanya ni mteja toka Uganda, wakachati akiwa Dubai, akashindwa kumwambia ofisi ilipo ili aitembelee, Whatsaaap chati iko hapo utaisoma.
- Tetesi ni kuwa mfaransa huyo anashirikiana na Broadcast Manager wa Azam Media kujipatia kazi, wakati hana sifa.
- Yeye anasema kampuni yake imefanya kazi mbili Azam Media, zenye thamani ya 5,000,000 US Dollar (Zaidi ya bilioni 11 za Kitanzania)
- Anatumia mitambo na ofisi za AZAM MEDIA kuyaaminisha makampuni mengine kuwa ana uwezo na kampuni yake ni halali huko DUBAI.
- Tayari ameshajiingiza katika Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) na kufanya kazi huku akiwa hana sifa, huku akijinasibu ndie amefanya Installation ya mifumo mingi ya AZAM MEDIA, na kuwa yeye ndio hutoa Msaada wa Kiufundi (Technical Support).
- Usajiri wa Kampuni yake ambayo haina Leseni, ofisi, wala haitambuliki na mamlaka za kodi za Dubai hauhusiani na kazi za Media wala Broadcasting.
- Tumemfuatilia hadi anapodai ana ofisi na tumekuta hana, anaendesha biashara kitapeli.
- TAKUKURU ichunguze kampuni hii hewa inapataje kazi ZBC? Waangalie bei za kazi alizowahi kufanya, na achunguzwe ilikuwaje akawa anapewa kazi kama Single Source wakati hana sifa wala kampuni yake haifanyi kazi kwa taratibu zinazotakiwa?
UTANGULIZI
DV International, ni jina la kampuni hewa au tuseme ya kitapeli ambayo imejiingiza hapa nchini na tayari kuna baadhi ya kazi wanasema wamezifanya Azam Media, na Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).
Mmiliki wake anayeonekana mbele ni Gael Lancrenon, mfaransa. Anasema ofisi yake iko – Ras Al Khaimah, 1401 Aspect Tower – Business Bay, P.0.Box 181921, DUBAI, UNITED ARAB EMIRATES. Baada ya kufuatilia katika anuani hiyo tumekuta hiyo ni ofisi ya kampuni ya ALLIANCE BUSSINESS COUNCIL LIMITED, kampuni ambayo inajihusisha na usajiri wa makampuni na utafutiaji wa Leseni wa makampuni huko DUBAI. Hivyo hana ofisi Dubai, wala hana compliance Zaidi ya Certificate of Incorporation.
Mhusika wa kampuni hii inaonekana ana ushirikiano mkubwa na Broadcast Manager wa AZAM MEDIA, ajulikanaye kwa jina la SIVAJITH SADASIVAN. Ambae ndie amemleta AZAM MEDIA, na kuuhakikishia uongozi wa AZAM kuwa DV International ni kampuni kubwa Dubai, na kuwa ni tawi la kampuni ya Digital Video International ya Ufaransa, japo katika usajiri wao DUBAI kama nilivyoscreenshort taarifa zake za usajiri wao sio tawi la kampuni yoyote.
Gael anatumia namba zifuatazo; +33614171529 (Namba ya Ufaransa na ndio huitumia kwa mawasiliano haswa Whatsaap), +971501048897 (UAE), na akija Tanzania huwa anatumia +255754318051 kufanya mawasiliano akiwa nchini.
MAHUSIANO YAKE NA AZAM MEDIA
Anajinasibu kuwa kampuni yake hiyo ndio imetengeneza mifumo ya Azam TV na kuwa yeye ndio anaisimamia, anasema amefanya kazi na Azam zenye thamani ya Zaidi ya Dola milioni tano (5,000,000/- USD).
Ana uhusiano wa karibu na Broadcast Manager wa AZAM MEDIA, ajulikanaye kwa jina la SIVAJITH SADASIVAN, ambaye ndie anajua alimtoa wapi na kumuingiza nchini na kuwezesha yeye kupata kazi. Kwa namna yeyote ni mshirika wake katika upigaji.
Zaidi anatumia ofisi za AZAM MEDIA kuwaaminisha watu wengine, zikiwemo taasisi za serikali kuwa yeye ndio amefanya AZAM MEDIA kuwa hapo ilipo, na ili kuwaaminisha huwaambia watu waende AZAM MEDIA na anawaonyesha mitambo ya AZAM ili wamuamini na kumpa kazi.
Mtu wetu alijifanya ni Mteja toka Serikali ya Uganda, akafanya nae mazungumzo kwa njia ya Whatsaap na wakakubaliana aje Nchini wakutane katika ofisi za AZAM MEDIA, yaani kiufupi anatumia ofisi za AZAM MEDIA kufanikisha utapeli wake.
AZAM MEDIA ni kampuni kubwa, ifanye uchunguzi ili kubaini namna mtu huyu anavyoitumia vibaya kampuni yao na kuifanya ofisi hiyo kijiwe chake kila anapokuja nchini.
NAMNA ALIVYOJIPENYEZA ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION (ZBC)
DV international kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu amefanya kazi kadhaa hapo ZBC, kwanza hizo kazi kazifanya katika mazingira yasiofuata sheria ya manunuzi Zanzibar. Hizo kazi alikuwa anapewa kama Single Source wakati hana sifa hizo.
Mamlaka za kuchunguza rushwa zifuatilie namna hawa watu walipeana kazi bila ya kutangaza Tender, na Zaidi waangalie bei ambayo alitolea huduma hizo katika mazingira hayo.
Ana watu anaoshirikiana nao toka AZAM MEDIA, waliomshika mkono na kumpeleka ZBC. Na kuna watendaji wasio waaminifu ndani ya ZBC wanaoshirikiana nae katika kufanya miradi hewa ya mabilioni ZBC na kujipatia pesa nyingi isivyo halali.
Na kwa kuwa huyu Gael sio mtu wa Broadcasting basi kuna watu wanaomtumia kufanya deal chafu na kisha wanagawana pesa, ndio maana hata akifanya kazi za mabilioni bado hawezi kukodi hata fremu aonyeshe ndio ofisi maana baada ya dili hugawana pesa na kusubiri dili jingine la kutengenezea pesa.
NB: NIMEWEKA CHAT YAKE NA MTU ALIYEJIFANYA ANATOKA UGANDA, PIA OFFICIAL SEARCH YA JINA LAKE LA KAMPUNI INAYOONYESHA KAZI ALIZOSAJIRIWA KUFANYA.
View attachment 2035489
Yeye ameletwa tu kama geresha na kuambiwa anachotakiwa kuongea.Kwa haya Maelezo huyo mtu mnamwonea tu mzizi uko Azam Media huko.
Umesoma na kuelewa au ndio wale 70% ambao JK alisema ni mbumbumbu, bendera fuata upepo?HUYU mtoa mada ni mshindani wake katika hiyo biashara ya installation, sasa anataka kumualibia. Kama amepewa kazi Azam na ZBC na ame deliver sasa tatizo lipo wapi eti ofisi Dubai.
😈😈😈😈😈😈DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA
- Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon.
- Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa kufungua makampuni kama anuani ya ofisi yake.
- Mnyetishaji wangu akijifanya ni mteja toka Uganda, wakachati akiwa Dubai, akashindwa kumwambia ofisi ilipo ili aitembelee, Whatsaaap chati iko hapo utaisoma.
- Tetesi ni kuwa mfaransa huyo anashirikiana na Broadcast Manager wa Azam Media kujipatia kazi, wakati hana sifa.
- Yeye anasema kampuni yake imefanya kazi mbili Azam Media, zenye thamani ya 5,000,000 US Dollar (Zaidi ya bilioni 11 za Kitanzania)
- Anatumia mitambo na ofisi za AZAM MEDIA kuyaaminisha makampuni mengine kuwa ana uwezo na kampuni yake ni halali huko DUBAI.
- Tayari ameshajiingiza katika Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) na kufanya kazi huku akiwa hana sifa, huku akijinasibu ndie amefanya Installation ya mifumo mingi ya AZAM MEDIA, na kuwa yeye ndio hutoa Msaada wa Kiufundi (Technical Support).
- Usajiri wa Kampuni yake ambayo haina Leseni, ofisi, wala haitambuliki na mamlaka za kodi za Dubai hauhusiani na kazi za Media wala Broadcasting.
- Tumemfuatilia hadi anapodai ana ofisi na tumekuta hana, anaendesha biashara kitapeli.
- TAKUKURU ichunguze kampuni hii hewa inapataje kazi ZBC? Waangalie bei za kazi alizowahi kufanya, na achunguzwe ilikuwaje akawa anapewa kazi kama Single Source wakati hana sifa wala kampuni yake haifanyi kazi kwa taratibu zinazotakiwa?
UTANGULIZI
DV International, ni jina la kampuni hewa au tuseme ya kitapeli ambayo imejiingiza hapa nchini na tayari kuna baadhi ya kazi wanasema wamezifanya Azam Media, na Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).
Mmiliki wake anayeonekana mbele ni Gael Lancrenon, mfaransa. Anasema ofisi yake iko – Ras Al Khaimah, 1401 Aspect Tower – Business Bay, P.0.Box 181921, DUBAI, UNITED ARAB EMIRATES. Baada ya kufuatilia katika anuani hiyo tumekuta hiyo ni ofisi ya kampuni ya ALLIANCE BUSSINESS COUNCIL LIMITED, kampuni ambayo inajihusisha na usajiri wa makampuni na utafutiaji wa Leseni wa makampuni huko DUBAI. Hivyo hana ofisi Dubai, wala hana compliance Zaidi ya Certificate of Incorporation.
Mhusika wa kampuni hii inaonekana ana ushirikiano mkubwa na Broadcast Manager wa AZAM MEDIA, ajulikanaye kwa jina la SIVAJITH SADASIVAN. Ambae ndie amemleta AZAM MEDIA, na kuuhakikishia uongozi wa AZAM kuwa DV International ni kampuni kubwa Dubai, na kuwa ni tawi la kampuni ya Digital Video International ya Ufaransa, japo katika usajiri wao DUBAI kama nilivyoscreenshort taarifa zake za usajiri wao sio tawi la kampuni yoyote.
Gael anatumia namba zifuatazo; +33614171529 (Namba ya Ufaransa na ndio huitumia kwa mawasiliano haswa Whatsaap), +971501048897 (UAE), na akija Tanzania huwa anatumia +255754318051 kufanya mawasiliano akiwa nchini.
MAHUSIANO YAKE NA AZAM MEDIA
Anajinasibu kuwa kampuni yake hiyo ndio imetengeneza mifumo ya Azam TV na kuwa yeye ndio anaisimamia, anasema amefanya kazi na Azam zenye thamani ya Zaidi ya Dola milioni tano (5,000,000/- USD).
Ana uhusiano wa karibu na Broadcast Manager wa AZAM MEDIA, ajulikanaye kwa jina la SIVAJITH SADASIVAN, ambaye ndie anajua alimtoa wapi na kumuingiza nchini na kuwezesha yeye kupata kazi. Kwa namna yeyote ni mshirika wake katika upigaji.
Zaidi anatumia ofisi za AZAM MEDIA kuwaaminisha watu wengine, zikiwemo taasisi za serikali kuwa yeye ndio amefanya AZAM MEDIA kuwa hapo ilipo, na ili kuwaaminisha huwaambia watu waende AZAM MEDIA na anawaonyesha mitambo ya AZAM ili wamuamini na kumpa kazi.
Mtu wetu alijifanya ni Mteja toka Serikali ya Uganda, akafanya nae mazungumzo kwa njia ya Whatsaap na wakakubaliana aje Nchini wakutane katika ofisi za AZAM MEDIA, yaani kiufupi anatumia ofisi za AZAM MEDIA kufanikisha utapeli wake.
AZAM MEDIA ni kampuni kubwa, ifanye uchunguzi ili kubaini namna mtu huyu anavyoitumia vibaya kampuni yao na kuifanya ofisi hiyo kijiwe chake kila anapokuja nchini.
NAMNA ALIVYOJIPENYEZA ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION (ZBC)
DV international kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu amefanya kazi kadhaa hapo ZBC, kwanza hizo kazi kazifanya katika mazingira yasiofuata sheria ya manunuzi Zanzibar. Hizo kazi alikuwa anapewa kama Single Source wakati hana sifa hizo.
Mamlaka za kuchunguza rushwa zifuatilie namna hawa watu walipeana kazi bila ya kutangaza Tender, na Zaidi waangalie bei ambayo alitolea huduma hizo katika mazingira hayo.
Ana watu anaoshirikiana nao toka AZAM MEDIA, waliomshika mkono na kumpeleka ZBC. Na kuna watendaji wasio waaminifu ndani ya ZBC wanaoshirikiana nae katika kufanya miradi hewa ya mabilioni ZBC na kujipatia pesa nyingi isivyo halali.
Na kwa kuwa huyu Gael sio mtu wa Broadcasting basi kuna watu wanaomtumia kufanya deal chafu na kisha wanagawana pesa, ndio maana hata akifanya kazi za mabilioni bado hawezi kukodi hata fremu aonyeshe ndio ofisi maana baada ya dili hugawana pesa na kusubiri dili jingine la kutengenezea pesa.
NB: NIMEWEKA CHAT YAKE NA MTU ALIYEJIFANYA ANATOKA UGANDA, PIA OFFICIAL SEARCH YA JINA LAKE LA KAMPUNI INAYOONYESHA KAZI ALIZOSAJIRIWA KUFANYA.
View attachment 2035489
Ofs anauza uchi huyo?Ni wivu tu,mtu alipwe mabilioni yote hayo ashindwe kulipia pango la ofisi dubai kweli,lingine kazi inafanyika haifanyiki,kazi za IT na telecom haziitaji kuwa na lijiofisi kuuubwa ni akili tu na watu basi
Kwa habari hii wewe umeelewa amefanya utapeli gani?Mada kama hizi ndio zilifanya nijiunge jamii forum miaka 8 iliyopita.
Madini yaliyojaa ushahidi wa kila namna sio ngonjera za kina BAVICHA, SUKUMAGANG NA MATAGA