DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

Wakisha kuambia office zao zilipo unatakiwa uende kuwatembelea kabla ya kununua.

Kwakifu hii habari imejaa uzushi mtupu

hii habari ni nyeusi aituhusu tafutaneni kimya kimya Kama mnadaina mkamalizane.
Uelewa wako ni mdogo.

Kamati ya kuchunguza Richmond ilienda kufuata nini USA kujiridhisha kama Richmond inaexist kule?

Si ni baada ya kuwa na wasiwasi na uwepo wa hiyo kampuni na jinsi ilivyopata zabuni?
 
Hapana, mfuatiliaje wetu alikwenda Dubai kwa nia ya kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni, katika address anayoonyesha kampuni yake ipo akakuta ni kampuni inayosaidia kusajiri makampuni. Aliposema yuko Tanzania ikabidi kutaka kukutaba nae Azam Media, kumbuka ni mtanzania aliyejifanya ni Mganda ili apate taarifa.

Na ujue pale Azam kuna watu wanaomfahamu, angeenda na wakamwambia sio Mganda ni mtanzania tayari inakuwa tatizo katika kazi aliyokuwa anafanya.

Ingekuwa nje ya Azam angeenda kukutana nae.

Ili nikuthibitishie alienda Dubai na hakuwa Tandale naweka hapa picha ya business card ya kampuni ya ABC aliyosema ndio office zake zilipo, na mtu wetu alipofika aliambiwa ni kweli huyo Gael akiwa na watu anaomba kuonana nao kutumia ofisi zao.

Sasa kwa kuwa hakuwepo Dubai ilikuwa ngumu kusema nenda ofisini maana kampuni yake haina staff, angekuwa na office asingesema let me organise. How do you organise an office for someone to see it kama ipo?

Ndio maana ilibidi kutwa nzima akae kimya hadi jioni akaomba msamaha kwa kushindwa organise office visits.

NB: naweka hapa picha za hiyo office na business card yao ujue sio suala la porojo.

View attachment 2036105

View attachment 2036108

View attachment 2036109

Uelewa wako ndio ndogo Rechmond ni pesa ya umma niambie kwaulewa wako mkubwa mleta Mada ametapeliwa nini hadi uje na mifano ya Rechmond ?
 
Hapana, mfuatiliaje wetu alikwenda Dubai kwa nia ya kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni, katika address anayoonyesha kampuni yake ipo akakuta ni kampuni inayosaidia kusajiri makampuni. Aliposema yuko Tanzania ikabidi kutaka kukutaba nae Azam Media, kumbuka ni mtanzania aliyejifanya ni Mganda ili apate taarifa.

Na ujue pale Azam kuna watu wanaomfahamu, angeenda na wakamwambia sio Mganda ni mtanzania tayari inakuwa tatizo katika kazi aliyokuwa anafanya.

Ingekuwa nje ya Azam angeenda kukutana nae.

Ili nikuthibitishie alienda Dubai na hakuwa Tandale naweka hapa picha ya business card ya kampuni ya ABC aliyosema ndio office zake zilipo, na mtu wetu alipofika aliambiwa ni kweli huyo Gael akiwa na watu anaomba kuonana nao kutumia ofisi zao.

Sasa kwa kuwa hakuwepo Dubai ilikuwa ngumu kusema nenda ofisini maana kampuni yake haina staff, angekuwa na office asingesema let me organise. How do you organise an office for someone to see it kama ipo?

Ndio maana ilibidi kutwa nzima akae kimya hadi jioni akaomba msamaha kwa kushindwa organise office visits.

NB: naweka hapa picha za hiyo office na business card yao ujue sio suala la porojo.

View attachment 2036105

View attachment 2036108

View attachment 2036109
Ukisoma kwenye details za business licence, Aliance business council wako specified kama Business Manager, na hata office set up yao inaonekana ni virtual office na kwa maelezo yao ni kwamba anatumia hapo office akihitaji hujamaliz8a kuwa ni bure, kuna contracts analipia service n.k, kitu ambacho ni cha kawaida kabisa katika ku run biashara na kupunguza gharama hasa ukiwa una operate kwenye nchi nyingi huwezi kuweka wafanyakazi kila mahali

Mimi ningependa kufahamu ni vipi haswa kawapiga ZBC ama anaitumia Azam kuipiga ZBC, Suala la yeye kutumia ofisi za Azam kuna shida gani?kama ni consultant wao wameamua kumpa ofisi afanye kazi
 
Sababu una nia ya kufahamu wacha nikusaidie.

Kwa sababu ya nature ya nchi, UAE inavutia wakazi wengi wa duniani kuwekeza na kufanya biashara huko.

Sababu ya sababu ya wingi serikali yao haijihusishi moja kwa moja na usajiri wa makampuni kama ilivyo Brela huku kwetu.

Bali inatumia makampuni binafsi kama agents wa kusajiri makampuni kwa niaba ya serikali.
Hivyo ABC haifanyi biashara ya kukodisha ofisi.

Na umeuliza juu ya virtual office.

DV International anasema wao ni kampuni ya kufanya supply ya goods, hauwezi kuwa unasaupply goods, au hardwares na ukasema unafanya virtual office, hii sio just consulting. Ni biashara ya kussuply products.

Ambapo nature ya kampuni hiyo lazima iwe na office, showroom na ikiwezekana workshop. Zaidi ya yote lazima iwe na staff ambao ni professionals katika kazi wanazofanya.

Sasa kuitumia Azam kuna kuja namna hii.

Broadcast Manager wa Azam ndie alimleta Huyu mtu na wanashirikiana, sababu yeye ni mgeni huenda aliushawishi uongozi wa Azam kuwa hiyo kampuni ina uwezo na ikaweza aminika na kupata kazi Azam. Kumbuka Azam ni private company, inaponunua haifuati sheria ya manunuzi ya umma, hivyo mtu unayemuamini akikupa reference ni rahisi kufanya manunuzi.

Sasa baada ya kufanya kazi waliyofanya Azam wakaplot namna ya kufanya kazi na ZBC.

Sasa ZBC ni shirika la umma, huwezi tu kwenda kwa mtu kununua bila kufanya mchakato wa utangazaji wa Zabuni.

Sasa kinachoonekana kupitia ushawishi wa huyu jamaa wa Azam waliweza fanya lobbying na kukiuka sheria hiyo na kumpa jamaa kazi kadhaa kama Single source. Kitu ambacho ni kinyume cha sheria za manunuzi ya umma.

Sasa ili jamaa kuwaaminisha ZBC kuwa ana uwezo basi kama alivyotaka fanya kwa mtu wangu anawaambia wakutane Azam, ambapo kuna uwezekano akawaonyesha hadi vitu ambavyo yeye hakufanya ili kuwaaminisha ni kampuni kubwa na inafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi aliyosajiriwa na za nchi husika.
 
Sa hizi kila mbuzi ale urefu wa kamba Yake, Tanesco wenyewe washapiga Bil 65 kwa kukodisha software ya wahindi! Gesi ni yetu ila tunanunua kwa beberu! Yaani hii nchi shamba la bibi
 
Ukisoma kwenye details za business licence, Aliance business council wako specified kama Business Manager, na hata office set up yao inaonekana ni virtual office na kwa maelezo yao ni kwamba anatumia hapo office akihitaji hujamaliz8a kuwa ni bure, kuna contracts analipia service n.k, kitu ambacho ni cha kawaida kabisa katika ku run biashara na kupunguza gharama hasa ukiwa una operate kwenye nchi nyingi huwezi kuweka wafanyakazi kila mahali

Mimi ningependa kufahamu ni vipi haswa kawapiga ZBC ama anaitumia Azam kuipiga ZBC, Suala la yeye kutumia ofisi za Azam kuna shida gani?kama ni consultant wao wameamua kumpa ofisi afanye kazi
Sababu una nia ya kufahamu wacha nikusaidie.

Kwa sababu ya nature ya nchi, UAE inavutia wakazi wengi wa duniani kuwekeza na kufanya biashara huko.

Sababu ya sababu ya wingi serikali yao haijihusishi moja kwa moja na usajiri wa makampuni kama ilivyo Brela huku kwetu.

Bali inatumia makampuni binafsi kama agents wa kusajiri makampuni kwa niaba ya serikali.
Hivyo ABC haifanyi biashara ya kukodisha ofisi.

Na umeuliza juu ya virtual office.

DV International anasema wao ni kampuni ya kufanya supply ya goods, hauwezi kuwa unasaupply goods, au hardwares na ukasema unafanya virtual office, hii sio just consulting. Ni biashara ya kussuply products.

Ambapo nature ya kampuni hiyo lazima iwe na office, showroom na ikiwezekana workshop. Zaidi ya yote lazima iwe na staff ambao ni professionals katika kazi wanazofanya.

Sasa kuitumia Azam kuna kuja namna hii.

Broadcast Manager wa Azam ndie alimleta Huyu mtu na wanashirikiana, sababu yeye ni mgeni huenda aliushawishi uongozi wa Azam kuwa hiyo kampuni ina uwezo na ikaweza aminika na kupata kazi Azam. Kumbuka Azam ni private company, inaponunua haifuati sheria ya manunuzi ya umma, hivyo mtu unayemuamini akikupa reference ni rahisi kufanya manunuzi.

Sasa baada ya kufanya kazi waliyofanya Azam wakaplot namna ya kufanya kazi na ZBC.

Sasa ZBC ni shirika la umma, huwezi tu kwenda kwa mtu kununua bila kufanya mchakato wa utangazaji wa Zabuni.

Sasa kinachoonekana kupitia ushawishi wa huyu jamaa wa Azam waliweza fanya lobbying na kukiuka sheria hiyo na kumpa jamaa kazi kadhaa kama Single source. Kitu ambacho ni kinyume cha sheria za manunuzi ya umma.

Sasa ili jamaa kuwaaminisha ZBC kuwa ana uwezo basi kama alivyotaka fanya kwa mtu wangu anawaambia wakutane Azam, ambapo kuna uwezekano akawaonyesha hadi vitu ambavyo yeye hakufanya ili kuwaaminisha ni kampuni kubwa na inafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi aliyosajiriwa na za nchi husika
Sa hizi kila mbuzi ale urefu wa kamba Yake, Tanesco wenyewe washapiga Bil 65 kwa kukodisha software ya wahindi! Gesi ni yetu ila tunanunua kwa beberu! Yaani hii nchi shamba la bibi
Ni changamoto kubwa sana
 
Ametumiaje mgongo wa Azam kupata tenda ZBC?weka wazi ueleweke
Umeambiwa ZBC iko kwenye muungano mbona Bongo Watu wanapigia pesa ndefu umekaa kimya
Na ZBC inatumia pesa za babu yako?
Huu unatwa umbea habari za kuokoteza mbaya zaidi za upande moja kama vipi kawaite ZBC na Azam waje hape ili tubalance tuone Kama mleta umbea ajatoka nduki
 
Mtoa mada upo na jambo lakini sasa naomba utujibu haya
*Usimamizi wa ZBC ipo kwenye Muungano..??
*Kama si muungano na ni Zanzibar, je sheria za manunuzi ya umma huko Zanzibar zinasemaje..??
*With clear evidence, tunaomba mchakato wa hao jamaa kupata tenda ZBC ambako kunaonyesha kwamba hakukuwa na mshindani mwengine..
Tuanze na haya...
BTW nakuona Ni kama mmoja wa wafanyakazi wa aidha serikali ama Azam
 
Hapana, mfuatiliaje wetu alikwenda Dubai kwa nia ya kuthibitisha uwepo wa hiyo kampuni, katika address anayoonyesha kampuni yake ipo akakuta ni kampuni inayosaidia kusajiri makampuni. Aliposema yuko Tanzania ikabidi kutaka kukutaba nae Azam Media, kumbuka ni mtanzania aliyejifanya ni Mganda ili apate taarifa.

Na ujue pale Azam kuna watu wanaomfahamu, angeenda na wakamwambia sio Mganda ni mtanzania tayari inakuwa tatizo katika kazi aliyokuwa anafanya.

Ingekuwa nje ya Azam angeenda kukutana nae.

Ili nikuthibitishie alienda Dubai na hakuwa Tandale naweka hapa picha ya business card ya kampuni ya ABC aliyosema ndio office zake zilipo, na mtu wetu alipofika aliambiwa ni kweli huyo Gael akiwa na watu anaomba kuonana nao kutumia ofisi zao.

Sasa kwa kuwa hakuwepo Dubai ilikuwa ngumu kusema nenda ofisini maana kampuni yake haina staff, angekuwa na office asingesema let me organise. How do you organise an office for someone to see it kama ipo?

Ndio maana ilibidi kutwa nzima akae kimya hadi jioni akaomba msamaha kwa kushindwa organise office visits.

NB: naweka hapa picha za hiyo office na business card yao ujue sio suala la porojo.

View attachment 2036105

View attachment 2036108

View attachment 2036109
Kwani ilikuwa lazima mkubali kukutana naye Azam Media? Kama mngeshauri mkutane sehemu nyingine mbadala, sidhani kama angekataa. Kwanini hamkufanya hivyo?
 
Mtoa mada upo na jambo lakini sasa naomba utujibu haya
*Usimamizi wa ZBC ipo kwenye Muungano..??
*Kama si muungano na ni Zanzibar, je sheria za manunuzi ya umma huko Zanzibar zinasemaje..??
*With clear evidence, tunaomba mchakato wa hao jamaa kupata tenda ZBC ambako kunaonyesha kwamba hakukuwa na mshindani mwengine..
Tuanze na haya...
BTW nakuona Ni kama mmoja wa wafanyakazi wa aidha serikali ama Azam
Kwa hiyo jamii forums iko kwa ajili ya mambo ya Tanzania bara pekee?

Hauoni hadi kuna mada za kimataifa?
 
Mmeogopa kukutana na Mzungu Dar sababu mlijua angegundua fasta nyinyi ni fake.

Nia yenu ya kwenda Dubai ni kujua ofisi yake ilipo, mlipoona hatoi ushirikiano baadaye mkaja na assumptions kibao kuwa he's not legit sababu tu hana ofisi Dubai, lakini hamna ushahidi wowote wa ufisadi wa huyu Mzungu zaidi ya kuwa hana permanent office in Dubai. Inawezekana anayo office lkn naye aliwashtukia nyie ni fake na alitaka kuwapima kama kweli mpo serious lakini mpira ulikuwa upande wenu wa uwanja na hatimaye mkashindwa kuonana naye uso kwa uso sababu ya woga wenu. Iweje Mzungu afanye biashara tokea 1998 nchi kadhaa za Africa lakini hana doa la utapeli?
 
Nakupa pongezi mleta mada unaonekana una uzalendo wa nchi yako, hz ishu za upigaji ziko nyingi sana aisee, tusiwaone wajinga Korea na China wanaamua kutiana risasi kwa rushwa na ufisadi, sisi huku tunachekeana.
 
Ni kweli kiongozi na kuna maboya yanatetea, lakini ni kawaida hakuna jamii inayokosa mapoyoyo na wasaliti.
 
Back
Top Bottom