sikajiji
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 588
- 113
Zitto should be perished away no mercy on that. OVER.
Zitto should be perished away no mercy on that. OVER.
Mkuu, kwani baada ya kujieleza kuna maamuzi chama wameyafanya?
Kiitifaki dr slaa ni mtu wa tatu kitoka kwa mwenyekiti, na kwa sasa ambapo hakuna makam mwenyekiti, yeye ni mtu wa pili.lakini yeye ndio mtendaji mkuu kabisa wa chama.
Dr slaa amekaririwa akiwa tabora jana akisema kuwa "zitto atafukuzwa kabisa uanachama" je kwa kauli hii kuna haja ya kusubiri siku 14? Je hukumu ndio hiyo imeshatolewa? Je hiyo ndio demokrasia ndani ya chadema? Ndio utaratibu wa chadema kuhukumu majukwaani??
my take: tuenende tunayoyahubiri. Unayopenda kufanyiwa mtendee mwenzio, usiyopenda kufanyiwa usimtendee mwenzio
Mkuu, naona unafikiri kwa kutumia pande za maboga. Hakuna mahala nimeandika kuwa CHADEMA ni chama cha kihafidhina. Bali kuna kudi la wahafidhina ndani ya chama wanaopinga demokrasia. Uwe unatafakari kabla ya kuchangia. Pole sanaNI MAZUZU TU NDIYO HUFIKIRI NAMNA HII.YAANI CHADEMA NI CHAMA CHA KIHADIDHINA (CONSERVATIVE) halafu unataka kupambana na uhafidhina ndaniya Chadema ,huo ni wehu maradiki wa chadema ni pamoha na conservative party ya UK,CONSERVATIVE PEOPLES PARTY YA DENMARK, sasa ukiendelea kumeza mambo bola kujua ndo utaendelea kujivua nguo na kujionyesha utupu
Mkuu, huwezi kuzuia nguvu ya Zitto. Iwe ndani ya CHADEMA au nje. Pole sana MkuuUtetezi wake ndiyo unapitiwa.
Mbona buku 7 team mnamsimamia Zitto tu Kitila na Mwigamba hamkuwatuma?
Acheni hizo.
Hapo ndo mnashangaza sana najua mnapanda mbegu ya woga ili cdm waingie upepo ila maamuzi ya kubaki au kuondoka zitto yako mikononi mwa chadema.
Magazeti ya mlengo wa kiccm nayo yaliandika zitto aimaliza cdm sasa hapo ni kuwa zitto ni ccm au?
Tafakari chukua hatua.
Miaka ya nyuma wakati Dr wenu wa canon anagombania urais niliwahi kusema huyu hafai kuwa rais amejaa udikteta, maisha ya kugawa watu na anapenda kuabudiwa. Hata ile taasisi anayoiongoza pale dar kama chairman katika bodi anaiendesha kama yeye ndio kila kitu. Anaabudiwa kama mungu na hadi jamaa zake wakifika pale wanakuwa kama waungu. Huyo katibu wenu wa chama chenu ambaye anatoa tamko kama hili halafu unaiita chama hichi ni cha demokrasia yenye kuleta maendeleo. Demokrasia hiyo haipo huko labda demokrasia ya utopia yenye kuishi katika nadharia za zidumu fikra za mwenyekiti hakuna mwengine zaidi.
Stephen Wassira aliona mbali na kauli yake itatimia haswa wakimfukuza Zitto. Fukuzilieni mbali msaliti huyo wengine sisi tushangilie mwisho wa chama cha utopian :cool2::spy::rip:
Is that democracy?
Utetezi wake ndiyo unapitiwa.
Mbona buku 7 team mnamsimamia Zitto tu Kitila na Mwigamba hamkuwatuma?
Acheni hizo.
Hapo ndo mnashangaza sana najua mnapanda mbegu ya woga ili cdm waingie upepo ila maamuzi ya kubaki au kuondoka zitto yako mikononi mwa chadema.
Magazeti ya mlengo wa kiccm nayo yaliandika zitto aimaliza cdm sasa hapo ni kuwa zitto ni ccm au?
Tafakari chukua hatua.
Labda wewe tuambie
kwanza nini maana ya demokrasia halafu tuchangie.
Hujui ccm wametumia ujinga na umaskini wa watanzania kumfadhili zitto ili aue CHADEMA?Tunajua wapo wengi wanaomwamini kutokana na ujinga wao na wengine tamaa zao kwa hiyo wala si ajabu kwa hili hasa kwenye nchi ya watu wasiojitambua!na zzk anajua hilo
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
BABU wewe tulia tu hio ya ZZK ni trela Subiri picha kamili hio ndio habari ya mujini! Jiandae kurudi KARATU huo UKATIBU MKUU Unauachia siku si nyingi.
kwa hiyo mtu uhukumiwa kwa matendo ya wengine?
Kwa hiyo wafuasi wa mbowe na dr slaa wanao mtukana zitto wanakuwa wametumwa na wakina mbowe?
Kwanini hii saccos inaendeshwa kiimla?
Mbona ndio maisha yake ya kila siku. Unajua hata hizo document wanazo zunguka nazo Tanzania nzima kumchafua Zito wametengeneza Mnyika na Lema.(sauti huru, Dec 11-13 , 2013)Huyu mzee ana matatizo gani? yaaani u-dikteta umemkaa kupita maelezo!